kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,288
- 12,579
Tunalenga kuboresha maisha ya watanzania wa kawaida waliowengi sio nyinyi wafanyakazi wachache. Kama mnaona haziwatoshi acheni kazi, tutaleta wachina hapa wachukue nafasi zetu. Kwanza Wafanyakazi wenyewe ni wavivu, wezi, walalamishi, wachelewaji, wazinzi wasio na shukrani. Wakulima, wafugaji, na wavuvi nani atawaongezea mapato yao?Nyongeza ya anko , sidhani kamaitakuwa kubwa sana . hana mapenzi mema na watumishi...