kichwa panzi
Senior Member
- Sep 18, 2015
- 120
- 104
Confirmed... annual increment ya kawaida ipo..
confirmed where? who confirmed?Confirmed... annual increment ya kawaida ipo..
Msiwarushe wenzio roho juu! Wasubiri mshahara ukitoka may be by Friday!Confirmed... annual increment ya kawaida ipo..
aisee hi itapendeza sana nakopea yote naenda kuishi baaNasikia imeongezwa elf 90
SCALE MPYA KWA WATUMISHI KUANZA KUTUMIKA NOV. 2017
1.TGS A1-746,000
2.TGS B1-894,000
3.TGS C1-982,500
4.TGS D1-1,139,000
5.TGS E1-1,219,000
6.TGS F1-1,405,000
7.TGS G1-1,670,000
8.TGS H1-1,884,000~ 2,665,000.
Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka leo usiku huu.Inaanza kutumika
Novemba 2017.
*Kumbuka:mtumishi mwenye degree alietoka chuoni huwa anapokea mshahara grade: TGS D1*
Hivi ndivyo Dr.Shika alivyosikika akisema itapendeza mambo yakiwa hivyo hapa nchini,lakini hili jambo halipo kabisaaaa.

Hutopata mtu mkuu,mtaitwa wachochezi
Umejuaje?Mimi KWANGU imeongezeka 328,123/, daraja la SIBITI