Mirror anaimba vizuri lakini mbona hang'ai?

Mirror anaimba vizuri lakini mbona hang'ai?

Nakwambia hazina maana, na sadly enough watu tumejikuta tu tunazama huko kama dini vile.

Leo nimesiki radio sana. Nilichogundua hata watangazaji baadhi wapo na matimu haya.

Lakin kitu kilichonikata stim na kuona mziki waenda potea kwa kuendekeza ujinga huu, ni wale wanaopiga cm ku request ngoma. Cm moja akiwa Kiba then next lazima ni Diamond. Nikajiuliza watu wanakaa attention that much kama wanalipwa. Ili mradi tu kuendeleza ushindani usio na maana.

Ok tuje kwenye tuzo KTMA 2015. Nafikiri wewe mwenyewe ni shaidi, ilikua ni sahihi kabisa kuziita DIAMOND vs KIBA TMA. Ujinga huu lazima ukome.

Hawa wasanii wawili sio Game. Tuna ngoma kali nyingi ila huu ugonjwa unafanya ziwe ignored.

Sasa mi naanza kampeni mpaka kwa media.
Na zitakufa team hzi.

Nonsense kabisa.

Kamwe hizi timu hazitakufa maana kuna upande una nufaika sana na uwepo wa hizi timu hasa upande wa King! Trust me siku hizi timu zikifa na hawa wawili wakapatana kuna mtu mmoja atapotea mazima! Kiba alipokuwa kimya hizi timu ndizo zilizo anzisha movement kwenye mitandao ili kumrudisha na yeye ana nufaika sana kuliko hata Diamond!
 
Kamwe hizi timu hazitakufa maana kuna upande una nufaika sana na uwepo wa hizi timu hasa upande wa King! Trust me siku hizi timu zikifa na hawa wawili wakapatana kuna mtu mmoja atapotea mazima! Kiba alipokuwa kimya hizi timu ndizo zilizo anzisha movement kwenye mitandao ili kumrudisha na yeye ana nufaika sana kuliko hata Diamond!

What should be done then??
Basi tuwapoteze wote hawa Kenge.., they are not the game..!!
 
mi naona team diamond ndo wanashida sana wanakuja kule kwenye uzi kufanya vurugu ila cc mbona hatuwafanyii yani kuwapatanisha kiba na diamond ni sawa na shabiki wa yanga awe simba au simba awe yanga kitu ambacho ni impossible

Hivi nyie team kiba mna nini lakini? Kwanini Mnapenda kujiona wahanga kwamba nyie ndo mnaonewa? Mnapenda kujivictimize mno, nyie matusi yote haya kwa Diamond, mamaake hadi mashabiki zake huwa hamyaoni? Btw sifikirii kama team diamond ndo tuloanza kumtukana kiba, huwa tunawalipa tu wanaotukopa!
 
we ndo hujaelewa ule ulikuwa ni nfano soma vizuri utaelewa sawa team domo nyinyi ni haters wa kiba hamna kingine na wala ctaki nikuelewe mana sawa Heaven on Earth keep on loving diamond

Btw domo ni nani? Mbona kiba unamtaja kwa kifupi cha jina lake? Huyo domo ndo nani?
 
Last edited by a moderator:
Maajabu leo mpaka Cute b kaniquote baada ya kuzinguana kote ckuile mituc kibao kichambo ulichonipa nilijuuta kukuchora kikatuni" sema nn am humbled Peace :thumbup: msisahau kuvote zimebaki cku chache kama 10 hiv.

Kwanza asante kwa kubadilisha avatar, thanks for being consideret, halafu kwani ulimchora cute be kikatuni😂😂😂 I wish ningekiona nicheke, anyway cute be ni mtu mzuri tu ukikutana naye kwenye majukwaa mengine!
 
Last edited by a moderator:
Alijibu nini huyo KING.??

Kaitafute uiangalie mi siwezi kuhadithia, hili bifu lisiishe hadi king aache kufanya interview za kipumbavu kama zile, ndo maana watu wanasema anatembelea nyota ya dai (japo am not sure kama ni kweli)

Ni sawa na leo hii wizkid akafanye interview Ghana afu mass iwe inaulizwa kati ya wizkid na davido nani mkali? Bora hiyo ingekuwa Tz lakini nchi za watu! To hell!

Kwenye interview za diamond swali kuhusu kiba linakuwaga moja tu na si vinginevyo!
 
Ni big hit hiyo.. Huyu dogo akijipanga atasumbua sana yupo na wasimamizi serious sana alafu anaweza. Atengeneze tu njia zake, ndio kama nilivyosema uwezi kufosi mambo huyu dogo sasa hivi atakuwa mkubwa sana kama namuona hivi. Yani automatically kazi zake zinaongea.
Kweli matumbo yani ngoma zinaongea kweli huwezi force mambo yanajipeleka yenyewe
 
Karibu. Uko tayari kumshawishi Matola na sisi tukae chemba na Chinga One hizi uzi za team zifutiliwe mbali,.? Maana hawa ndo wamiliki wa thread..

IT BEGINS WITH US, UA TIMU...

Matola na Chinga One please come this way.

Hizi uzi za teams zikifutwa, na mkaombea amani itawale. Matimu yataisha hapa.

Muoneni Moderator uzi zifutwe. We need a fresh beginning.

Mimi si support kabisa nyuzi hizo kufutwa...kwanza pamoja na ubaya wa hizo team lakini zina changia zaidi wasanii husika kuongeza bidii kwenye kazi zao na kuwa makini!

