Mirror anaimba vizuri lakini mbona hang'ai?

ndo mana nimesema team haziwezi kufa hata cku moja coz team domo ni haters wa kiba si umeona mkiambiwa ukweli haya baki na hiyo high thinking capacity(this battle never end )

We were talking about Diamond then all over the sudden unamwingiza Kiba..did i mention him anywhere in my post???

Kasome mara ya pili post yako utajua kwanini nilisema vile.....
 
Heaven on Earth Kimbley nyie ni team domo bakini na domo wenu mumuache kiba mana mnajifanya magenius sanaa
 
Last edited by a moderator:
ndo mana nimesema team haziwezi kufa hata cku moja coz team domo ni haters wa kiba si umeona mkiambiwa ukweli haya baki na hiyo high thinking capacity(this battle never end )

Nianze kwa kusema ivi, muda kidogo nyuma nilikua namkubali sana Mondi na Kiba.
Sikua na team.Ila nlimkubali kiba kitambo. Mudakwapa ni shahidi yangu.Nilishawahi kutukanwa na lusungo kisa nilikua nasifu mafanikio ya diamond japo hajaenda shule
Bidii yake ilini inspire.Ikaja tabia hapa ya kuanzisha thread za kumtukuza Diamond na kumsiliba Ali Kiba.watu walikua wana majivuno, majigambo na maneno machafu sana.
Siwataji.Mimi daima huwa nakua side ya mnyonge, kwa kweli Kiba amekua victim wa dharau na matusi.Nikaona sio mbaya nikiwa supporter wake na kujaribu ku appreciate kizuri anachofanya.
Kwanini dai ana support kubwa wasanii wengine hawaoni kuwa anawashusha?
Uchoyo mbaya sana.Kujistukia na kujiona mafanikio yaliumbwa kwa ajili yako tu!
Kuna watu wa team dai wao ni kama wamekua brain washed kabisa.
 
Last edited by a moderator:
mi naona team diamond ndo wanashida sana wanakuja kule kwenye uzi kufanya vurugu ila cc mbona hatuwafanyii yani kuwapatanisha kiba na diamond ni sawa na shabiki wa yanga awe simba au simba awe yanga kitu ambacho ni impossible

Huko ndo hatutaki fika. Na timu hzi zinakufa leo hapa.
 
We were talking about Diamond then all over the sudden unamwingiza Kiba..did i mention him anywhere in my post???

Kasome mara ya pili post yako utajua kwanini nilisema vile.....

we ndo hujaelewa ule ulikuwa ni nfano soma vizuri utaelewa sawa team domo nyinyi ni haters wa kiba hamna kingine na wala ctaki nikuelewe mana sawa Heaven on Earth keep on loving diamond
 
Last edited by a moderator:
Nianze kwa kusema ivi, muda kidogo nyuma nilikua namkubali sana Mondi na Kiba.
Sikua na team.Ila nlimkubali kiba kitambo. Mudakwapa ni shahidi yangu.Nilishawahi kutukanwa na lusungo kisa nilikua nasifu mafanikio ya diamond japo hajaenda shule
Bidii yake ilini inspire.Ikaja tabia hapa ya kuanzisha thread za kumtukuza Diamond na kumsiliba Ali Kiba.watu walikua wana majivuno, majigambo na maneno machafu sana.
Siwataji.Mimi daima huwa nakua side ya mnyonge, kwa kweli Kiba amekua victim wa dharau na matusi.Nikaona sio mbaya nikiwa supporter wake na kujaribu ku appreciate kizuri anachofanya.
Kwanini dai ana support kubwa wasanii wengine hawaoni kuwa anawashusha?
Uchoyo mbaya sana.Kujistukia na kujiona mafanikio yaliumbwa kwa ajili yako tu!
Kuna watu wa team dai wao ni kama wamekua brain washed kabisa.

unajua upole unasaidia sana kama mavoko mbona haropoki ovyo ila yeye anashindwa kujizuia diamond na hisia Ms.Lincoln nakuunga mkono hata mm kipindi kiba kapumzika kufanya mziki nilikua shabiki wa diamond aliporudi nikamtema ila sasa team diamond ndo hawaskii wala hawaoni kwa diamond so let them love diamond n us kiba no problem(silent team n civilized one but battle never end)
 
Last edited by a moderator:
Nianze kwa kusema ivi, muda kidogo nyuma nilikua namkubali sana Mondi na Kiba.
Sikua na team.Ila nlimkubali kiba kitambo. Mudakwapa ni shahidi yangu.Nilishawahi kutukanwa na lusungo kisa nilikua nasifu mafanikio ya diamond japo hajaenda shule
Bidii yake ilini inspire.Ikaja tabia hapa ya kuanzisha thread za kumtukuza Diamond na kumsiliba Ali Kiba.watu walikua wana majivuno, majigambo na maneno machafu sana.
Siwataji.Mimi daima huwa nakua side ya mnyonge, kwa kweli Kiba amekua victim wa dharau na matusi.Nikaona sio mbaya nikiwa supporter wake na kujaribu ku appreciate kizuri anachofanya.
Kwanini dai ana support kubwa wasanii wengine hawaoni kuwa anawashusha?
Uchoyo mbaya sana.Kujistukia na kujiona mafanikio yaliumbwa kwa ajili yako tu!
Kuna watu wa team dai wao ni kama wamekua brain washed kabisa.

Unachokisema ni sahihi sana. Wote humu ndani tulikuwa ni mashabiki damu , tena damu nzito kwa kiba.

Tatitzo lilianza pale alipojipoteza, Dia akatake over.

Shida sasa,mpaka haya matimu yakaja ni urejeo wa Kiba, paalee Leaders fiesta., ambapo wengi wetu hata mimi sikua na team hadi pale.

Sijui wale fans walikula maharage ya wapi. Di anapeform wao wanapiga kele kibaaa, kibaaa,kibaaa. Na kumrushia makopo Di.

Baada ya lile tukio, Matola akaja na thread, after sometime chinga.

And the rest is where we are.
 
Last edited by a moderator:
Huko ndo hatutaki fika. Na timu hzi zinakufa leo hapa.

mkuuu hizi team zinawafanya wajitume wale jamaa ila sasa kama ni hivyo hata simba na yanga zinauwa vipaji kama kiba na diamond mkuu utasaidiaje na huko ili tupige hatua kwenye soka ????
 
Nashukuru kwa kukiri Di Na Kiba wanaua vipaji.
 
Abou Saydou timu hzi zinakusaidia nini.?
Kwanini unakomaa nazo sana ziendelee.?

Tueleze unanufaika nazo vp ili tujue huenda una hoja ya msingi.
 
Last edited by a moderator:
Hoja nzito , hoja nzito sana mkuu data.

I concur with all ur suggestions.
 
Last edited by a moderator:
Wadau Kimbley Dinazarde dwoxye sumbai BansenBurner binti kiziwi Heaven on Earth Eshy m.s Evelyn Salt kedrick Innocizy kidigi like NikuAdd.

Et al. Come one come all. Lets kill ths team thing.

Ndiooo..!" hazina maana tena . Just say yes.,.

Usichokijua kutoka kwangu ni kwamba;Nikiamua kua mjinga na kujitoa ufahamu basi hakuna ambae anaweza akabadili mawazo yangu hata mnipinge watu billion kwa mamillion !!

Hakuna anaeweza kunibadilisha tabia wala msimamo humu ndani juu ya nilichokiamua na kukishabikia!!sitobadilika.We kama hujui unachokishabikia its up to you!mimi kimbley nitakisimamia,nitakilinda na kukitetea ninachokipenda pale kinapodharauliwa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom