sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,152
Hahahaaaaaaaaaaa wewe love weyeee
Mlimfanyaje data paka anaretreat? ? Love
Hahahaaaaaaaaaaa wewe love weyeee
Mlimfanyaje data paka anaretreat? ? Love
Hatukumfanya kitu hahahaaaaaa...
Yeye kasema team sio nzuri tuu kwani ni kosa??
Sasa kipenzi uwe neutral bhanaa hizi team na zarau dhid ya upande wa pili sio nzuri...ifikie wakat tuseme enough...
Sawa my mimi lakini sijagi kwenye nyuzi zenu nyie ndo mnatufuata.....
Haaaa tunatumia nini huko kujifanya....
Kwani kuna sehemu nimesema nahama kuwa shabiki wa Diamond
yes.. but let now make the resolution..
Let daimond team respect kiba, let team kiba do the same..
Wote hawa ni wasanii wetu, yes kama wanapersonal weakness let forgive them.. data
Love bhana mimi ni shabiki wa kiba lakini ni team man u. Wew tangu lini shabiki wa yanga atashangilia simba ata kama inacheza na ghana.?
Basi nitampenda domo usijali aya sankoro sankoro kama ngasa
Ha haaa.... namaanisha kwamba kukejeli au kudisi msanii mwingine bila sababu ya msingi ndio tuache, kuwa team fulani bila kukejel wa kuwa na bif sio tatizo.. just show love
data Team ya Kiba imenisaidia niwajue wengi sana hapa Tanzania ukiivunja nitawapotezaAbou Saydou timu hzi zinakusaidia nini.?
Kwanini unakomaa nazo sana ziendelee.?
Tueleze unanufaika nazo vp ili tujue huenda una hoja ya msingi.
data Team ya Kiba imenisaidia niwajue wengi sana hapa Tanzania ukiivunja nitawapoteza
Nakomaa nayo kwasababu nataka mziki mzuri uendelee kuzalishwa na kiba , kutokana na uwepo Wa hizi team Kiba anatoa vitu adimu mnoo
Ha haaa.... namaanisha kwamba kukejeli au kudisi msanii mwingine bila sababu ya msingi ndio tuache, kuwa team fulani bila kukejel wa kuwa na bif sio tatizo.. just show love
What! Kwahiyo nyie mnakua boosted na team diamond kupiga kazi.?? Whart? Guys isn't this nonsense.?!?
Wa kumpuuza tu huyo[/QUOTE
🙁🙁🙁🙁 n me i will do the same !
Hiyo ndio point kudiss vitu ambavyo havina msingi tuache kwa mfano mm. Video ya Kiba cheketua sikuiona mbaya yani sema ule uteam ukanifanya nidiss tuuuu lkn ile video sio kua ni mbaya sdma tu haikua on time" Cha msingi ni kukubali kazi nzuri na uzalendo hahah am out.. am TEAMdiamond am TeamLowassa am TEAMyanga am TEAMLiverpool that may team nashabikia navyopenda all in all mziki mzuri na tukue kiakili co kudiss tuu

:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup: