kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,669
- Thread starter
- #21
Msitarajie kama kuna msanii mpya au hata wa zamani anae taka rejea ktk game atang'aa recently.
Hii DIAMOND vs KIBA thing ina ukost sana mziki wa bongo flavor.
Yani na mashabiki tumekuwa kama matondo.
All attention is focused into ths two mazafantaz. Kazi kibao mpya na kali zapigwa dash fasta.
Ni ujinga mtupu. Najiondoa kwa matimu ya kipimbi haya.
Yap hizi timu zinawaathiri wanamuziki wengi, but unajua Mirror alikuwepo kabla hata ya hizi timu. Hata hivyo kuna baadhi still wanang'ara pamoja na uwepo wa hizi timu, mfano Baraka da Prince