Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Nchi imefulia ni kupigwa kalenda kila kukicha
 
Wakuu kwema?Nadhani Leo 17 November,Payroll zimeshawafikia wakuu wa idara huko kwenye Halmashauri mbalimbali nchi nzma.

Itapendeza zaidi Maafisa Utumishi au Wakuu wa idara mkitujuza kuhusu Orodha za malipo ya Mishahara mipya kuanzia November hii kama Mkulu alivoahidi!Je kuna ongezeko?Na kama lipo Ningependa kufahamu scales zake zimekaaje kuanzia Madaraja ya chini mpaka juu.

Ahsanteni,nawasilisha!!
Pambana na hali yako ukitegemea mshahara utadoda
 
Ongezeko la mshahara Mwezi November ni sh19,000/= kwenye basic salary kwahiyo kwa anaepokea basic 950000/= ajumlishe na 19000/= halafu hapo makato ya loan board, bima ya afya, cwt, na mengineyo, kwa aliyekuwa anapokea basic 715000/= basi ajumlishe 19000/=. Hongeleni watumishi wa umma kwahiyo nyongeza.
 
Ongezeko la mshahara Mwezi November ni sh19,000/= kwenye basic salary kwahiyo kwa anaepokea basic 950000/= ajumlishe na 19000/= halafu hapo makato ya loan board, bima ya afya, cwt, na mengineyo Bado hujakatwa , kwa aliyekuwa anapokea basic 715000/= basi ajumlishe 19000/=. Hongeleni watumishi wa umma kwahiyo nyongeza.
 
Ongezeko la mshahara Mwezi November ni sh19,000/= kwenye basic salary kwahiyo kwa anaepokea basic 950000/= ajumlishe na 19000/= halafu hapo makato ya loan board, bima ya afya, cwt, na mengineyo, kwa aliyekuwa anapokea basic 715000/= basi ajumlishe 19000/=. Hongeleni watumishi wa umma kwahiyo nyongeza.
😎
 
Hakuna nyongeza kwani bajeti ya mwaka 2017/2018 mlisikia hyo nyongeza
Ndiyo ,mama Kairuki alisema ziliongezwa bilioni 600 ukilinganisha an bajeti iliopita na hio ni kwa ajili ya kupandisha madaraja na kulipa madeni,sidhani kama increment ilihusishwa pia!
 
Back
Top Bottom