data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,945
- 23,891
Kweli kabisa, ushabiki umepitiliza Mpaka imekuwa upofu... Walioko chini ndio wanazidi kudidimia....
Na hiyo ndo hoja yangu ya msingi.
Kweli kabisa, ushabiki umepitiliza Mpaka imekuwa upofu... Walioko chini ndio wanazidi kudidimia....
Duh stagnant mind! Plato alisema conflicting ndiyo chachu ya Maendeleo sasa nashangaa nyie mnaogopa.
Kwa hoja basi sitoshangaa ukitoa wazo CHADEMA na maCCM vifutwe na turudi mfumo wa chama kimoja.
Hao wakina Mirror nao ni wajibu wao wakomae na game hadi waje wafike level za Kiba na Diamond its possible, kwani hao nao hawazuka tu by surprise from a vacuum bali nao walijiwekeza vya kutosha kwenye mioyo ya washabiki zao kupitia ubora wa kazi zao.
Hahahaha binti kiziwi punguza majungu mkuu
Kwanza kama mtu hataki si basi?yeye kama hataki sisi tunataka
Hahahaaa na leo ndo umeni quote, siku zote huwa niko kwenye ignore list yako nini? Ok byeee ila leo umeongea kitu cha msingi sana!
data Leo una mapoint hadi raha... Umekula cha Ngaramtoni nn!!!
Sijasikia hiyo sentensi ya diamond kusema hazitaki hizi team!alisema kwamba "hizi team zina faida na hasara yake lakini mi sijasikia aliposema hazitaki hizi team!usiongeze maneno tafadhali ambayo hajaongea.
Hapa hakuna uzi utakaofutwa,we kama unataka anzisha uzi wako wa kupinga hizi team lakini usitake wote tufate mawazo yako.We endelea na kampeni yako ila kwangu imegonga mwamba mpaka diamond atangaze kutotambua uwepo wetu
Unaona sasa, wewe tayari ni muhanga wa timu. Zimeshakuathiri na umeanza kuwa na imani kali zaidi hata ya dini yako.
Ushauri wa bure, shtuka mapema b4 its too late.
BETTER LATE THAN NEVER.
Hivi huu unafiki leo umeutoa wapi?siku zote ulikua huoni mpaka uje utuone sisi leo hii hatujitambui kwa kushabikia hizi team??Ingekua Instagram ningesema unatafuta followers sasa humu ndani unatafuta nini?likes au?
Kama wewe umeshtuka basi endelea kushtuka mi bado kabisaaa na wala sina mpango wa kushtuka
Its OK!!kama unaamua kujitoa we jitoe tu ila mi bado kabisa mpaka diamond mwenyewe atangaze kwamba hataki team,hizi team zipo hata huko nje na watu wanafikia hatua ya kuchapana makonde kisa tu team!!!
Waanze wenyewe kwanza wasanii kukataa hizi team ndipo sisi tutafata!
Nimesha sema hapo I was blinded and nonsensical.
Wewe endelea baki usingizini.
Ivi unajua kilichotoke Kenya hadi sasa GENGE is no more.?
Mtakuja shtuka when its too late.
Wasanii kukataa hizi timu ni sawa na kuwakataa mashabiki wao, wanachotakiwa kukataza ni timu kutukanana na kupondana bila sababu ya msingi, watu watoe strong and constructive criticisms kama zipo, hiyo itawajengea wao changamoto na wataendelea kupambana,
Am sure diamond anaijua vizuri biashara ya muziki nikirifaa na majibu yake ya interview ya XXL clouds Fm juzi, ndo maana alisisitiza support na kupambana nje ya mipaka.
Ila honestly dai hata akisema hatutambui sito acha kumshabikia because I real like his music, ana vionjo flani hivi amaizing, he is such a star. Yaani daah #ntaachaushabikiuzeeni !
Unaona sasa akili yako ilvyo nzito. Yani wala hujui ni niñi tunakijengea hoja hapa''?