Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Siyo unamdai wewe utakuwa mwalimu yani mnakera nyie kila mwisho wa mwezi mnaanza kujaza ujinga wenu humu,, hivi kujiongeza hakuwezi? Mpaka mtegemee hivyo vi laki?
Hivi siku serikali ikisema hailipi mtafanya nini?
Kuweni na tabiya ya kujiongeza na msitegemee salary tuu kuishi unatakiwa uwe na another source of income mbali na salary,,
everybody knows that and striving to achieve that
 
Siyo unamdai wewe utakuwa mwalimu yani mnakera nyie kila mwisho wa mwezi mnaanza kujaza ujinga wenu humu,, hivi kujiongeza hakuwezi? Mpaka mtegemee hivyo vi laki?
Hivi siku serikali ikisema hailipi mtafanya nini?
Kuweni na tabiya ya kujiongeza na msitegemee salary tuu kuishi unatakiwa uwe na another source of income mbali na salary,,
Mimba yako changa unatuletea shida sisi wengine! Bahati mbaya mimi sio Mwalimu wala mtumishi wa umma.
 
Hakuna tajiri yeyote duniani aliyepata kuwa tajiri Kwa kutegemea mshahara wa ajira! Akili ya mwajiriwa inaanzia na kuishia kwenye mshahara wake! Hata kama ana miaka zaidi ya kumi kazini, mshahara ukichelewa Kwa wiki moja ni kilio! Ni aibu! Mungu kiokoe kizazi kijacho kisifanane na hiki cha sasa cha kutegemea mshahara wa ajira!
 
Bado Siku Moja au mbili tu!!Mbivu na mbichi zijulikane!! tarehe 23 au 24!!
 
JAMANI MBONA MNAMUANDAMA PENGINE KALIZA MSOMO ANAANZA KAZI MSHAHARA WENYEWE HUWEZI KUUBAJETI UKAPA JAPO MTAJI WA KUFUNGUA HATA GENGE MAANA MSHAHARA UNAISHA KABLA HATA YA MWEZI KUISHA SIKU ZINAZO BAKI WANAKOPA WANA MADENI HAO USIPIME
 
Siyo unamdai wewe utakuwa mwalimu yani mnakera nyie kila mwisho wa mwezi mnaanza kujaza ujinga wenu humu,, hivi kujiongeza hakuwezi? Mpaka mtegemee hivyo vi laki?
Hivi siku serikali ikisema hailipi mtafanya nini?
Kuweni na tabiya ya kujiongeza na msitegemee salary tuu kuishi unatakiwa uwe na another source of income mbali na salary,,
Japo umetumia lugha ya akejeli ila una POINT
 
Hakuna tajiri yeyote duniani aliyepata kuwa tajiri Kwa kutegemea mshahara wa ajira! Akili ya mwajiriwa inaanzia na kuishia kwenye mshahara wake! Hata kama ana miaka zaidi ya kumi kazini, mshahara ukichelewa Kwa wiki moja ni kilio! Ni aibu! Mungu kiokoe kizazi kijacho kisifanane na hiki cha sasa cha kutegemea mshahara wa ajira!
Duniani kuna matajiri wangapi? Ni wafanyabiashara wangapi wanaoishi maisha mazuri kuliko watumishi? Take home ya Laki3 kwa mwezi inabaki ziada ya sh.ngapi ili mtumishi aanzishe biashara? Biashara ni kitu rahisi kama unavyodhani? Vipi ufanisi katika utumishi wa umma utavyokua kila mtumishi akiwa mfanyabiashara? Kwa vile mshahara ni haki yake wacha aulize, ikiwa anakukera usifungue uzi wake au kucomment. Mawazo ya kipuuzi kama hayo kuona biashara ni kitu chepesi na kidogo tena kinachohitaji mtaji wa neno tu kuanzisha ni ya mtu mwenye umbilikimo wa fikra juu ya dhana ya biashara, mwenye kuchukua maneno ya vijiweni na kuyafanya ndio mwangi wake katika maisha halisi.
 
Pambana na hali yako.. (17000/= flat all) increment!
 
Back
Top Bottom