Mirror anaimba vizuri lakini mbona hang'ai?

Mirror anaimba vizuri lakini mbona hang'ai?

Namquote diamond at xxl clouds

""hivi vitu vinatokea, na kila binadamu anauhuru wake yupi amshabikie, na hizi team ni nzuri, na kama mtu unaakili huwezi kuzitumia vibaya""
(nadhani hapa alimaanisha matusi ambayo kwa instagram ndio imekuwa too much, pamoja na fitna na chuki tunazowekeana kati yetu, something which is so pathetic.. nawaombeni tuwe na akili na kuondoa upuuzi wote huo)

""na nichachokiamini mimi ni kwamba changamoto sikuzote ndio chachu ya kukua mziki, lakini kwa huu ulinganishi uliopo hauwezi kuinua industry yetu, ni wakati sasa waanze kushindanisha na wasanii wa nje kama mimi niweke na davido mwingine muweke na wizkid etc"""


MY TAKE;
Hizi team ziendelee, na kwa sababu Alikiba na Diamond wameshakiri kuwa hawana tofauti kati yao basi ninawaomba wanajamvi wenzangu kila mmoja wetu ajiheshimu tusikashifiane, wala kudharauliana iwe mwisho hata wa maneno ya kejeli (ndomo, kibakuli etc.)

Tuelewe tu kwamba ubora wa alikiba kipimo chake si diamond, wala ubora wa diamond kipimo chake si kiba... Tukikubaliana kwa pamoja hapo basi kila mmoja ampe hadhi mwanamuziki anayemkubali yeye binafsi ndio kipimo na si vema kuwafananisha Je mnawaona wakina wizkid, na davido miungu watu wamezaliwa na huu muziki tusiwafananishe nao???

Acheni ukuda ni suala na kujiheshimu na kuacha uchawi kukesha kukashifiana...

Na kingine mashabiki wa diamond mkome kabisa kumtukana mtu malaya wakati hata ukucha wake hamuujui, mkome kututukania baba na mama zetu, mkome kukutukania watoto na viungo vyetu.Mkome kutukana akili na fikra zetu.Mkiona mnashabikia msanii bora kabisa acheni na huyo duni apate japo mashabiki.
Mkome kabisa uchokozi na utoto usio na tija
Mkome kabisa hapo tutaelewana.Kana unakuwa huna hoja ya msingi bora ukae kimya Mkome kuona msanii fulani anataka kushushwa kisa msanii mwingine anapata credit japo kwa kidogo anachofanya.
Kingine kabisa data ana hoja nzuri na kuna mengi ya kujifunza.
Kuna watu wazima kabisa wana abudu team.Wapo blinded mpaka hawaoni mbele wala nyuma. Pathetic.Mi najifunza kwake ingawa namsupport Kiba nawasupport pia wasanii wengine wazuri.
Mziki wa bongo ni zaidi ya dai na Kiba.
 
Last edited by a moderator:
Vanessa mdee ana VanessamdeeClub twitter na instagram ni die hard fans wake" hii nayo inatofauti gani na teamMondi na Kiba??

Haina tofauti yeyote, ni hatari kubwa mbele kwa mafanikio na kukua kwa mziki.

Na bahati yake nzuri Vanessa kwa sasa ni kama hana mtu wa kumchonganisha. Ila utashangaa nae si mda ataingia ktk mtindio huu. Mtu atatafutwa tu.
 
Karibu. Uko tayari kumshawishi Matola na sisi tukae chemba na Chinga One hizi uzi za team zifutiliwe mbali,.? Maana hawa ndo wamiliki wa thread..

