kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,669
Nimejaribu kumfatilia huyu dogo yuko vizuri anajua kuimba, nyimbo zake nzuri, sasa nashangaa inakuwaje hang'ai wakati yuko chini ya menejimenti ya bingwa wa kung'arisha nyota za watu 'Wema Sepetu', au ubingwa wake wa kung'arisha nyota unawork kwa baadhi ya watu tu?