Mirror anaimba vizuri lakini mbona hang'ai?

Mirror anaimba vizuri lakini mbona hang'ai?

tatzo focus,kjn kalizika kuonekana in my shoes,afu promo ya track zake are running low..?!
 
Kaitafute uiangalie mi siwezi kuhadithia, hili bifu lisiishe hadi king aache kufanya interview za kipumbavu kama zile, ndo maana watu wanasema anatembelea nyota ya dai (japo am not sure kama ni kweli)

Ni sawa na leo hii wizkid akafanye interview Ghana afu mass iwe inaulizwa kati ya wizkid na davido nani mkali? Bora hiyo ingekuwa Tz lakini nchi za watu! To hell!

Kwenye interview za diamond swali kuhusu kiba linakuwaga moja tu na si vinginevyo!

Ni kweli yule presenter alionesha utoto, ila sasa pale Kiba ana kosa gani!?
 
Mi nahisi ilikuwa planned! Anyway inaweza kuwa ni kiherehere cha hisia zangu tu, but it was such worse.

Hakika ilikuwa planned!maana wale wadada wengi wao ni wabongo wanaosoma kenya!wakenya pale walikua wachache sana!ana miaka 28 kingkibaka!ahaahahahahaa
 
Hakika ilikuwa planned!maana wale wadada wengi wao ni wabongo wanaosoma kenya!wakenya pale walikua wachache sana!ana miaka 28 kingkibaka!ahaahahahahaa

Mbona aliweweseka sana kutaja umri? 😂😂😂😂😂 yamenifikaaaa hapaaaaa.
 
Hakika ilikuwa planned!maana wale wadada wengi wao ni wabongo wanaosoma kenya!wakenya pale walikua wachache sana!ana miaka 28 kingkibaka!ahaahahahahaa

kuwa na miaka 28 ni sawa, maana kazaliwa 1986 japo mwezi siujui! Kinachofanya ukatae ni kitu gani!?
 
kuwa na miaka 28 ni sawa, maana kazaliwa 1986 japo mwezi siujui! Kinachofanya ukatae ni kitu gani!?

Wapi nimekataa?na kwa hesabu yako uliyojifunza shule inakwambia mtu aliyezaliwa 1986 leo hii anamiaka 28?kazi ipo hakyamungu!!
 
Back
Top Bottom