Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,812
Reaction score
39,580
Binafsi sioni kosa la Dudu baya
Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili

Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie?

BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani?

Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa

Mashoga yamejipenyeza hadi serilini
Wafanya maamzi baadhi ni machoko
 
Nakupa huu ushauri wewe Kaka yangu wochi bela baki. Si kwamba nakupenda sana au nakujali, la hasha. Natoa tu indhari kwako.

Mimi ni mmoja wa watu wanaotamani kuona unaadabishwa vikali na kukomeshwa ili uache ujinga na ulevi. Na mwisho kabisa upelekwe Hospitali ya Taifa ya Mirembe kwa matibabu zaidi ya akili yako iliyoathiriwa na madawa ya kulevya.

Back to the major point, hawa watu wachache wanaokujaza na kukupampu bichwa lako la wochi bela baki huko mitandaoni, hawakukuunga mkono kwenye mahangaiko yako ya muziki toka ulivyopigwa pini mwaka 2006.

Hao watu wanaojifanya wanakuunga mkono kwenye hii vita yako uchwara ya usenge isiyo na kichwa wala miguu iliyojaa udhalilishaji na ulevi, hawakukuunga mkono kwenye muziki wako uliododa.

Sababu kuu ni moja tu, muziki wako ni mbaya. Wewe hauna kipaji chochote kile. Unaimba matakataka, hauna hits wala hauna mvuto wa kisanii. Umechoka, umezeeka, umepitwa na wakati.

Mbwembwe na vibwagizo vya wochi bela baki haviwezi kukuokoa na dhahma iliyo mbele yako. Ulevi na visungura ndio hatma yako iliyobaki.

Umeshapoteaaa, hakuna anayekujua, wala hakuna anayekujali. Wanakudanganya kwa sababu umewasisimua na kitu wanachokiogopa sana. Umewatia mihemko wanayoipenda kwenye suala zima la udaku.

Hao wanaokujaza bichwa lako hilo wako mtandaoni tu. Huku kwenye ground utakutana na sisi, na tutakuadabisha.

Hatutajali kama wewe ni mzee au umelewa. Utaadabishwa vilivyo bila maskhara.

Endelea kutii sheria, kuwa na nidhamu na ujiepushe na vibwagizo vya kilevi.

Cc: Lamomy cocastic secretarybird Nelly
 
Kati ya Dudubaya na Machoko ni nani asiyetii sheria? Ushoga ni kosa kisheria,
Kwahiyo machoko wao kutafunwa wanatii sheria?

Dudubaya hawezi kurudishwa nyuma wala kutiwa uoga kwa uzi wa JF,

Bila shaka umemjua Dudubaya hivi karibuni tu,huyo jamaa kisha kaa sana Polisi,kisha kaa sana Jela,hakuna jipya kwake lakumtisha,

Wanao muunga mkono ni wengi kuliko wanao mpinga,

Y B W Y B
 
Akili za Dudubaya huzijui 😂😂yaan yote yale anayoyafanya ni yeye na akili zake tu wala hatumwi wala hatafuti sifa !! Yaan yeye masuala ya kulala rockup ashazoea na ukorofi ni asili yake ! Tangu kitambo hicho.
Huyu ndo alivyo na ni hulka yake.
 
Back
Top Bottom