Lazima tukubali kwenye muziki lazima kuwepo na mahasimu hiyo ni nature kabisa....na kizuri ni kizuri tuu wala hakihiitaji timu....Diamond na Kiba wana fanya vyema kwakuwa wana uwezo na wanajua si kwa sababu ya timu tuu...hizi timu zina wapushi na kuwapa changamoto tuu!

Huyo mirror mwenyewe pamoja na uwepo wa hizo team tena ya Wema lakini hazijawai kumsaidia na kwasababu namba hazidanganyi ..kiwango chake bado....!
 
Last edited by a moderator:
Huyo mirror ana kipaji gani?? wapo wenye vipaji na bhana.Huyo Mirror aendelee kumuimbia huyo Dada yake.

Huyu mirror hakuna lolote sijawai kuona hicho kipaji na juhudi kutoka kwake..
 
nitasubiri (JUX)-hii ngoma kali saana lakini haina tuzo, hizi tuzo sijui kigezo ni nini ?
 
I feel sad kwa kiba hiz timu zkifa......juz tu hapa baada ya diamond kuachia NANA....walianzisha movement kumtaka kiba atoe video ya Cheketua....nina uhakika bila ule wali nyama kwa timu presidaa kila siku wasingekumbuka kum'boost atoe video!

Halafu naona hawa timu kiba wanalalamika kama wao ndo victims wa kati ya timu yao na team presidaa.....akat wana matusi balaa.....mara anaimba taarabu, video mbovu, mzee wa macollabo....na mambo kibao, wakirudishiwa ndo kama hiv wanalalamika!

Anyway, me n mpenz wa mzik mzur na namkbali kiba toka sinderella na nakshi nakshi ambayo ilikuwaga my favorite song.....ila mm sio mnafik, na kwenye ukwel nasema ukwel.....kiukwel Kiba hata kam amewahi kuwa juu, hajawahi level aliyofikia diamond (anaepinga athibitishe).....asa anapotokea mtu n kukataa mafanikio ya platnumz,,,,cez muelewa, dgo anajitahid sana, kweny ukwel tuseme tu!
...Afu anajiita king....mbn celewi ana u'king gan...kwan huyu amewah kuwa hata juu ya Mr Nice ???

Cna faida na timu yeyote....nasimamia ukwel tu, diamond nae akizngua napiga chin coz cpend mzk mbovu....en I like alikiba songs en cheketua audio nnayo kwa simu yangu na naisikiliza
 
Msitarajie kama kuna msanii mpya au hata wa zamani anae taka rejea ktk game atang'aa recently.

Hii DIAMOND vs KIBA thing ina ukost sana mziki wa bongo flavor.

Yani na mashabiki tumekuwa kama matondo.

All attention is focused into ths two mazafantaz. Kazi kibao mpya na kali zapigwa dash fasta.

Ni ujinga mtupu. Najiondoa kwa matimu ya kipimbi haya.

Sanaaa aseee
 
Yap mkuu, sisi hapa tunataka team kwani tunaona ndiyo catalyst ya ukuaji wa mziki wetu, yeye kama hataki ushindani basi sisi fans tunataka.

Huwezi ukasema timu hizi ni catalyst ya ukuaji wa mziki wetu wakati hao watu wanaoipa game yetu exposure mnataka kuwaangusha kwa kuwapigia kura wakina Davido
 
Amina....

Sasa kazi yetu hapa celeb. ni kuvunja team hzi, tukitoka hapa tumefanikiwa. Tunavamia ista.
Hawawezi tushinda kule, wamejaa watoto wa sekondari.

Uko sahihi, JF ndo mtandao powerful zaidi na wenye influence bongo, tukishaelewana tu hapa wale watoto wa insta wataelewa tu maana wengi ni zero brain. Hizi timu zilivyoanza zilipewa nguvu sana na JF kupitia zile thread mbili, vivyohivo tukiamua tufanye kampeni ya kuziua inawezekana japo itachukua mda
 
Tatizo ana mcopy Rich mavoko,aje na style ya kipekee atang'ara.

utafiti una onyesha wasanii wanao kuja na swaga za kukopi hawatoboi kiviilee na mwisho wanaishia kapuni..

1.z anto -mb dog
2.steve rnb -nuruweli/rama D
3.Godzilla -50cent
4.Rachel -Rayc
5....endelea....
mkuu umechanaganya na msanii spince huyo kila kila kitu ana mkopi Ali kiba.

ila Mirror mi nampenda na ni vile kila mtu anakuwa na hulka yake anapenda kile anachokikubali na siwez kumlazimisha mtu amkubali mtu asie mpenda .



ni hayo tu.
 
Siku hizi hata maubuyu hatupeani Kisa teams. Dinazarde nashukuru ulivoibiwa simu maana ulikua umeamua hakuna kula ubuyu na team tofauti.

hhhhaaa sijaibiwa simu nipo busy na mambo mengineee,,Nina simu kibaoooo na tab juu so kupotea kwangu humu kusikuumize
 
Last edited by a moderator:
hhhhaaa sijaibiwa simu nipo busy na mambo mengineee,,Nina simu kibaoooo na tab juu so kupotea kwangu humu kusikuumize

Kunaniumiza sanaa!
Maana nakunywa hadi panadol kabisaaa...
Una simu nyingi umekuwa mmachinga wa simu?
 
Back
Top Bottom