IT BEGINS WITH US, UA TIMU...
data mkuu hizi team haziwezi zikafa hata siku moja kuna watu wanapiga pesa nyingi sana kwenye show kupitia hili bifu unakumbuka tigo concert lile tamasha halafu we jiulize zito kabwe (manager wa kigoma al stars ) alishindwaje kuwapatanisha na ruge je anashindwaje kingne kiba na diamond kila mtu anajiona yeye ndo kakosewa aombwe yeye msamaha
 
Last edited by a moderator:
unajua diamond anajistukia et anasema anataka ashushwe et kisa tuzo kapata chache halafu yule jamaa anapenda sana show off na kama kupata tuzo chache ni kushushwa kimziki inamaana yeye wakati anapewa tuzo belle 9 barnaba c walikosa tuzo mbona hawakusema kama wanataka kushushwa kimziki yani kiufupi diamond ye anajiona bora kushinda msanii yeyote tz kitu ambacho sio kweli ila skendo ndo zinambeba we angalia mademu wake anaochukua wana title na anaweka public maisha yake

Sasa belle 9 na barnaba washushwe kwani wamepanda wapi?? Kati Yao hapo kuna hata mmoja aliyevuka border??
 
Karibu. Uko tayari kumshawishi Matola na sisi tukae chemba na Chinga One hizi uzi za team zifutiliwe mbali,.? Maana hawa ndo wamiliki wa thread..

IT BEGINS WITH US, UA TIMU...

halafu kingine mkuu kuwapatanisha watu sio kwamba ndo watapatana hapana tunda man na matonya walipatanishwa cloudz ila mpaka leo hawana urafiki ule wa karibu na walitoa hadi nyimbo pamoja ila bado sasa kiba na diamond kupatana never ruge mwenyewe anafurahia hilo bifu c anapiga pesa ukita show yako ijaze waite hao wawili kiba na diamond kwenye tamasha utaona watu watakavyojitokeza kwa wingi
 
Last edited by a moderator:
Ebu ngoja kwanza nikusifie...... data umebadilika sana mdogo wangu. Now umekuwa na akili

hahaha., ahsante. Nafurah sana kuona wewe ,hasa wewe waona kuna hoja ya maana hapa.

Im proud of you.
 
Last edited by a moderator:
Sasa belle 9 na barnaba washushwe kwani wamepanda wapi?? Kati Yao hapo kuna hata mmoja aliyevuka border??

mkuu kipind diamond anachukua c walikua same level na kama tuzo za ktma kulalamikiwa ni toka zamani sasa kwa nn diamond anasema ana taka kushushwa kivipi sasa wakati tuzo ni mtu yeyote anaweza pewa !! htajana kaandika et anataka kushushwa
 

Attachments

  • 1436332449730.jpg
    1436332449730.jpg
    41.1 KB · Views: 88
jamaa kazima kwatym hii coz anasubir kwanza shavu la muheshimiwa mtarajiwa..source😛lanetbongo
 
Kuuwa hizi team moja kwa moja bado sana. Coz fans ndo tunaziendeleza na kuna bifu nono kati ya fans wa kiba na dai Kuuwa hizi team moja kwa moja bado sana. Coz fans ndo tunaziendeleza na kuna bifu nono kati ya fans wa kiba na dai.
na ndomaana ata hapa jf watu ule ushabiki wa kwenye team ata akikukuta kwenye nyuzi nyingine bado anakujibu shombo maanake tumeshavuka mipaka ya ushabiki sasa ni bifu.
Leo ata kiba na dai wapatane fans hawataweza kupatana bila kurekebisha tofauti zao.
binafsi naona team hazina madhara yoyote kwenye kuua mziki kwa sababu team zinawafanya wasanii wajitambue. Sasa mkuu data kabla hujaanza kupromote kampeni ua team lazma uanze step kwa step.
Mambo ya kufuatana na kuzodoana kisa wew ni team flan yaishe huo muda watu watumie kuwajadili wasanii wao. Wewe data mwenyew unajua jinsi ulivyokuwa unakuja kutukoroga kule makusudi ukiona team yako ndo bora na mmesoma sisi team mbaya na hatujasoma ndo sera zako kila ukija unazani mimi sina kinyongo na wewe?
Kiba na domo hawawezi kupatana kabla mashabiki hawajawa kitu kimoja trust me.
So uje utengue zile kauli zako za ajabu ajabu na kututukania adi mama zetu ili na sisi tuweze kuungana na wew kwenye hiyo campen.
Tofauti na hapo unajidanganya.

