Mirror anaimba vizuri lakini mbona hang'ai?

Mirror anaimba vizuri lakini mbona hang'ai?

Haina tofauti yeyote, ni hatari kubwa mbele kwa mafanikio na kukua kwa mziki.

Na bahati yake nzuri Vanessa kwa sasa ni kama hana mtu wa kumchonganisha. Ila utashangaa nae si mda ataingia ktk mtindio huu. Mtu atatafutwa tu.

Davido na Wizkid pia ilikua kama hii diamond na Kiba at the end wasanii wao wenyewe ndio wakaua hayo mambo lkn ad leo wanashindanishwa na kwa kuto kuua teamZao ndio mana hawashirikiani kimuziki Davido na Wizkid japo wako cool all they do nikumake hit aft hit" Hii ni bizness yao sometimes artist create beef kwa ajil ya biashara 2 You as fan dont take it serious or too personal" enjoy mziki mzuri
 
Usichokijua kutoka kwangu ni kwamba;Nikiamua kua mjinga na kujitoa ufahamu basi hakuna ambae anaweza akabadili mawazo yangu hata mnipinge watu billion kwa mamillion !!

Hakuna anaeweza kunibadilisha tabia wala msimamo humu ndani juu ya nilichokiamua na kukishabikia!!sitobadilika.We kama hujui unachokishabikia its up to you!mimi kimbley nitakisimamia,nitakilinda na kukitetea ninachokipenda pale kinapodharauliwa!

Well Said....,
 
Hapo dada unapotoka, unaposema kila msanii aanzishe team yake. Its very wrong.

Kumbuka hizi team zilianza kimizahamizaha, lakini ghafla mtu unajikuta unajenga chuki kali kabisa for no reason. Hili lilianza ntokea mimi, nashkuru nimeshtuka mapema. For sure nilianza chuki kali kabisa dhdi ya kiba, as kitu kinapoendekezwa na kupambwa sana kinageuka kinajenga mizizi na kinakuwa kweli. Kuja shtuka inakuwa too late. Mziki ushakufa.

Hapa tuwaite Matola na Chinga One wafanye consultations na Invisible na Moderator uzi hzi mbili zifutiliwe mbali., ambazo nimesha apa sintang'aa tena ktk uzi hzo mbili.

Kama tunataka tuwe chachu ya mabadiliko tuanze sisi. IT BEGINS WITH US.

"UA TIMU, BRING BACK BONGO FLAVOR TO ALL ARTISTS"

Uwezi kushindana na nature. Na hauwezi kubalance vipaji.

Diamond kaipeleka game next level huku wengine wakiwa bado hawajajiandaa, atuwezi kumsimamisha ili wengine waamke kwanza huko ni kurudisha muziki ulipotoka.

Kama kiba amepata supporters wakutosha hiyo haijaja from nowhere ni yeye sasa kuigeuza kuwa opportunity.

Mwisho wa siku uwezi kupambana na nature hao wengine wakaze, tatizo wanataka kuwa Diamond b.
 
Last edited by a moderator:
Kidogo kidogo naona wagon gains momentum, tutafika muafaka mzuri tu, tusupport gud muzik tuwachane na huu umboyoyo wa teams teams kila uchao....mi nikiingiaga hili jukwaa zile sredi mbili ndo kitu huwa sipendi kabisa kukigusa.

Bado tuko pamoja data
 
Last edited by a moderator:
Kidogo kidogo naona wagon gains momentum, tutafika muafaka mzuri tu, tusupport gud muzik tuwachane na huu umboyoyo wa teams teams kila uchao....mi nikiingiaga hili jukwaa zile sredi mbili ndo kitu huwa sipendi kabisa kukigusa.

Bado tuko pamoja data

hahahaaa.., mkuu nahisi kabisa kuna ndumba. Watu hawapokei mawazo mapya.
 
Last edited by a moderator:
Maajabu leo mpaka Cute b kaniquote baada ya kuzinguana kote ckuile mituc kibao kichambo ulichonipa nilijuuta kukuchora kikatuni" sema nn am humbled Peace :thumbup: msisahau kuvote zimebaki cku chache kama 10 hiv.

You deserve my :thumbup: coz umeongea ukweli.
Kuhusu ile siku ulinikwaza sana nilijaribu kuvumilia nikashindwa but im sory.
Kuhusu kuvote mimi nila siku navote.
Asante na kwa kubadili avater.
One love
 
You deserve my :thumbup: coz umeongea ukweli.
Kuhusu ile siku ulinikwaza sana nilijaribu kuvumilia nikashindwa but im sory.
Kuhusu kuvote mimi nila siku navote.
Asante na kwa kubadili avater.
One love

Hahaha apology accepted" kama unavote dat cool jitahidi cku utupie ata kaScreenshot basi" abt avatar naona inatisha sana watu lol¡
1♥
 
Huyo mirror ana kipaji gani?? wapo wenye vipaji na bhana.Huyo Mirror aendelee kumuimbia huyo Dada yake.
 
Mmesikia ngoma mpya ya baraka da prince na ruby - nivumilie ni hatari tupu

Ni big hit hiyo.. Huyu dogo akijipanga atasumbua sana yupo na wasimamizi serious sana alafu anaweza. Atengeneze tu njia zake, ndio kama nilivyosema uwezi kufosi mambo huyu dogo sasa hivi atakuwa mkubwa sana kama namuona hivi. Yani automatically kazi zake zinaongea.
 
Hizi team zina msaidia sana Kiba. Sina team ila Ni ukweli wa wazi kwamba hizi team zina work in advantage of Kiba.

Kama hawa jamaa watafanya ngoma moja au hizi team kupotea jua na Kiba nae ndio mwisho wake kabisa.

Dayamondi karuka viunzi vingi from kusemwa ni Freemason, mchawi, hajui kuimba, anasafiria nyota ya wema to sasa asipigiwe kura kwenye tuzo kote huko he stood strong na Bado anasonga mbele. Kama kiba asingefananishwa na Dayamondi basi angeflop kabisa hivyo wale wa team Kiba waendelee kumfananisha king wao na Dayamondi maana ndio pona yao

Teams zinaharibu music industry hell yes ila zinamfavor Kiba no doubt na ndio watu wanajali zaid at the moment wakiongozwa na exs wa Dayamondi

Teh teh kwani uongoooooooo! ? Juzi king kwenye interview ya citizen anaulizwa maswali kibao kuhusu diamond! Hhahaha eti presenter anawauliza kati alikiba na Diamond nani mkali? Hahhahhahahhahhah nilicheka sana, I was like is this interview concern with diamond?
 
diamond skendo ndo zinambeba kwenye mziki yani anakua kwenye headlines za magazet kila siku ila wenzake kama richmavoko anajua kushinda huyo raisi wenu sema hana demu ka mziwanda na shilole ndo maana anapotea mara moja maskioni mwa watu ye diamond anamuogopa mavoko kinooomaa hadi kuna kipind mavoko kasema anarogwa na diamond no skendo no diamond kwani richmavoko hana demu au ommy dimpoz mbona hawaweki hadharani ila diamond na nuh inawafaidisha hiyo style ya kutoka na master wa kike ili wawe gumzo :nasubiri povu mana team fln hawatakubali

Kwahiyo mziwanda yuko juu? You must be kidding!
 
Teh teh kwani uongoooooooo! ? Juzi king kwenye interview ya citizen anaulizwa maswali kibao kuhusu diamond! Hhahaha eti presenter anawauliza kati alikiba na Diamond nani mkali? Hahhahhahahhahhah nilicheka sana, I was like is this interview concern with diamond?

Teh Teh...King Kiba huwa akiulizwa kuhusu Diamond hupandwa na hasira hadi anaonekana usoni....!
 
Teh teh kwani uongoooooooo! ? Juzi king kwenye interview ya citizen anaulizwa maswali kibao kuhusu diamond! Hhahaha eti presenter anawauliza kati alikiba na Diamond nani mkali? Hahhahhahahhahhah nilicheka sana, I was like is this interview concern with diamond?

Alijibu nini huyo KING.??
 
Back
Top Bottom