Mirror anaimba vizuri lakini mbona hang'ai?

Anapelekeshwa na madam nanihiu yule alimpigia promo mwimbaji wa 'sarafina' ndo maana hatoki na ataendelea hivohivo kutong'aa😱

Daaah!
...mkuu nlikuwa napita tu sina mpango wa ku'comment!
...ila comment yako imenifurahisha sana, mpak raia pemben hapa wananishangaa!
...usiku mwema mkuu!
 
Huyo dogo hajawa tayari kuwa mwanamuziki,yupo yupo tu haendi Mbele.

Kama Jack willshere a.k.a wheelchair toka aanze kucheza pale arsenal hajaenda tena Mbele
 
Kuna watu nimeshawaona wameshakuwa extreemist ktk hizi teams yaani data hawataki hata kuona hii kitu unayoandika hapa, lakini ipo siku wataona tu kwamba someone somewhere pre-empted this incidence.

Wako wengi sana. Ni ugonjwa mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
Vanessa mdee ana VanessamdeeClub twitter na instagram ni die hard fans wake" hii nayo inatofauti gani na teamMondi na Kiba??
 
Nakwambia hazina maana, na sadly enough watu tumejikuta tu tunazama huko kama dini vile.

Leo nimesiki radio sana. Nilichogundua hata watangazaji baadhi wapo na matimu haya.

Lakin kitu kilichonikata stim na kuona mziki waenda potea kwa kuendekeza ujinga huu, ni wale wanaopiga cm ku request ngoma. Cm moja akiwa Kiba then next lazima ni Diamond. Nikajiuliza watu wanakaa attention that much kama wanalipwa. Ili mradi tu kuendeleza ushindani usio na maana.

Ok tuje kwenye tuzo KTMA 2015. Nafikiri wewe mwenyewe ni shaidi, ilikua ni sahihi kabisa kuziita DIAMOND vs KIBA TMA. Ujinga huu lazima ukome.

Hawa wasanii wawili sio Game. Tuna ngoma kali nyingi ila huu ugonjwa unafanya ziwe ignored.

Sasa mi naanza kampeni mpaka kwa media.
Na zitakufa team hzi.

Nonsense kabisa.

Hizi team zina msaidia sana Kiba. Sina team ila Ni ukweli wa wazi kwamba hizi team zina work in advantage of Kiba.

Kama hawa jamaa watafanya ngoma moja au hizi team kupotea jua na Kiba nae ndio mwisho wake kabisa.

Dayamondi karuka viunzi vingi from kusemwa ni Freemason, mchawi, hajui kuimba, anasafiria nyota ya wema to sasa asipigiwe kura kwenye tuzo kote huko he stood strong na Bado anasonga mbele. Kama kiba asingefananishwa na Dayamondi basi angeflop kabisa hivyo wale wa team Kiba waendelee kumfananisha king wao na Dayamondi maana ndio pona yao

Teams zinaharibu music industry hell yes ila zinamfavor Kiba no doubt na ndio watu wanajali zaid at the moment wakiongozwa na exs wa Dayamondi
 
Na ndio maana huyu Abou Saydou hayuko tayari kabisa team hzi zipoptee as they work on kibas favor.

Lakini mwisho wa siku ni kosa moja tu litalowapoteza wasanii hawa vibaya.
 
Last edited by a moderator:
Hizi team zina msaidia sana Kiba. Sina team ila Ni ukweli wa wazi kwamba hizi team zina work in advantage of Kiba.

Kama hawa jamaa watafanya ngoma moja au hizi team kupotea jua na Kiba nae ndio mwisho wake kabisa.

Dayamondi karuka viunzi vingi from kusemwa ni Freemason, mchawi, hajui kuimba, anasafiria nyota ya wema to sasa asipigiwe kura kwenye tuzo kote huko he stood strong na Bado anasonga mbele. Kama kiba asingefananishwa na Dayamondi basi angeflop kabisa hivyo wale wa team Kiba waendelee kumfananisha king wao na Dayamondi maana ndio pona yao

Teams zinaharibu music industry hell yes ila zinamfavor Kiba no doubt na ndio watu wanajali zaid at the moment wakiongozwa na exs wa Dayamondi

hapa umeongea kishabiki hujaongea point hata moja je kiba na diamond nani kaanza kuimba? je kiba wakati huo anaanza kuimba alikuwa anamtegemea nani ili ahit?
 
Hizi team zina msaidia sana Kiba. Sina team ila Ni ukweli wa wazi kwamba hizi team zina work in advantage of Kiba.

Kama hawa jamaa watafanya ngoma moja au hizi team kupotea jua na Kiba nae ndio mwisho wake kabisa.

Dayamondi karuka viunzi vingi from kusemwa ni Freemason, mchawi, hajui kuimba, anasafiria nyota ya wema to sasa asipigiwe kura kwenye tuzo kote huko he stood strong na Bado anasonga mbele. Kama kiba asingefananishwa na Dayamondi basi angeflop kabisa hivyo wale wa team Kiba waendelee kumfananisha king wao na Dayamondi maana ndio pona yao

Teams zinaharibu music industry hell yes ila zinamfavor Kiba no doubt na ndio watu wanajali zaid at the moment wakiongozwa na exs wa Dayamondi

mkuu kama bifu linamsaidia msanii mbona q chief na h baba wana bifu na diamond kwa madai ya kuiba nyimbo (nataka kulewa) kwa nn wao hawatumii hiyo chance???
 
kama bifu diamond ana bifu na wasanii wengi sana mbona hawavumi sasa kama kiba mnavyosema anatumia nyota ya dai kuna belle9 kisa tuzo q chief h baba bobjunior mbona na hao hawakutumia hiyo chanse ya bifu kutoka mnaongea kiushabiki sio uhalisia kiba kaanza kuimba kabla dai iweje amtegemee dai,?? not true!!
 
diamond skendo ndo zinambeba kwenye mziki yani anakua kwenye headlines za magazet kila siku ila wenzake kama richmavoko anajua kushinda huyo raisi wenu sema hana demu ka mziwanda na shilole ndo maana anapotea mara moja maskioni mwa watu ye diamond anamuogopa mavoko kinooomaa hadi kuna kipind mavoko kasema anarogwa na diamond no skendo no diamond kwani richmavoko hana demu au ommy dimpoz mbona hawaweki hadharani ila diamond na nuh inawafaidisha hiyo style ya kutoka na master wa kike ili wawe gumzo :nasubiri povu mana team fln hawatakubali
 
Skendo nao hao uliowataja zinarushwa bali hazivutii watu na ndio maana mapaparazi hawawafatilii kama Diamond.

Diamond hana hata haja ya kunyanyua mikono kusema nipo hapa ni wanamsaka wao wanajua ana nyota ya kupendwa na amejulikana kwa miziki yake na ndio inayovutia watu hadi leo. Maisha yake binafsi nayo yanakuja kama package inayovutia watu kutaka kumjua zaidi na anajitahidi sana kwa kweli huwa haweki kila cha maisha yake ya kila siku hadharani na kifamilia anajua kuchagua na anapojisikia anamwaga.

Hao wengine nao wakitaka wanaweza kufanya hivyo na kuvutia watu watake sikia habari zao kila siku. Kila mtu na lwake kama hauna nyota hauna tu. Hata wengi hawaelewi ni kujipa promo kivyako watu waone bidii zako hapo utavutia wengi hata wakuingia show zako za mamillioni sababu wanajua unapiga kazi na inaonekana. Sasa fanya basi kujiona ma short cut ndio mwendo au kutaka wengine washuke hapo unabigwa mabao na wengi.

Cha muhimu ni waji promo hata vi drama wajaribu kama hawana pesa ndio kila kitu na kuitafuta akili inahitajika huku ukijiheshimu na kuheshimu watu.

Haya re matimu kiukweli inaudhi kwa mimi kuona huo ushabiki wa kwenda nchi za nje na matusi mitandaoni. Na kutaka kushusha wengine, ila hadi leo sielewi kwanini Kiba alisemaga last year kwamba anataka kiti chake or anarudi yeye ndio awe juu please anayejua aniambie. Ile ya only yeye ni king how? why kutumia uking ni kazi zake au historia yake au what? Thanks
 
Nakwambia hazina maana, na sadly enough watu tumejikuta tu tunazama huko kama dini vile.

Leo nimesiki radio sana. Nilichogundua hata watangazaji baadhi wapo na matimu haya.

Lakin kitu kilichonikata stim na kuona mziki waenda potea kwa kuendekeza ujinga huu, ni wale wanaopiga cm ku request ngoma. Cm moja akiwa Kiba then next lazima ni Diamond. Nikajiuliza watu wanakaa attention that much kama wanalipwa. Ili mradi tu kuendeleza ushindani usio na maana.

Ok tuje kwenye tuzo KTMA 2015. Nafikiri wewe mwenyewe ni shaidi, ilikua ni sahihi kabisa kuziita DIAMOND vs KIBA TMA. Ujinga huu lazima ukome.

Hawa wasanii wawili sio Game. Tuna ngoma kali nyingi ila huu ugonjwa unafanya ziwe ignored.

Sasa mi naanza kampeni mpaka kwa media.
Na zitakufa team hzi.

Nonsense kabisa.

Yaaaaah huyu ndio data sasa real gentleman
 
Last edited by a moderator:
Karibu. Uko tayari kumshawishi Matola na sisi tukae chemba na Chinga One hizi uzi za team zifutiliwe mbali,.? Maana hawa ndo wamiliki wa thread..

IT BEGINS WITH US, UA TIMU...

Ebu ngoja kwanza nikusifie...... data umebadilika sana mdogo wangu. Now umekuwa na akili
 
Last edited by a moderator:
Karibu. Uko tayari kumshawishi Matola na sisi tukae chemba na Chinga One hizi uzi za team zifutiliwe mbali,.? Maana hawa ndo wamiliki wa thread..

IT BEGINS WITH US, UA TIMU...
Kuuwa hizi team moja kwa moja bado sana. Coz fans ndo tunaziendeleza na kuna bifu nono kati ya fans wa kiba na dai Kuuwa hizi team moja kwa moja bado sana. Coz fans ndo tunaziendeleza na kuna bifu nono kati ya fans wa kiba na dai.
na ndomaana ata hapa jf watu ule ushabiki wa kwenye team ata akikukuta kwenye nyuzi nyingine bado anakujibu shombo maanake tumeshavuka mipaka ya ushabiki sasa ni bifu.
Leo ata kiba na dai wapatane fans hawataweza kupatana bila kurekebisha tofauti zao.
binafsi naona team hazina madhara yoyote kwenye kuua mziki kwa sababu team zinawafanya wasanii wajitambue. Sasa mkuu data kabla hujaanza kupromote kampeni ua team lazma uanze step kwa step.
Mambo ya kufuatana na kuzodoana kisa wew ni team flan yaishe huo muda watu watumie kuwajadili wasanii wao. Wewe data mwenyew unajua jinsi ulivyokuwa unakuja kutukoroga kule makusudi ukiona team yako ndo bora na mmesoma sisi team mbaya na hatujasoma ndo sera zako kila ukija unazani mimi sina kinyongo na wewe?
Kiba na domo hawawezi kupatana kabla mashabiki hawajawa kitu kimoja trust me.
So uje utengue zile kauli zako za ajabu ajabu na kututukania adi mama zetu ili na sisi tuweze kuungana na wew kwenye hiyo campen.
Tofauti na hapo unajidanganya.
 
Last edited by a moderator:
Namquote diamond at xxl clouds

""hivi vitu vinatokea, na kila binadamu anauhuru wake yupi amshabikie, na hizi team ni nzuri, na kama mtu unaakili huwezi kuzitumia vibaya""
(nadhani hapa alimaanisha matusi ambayo kwa instagram ndio imekuwa too much, pamoja na fitna na chuki tunazowekeana kati yetu, something which is so pathetic.. nawaombeni tuwe na akili na kuondoa upuuzi wote huo)

""na nichachokiamini mimi ni kwamba changamoto sikuzote ndio chachu ya kukua mziki, lakini kwa huu ulinganishi uliopo hauwezi kuinua industry yetu, ni wakati sasa waanze kushindanisha na wasanii wa nje kama mimi niweke na davido mwingine muweke na wizkid etc"""

MY TAKE;
Hizi team ziendelee, na kwa sababu Alikiba na Diamond wameshakiri kuwa hawana tofauti kati yao basi ninawaomba wanajamvi wenzangu kila mmoja wetu ajiheshimu tusikashifiane, wala kudharauliana iwe mwisho hata wa maneno ya kejeli (ndomo, kibakuli etc.)

Tuelewe tu kwamba ubora wa alikiba kipimo chake si diamond, wala ubora wa diamond kipimo chake si kiba... Tukikubaliana kwa pamoja hapo basi kila mmoja ampe hadhi mwanamuziki anayemkubali yeye binafsi ndio kipimo na si vema kuwafananisha Je mnawaona wakina wizkid, na davido miungu watu wamezaliwa na huu muziki tusiwafananishe nao???

Acheni ukuda ni suala na kujiheshimu na kuacha uchawi kukesha kukashifiana...
 
Skendo nao hao uliowataja zinarushwa bali hazivutii watu na ndio maana mapaparazi hawawafatilii kama Diamond.

Diamond hana hata haja ya kunyanyua mikono kusema nipo hapa ni wanamsaka wao wanajua ana nyota ya kupendwa na amejulikana kwa miziki yake na ndio inayovutia watu hadi leo. Maisha yake binafsi nayo yanakuja kama package inayovutia watu kutaka kumjua zaidi na anajitahidi sana kwa kweli huwa haweki kila cha maisha yake ya kila siku hadharani na kifamilia anajua kuchagua na anapojisikia anamwaga.

Hao wengine nao wakitaka wanaweza kufanya hivyo na kuvutia watu watake sikia habari zao kila siku. Kila mtu na lwake kama hauna nyota hauna tu. Hata wengi hawaelewi ni kujipa promo kivyako watu waone bidii zako hapo utavutia wengi hata wakuingia show zako za mamillioni sababu wanajua unapiga kazi na inaonekana. Sasa fanya basi kujiona ma short cut ndio mwendo au kutaka wengine washuke hapo unabigwa mabao na wengi.

Cha muhimu ni waji promo hata vi drama wajaribu kama hawana pesa ndio kila kitu na kuitafuta akili inahitajika huku ukijiheshimu na kuheshimu watu.

Haya re matimu kiukweli inaudhi kwa mimi kuona huo ushabiki wa kwenda nchi za nje na matusi mitandaoni. Na kutaka kushusha wengine, ila hadi leo sielewi kwanini Kiba alisemaga last year kwamba anataka kiti chake or anarudi yeye ndio awe juu please anayejua aniambie. Ile ya only yeye ni king how? why kutumia uking ni kazi zake au historia yake au what? Thanks

unajua diamond anajistukia et anasema anataka ashushwe et kisa tuzo kapata chache halafu yule jamaa anapenda sana show off na kama kupata tuzo chache ni kushushwa kimziki inamaana yeye wakati anapewa tuzo belle 9 barnaba c walikosa tuzo mbona hawakusema kama wanataka kushushwa kimziki yani kiufupi diamond ye anajiona bora kushinda msanii yeyote tz kitu ambacho sio kweli ila skendo ndo zinambeba we angalia mademu wake anaochukua wana title na anaweka public maisha yake
 
Back
Top Bottom