Mi ndo nshamuv forward, sintong'aa tena ktk hzo tread.

Na wala si ngumu sisi hapa celeb. tukiamua vunja hzi team kwa pamoja na tukaahidi kupeana support kwa pamoja basi tumefanikiwa. Huko insta ni sisi wenyewe pia ndo tupo huko.

"UA TIMU.. Bring Back Bongo Flavor to all Artists"
 
Last edited by a moderator:
Mi ndo nshamuv forward, sintong'aa tena ktk hzo tread.

Na wala si ngumu sisi hapa celeb. tukiamua vunja hzi team kwa pamoja na tukaahidi kupeana support kwa pamoja basi tumefanikiwa. Huko insta ni sisi wenyewe pia ndo tupo huko.

"UA TIMU.. Bring Back Bongo Flavor to all Artists"

Okay niombe msamaha maana ulinikosea sana.
 
unajua diamond anajistukia et anasema anataka ashushwe et kisa tuzo kapata chache halafu yule jamaa anapenda sana show off na kama kupata tuzo chache ni kushushwa kimziki inamaana yeye wakati anapewa tuzo belle 9 barnaba c walikosa tuzo mbona hawakusema kama wanataka kushushwa kimziki yani kiufupi diamond ye anajiona bora kushinda msanii yeyote tz kitu ambacho sio kweli ila skendo ndo zinambeba we angalia mademu wake anaochukua wana title na anaweka public maisha yake

Low thinking Capacity.....
 
MY TAKE;
Hizi team ziendelee, na kwa sababu Alikiba na Diamond wameshakiri kuwa hawana tofauti kati yao basi ninawaomba wanajamvi wenzangu kila mmoja wetu ajiheshimu tusikashifiane, wala kudharauliana iwe mwisho hata wa maneno ya kejeli (ndomo, kibakuli etc.) ...

Ukisema tu hizi timu ziendelee, tayari unaharibu maana.

Watu hawawezi zuia hisia zao, na kibongobongo inakua imekaa ki fitna zaidi. Kurudishana nyuma bila sabäbu.
 
Sasa belle 9 na barnaba washushwe kwani wamepanda wapi?? Kati Yao hapo kuna hata mmoja aliyevuka border??

Hawa Barnabas na Belle 9 ni mfano tu wa wahanga, wanaathirika pakubwa sana na hii supremacy ya KIBA na MONDY.

Hao wasanii 1st class,superb.. Ila upepo wote hauvumi kwao.

Its SAD. Ndo kilio changu hcho.
 
Nimekusamehe data now we a friend

Amina....

Sasa kazi yetu hapa celeb. ni kuvunja team hzi, tukitoka hapa tumefanikiwa. Tunavamia ista.
Hawawezi tushinda kule, wamejaa watoto wa sekondari.
 
Last edited by a moderator:
Low thinking Capacity.....

ndo mana nimesema team haziwezi kufa hata cku moja coz team domo ni haters wa kiba si umeona mkiambiwa ukweli haya baki na hiyo high thinking capacity(this battle never end )
 
mi naona team diamond ndo wanashida sana wanakuja kule kwenye uzi kufanya vurugu ila cc mbona hatuwafanyii yani kuwapatanisha kiba na diamond ni sawa na shabiki wa yanga awe simba au simba awe yanga kitu ambacho ni impossible
 
Matola na Chinga One please come this way.

Hizi uzi za teams zikifutwa, na mkaombea amani itawale. Matimu yataisha hapa.

Muoneni Moderator uzi zifutwe. We need a fresh beginning.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom