Binafsi sioni kosa la Dudu baya
Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili
Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie?
BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani?
Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa
Mashoga yamejipenyeza hadi serilini
Wafanya maamzi baadhi ni machoko
agenda
basata
chama
dhidi
dudu baya
dudubaya
hapo
hawajitambui
kichwani
migongo
mkono
nguvu
sehemu
tafakuri
trauma
ulinzi
ushoga
vita
vita ya ushoga
wanachadema
watanzania
wenyewe
Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini.
Na hapa...
Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa.
Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema.
Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mpaka kufika saa 8 wengi simu zenu zitakuwa zimekosa chaji.
Naomba kujiweka sawa nawapa taarifa ila wanataka kufanya kitu kibaya watawala na washapanga.
Nimekuwa kimya muda mrefu baada ya fitina na majungu ya watu wasiowema kutaka niwe kimya.
Mapambano yaendelee. Chama kwa sasa hakina vibaraka. Na mziki wa Chadema CCM wanauona hata pamoja kukaa madarakani kupitia uchafuzi
Safari hii hawa nyumbu wamejuzuia sana kutorukia hii agenda. Pamoja na wanaharakati shetani Mange na bibi Maria kuivalia njuga habari ya kifo cha jambazi Banjoo ila wanaCHADEMA wengi hawajaunga mkono harakati zao. Sijajua kama ni ukomavu wa kiakili au labda kwa sababu Jambazi Banjoo hakuwa mtu...
kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mitandao ya kijamii likimunukuu John mnyika kutoa kauli inayosema kuwa tusipo muangukia mbowe wanachadema hatutoboi
Baada ya kufanya ufuatiliaji wa kina kwa kutumia njia ya utafutaji wa maneno tumebaini kuwa taarifa hiyo nipotoshi na ina nia ya...
“He Killed My Ma, He Killed My Pa… I'll Vote for Him”
Hiyo ilikuwa slogan ya wafuasi wa dikteta Charles Taylor wa Liberia mwaka 1997 kwenye uchaguzi mkuu baada ya kuisha kwa vita vya kwanza vya wenyewe kwa wenyewe mwaka 1996. Vijana walijitoa ufahamu na kudai hata kama Taylor aliwaua baba na...
Natoa rai hii kwa Wanachadema wote nchini na wasio Wanachadema, kujitokeza kwa wingi wa maelfu nje ya mahakama kesi ijayo.
Endapo Wananchi mtajitokeza kwa wingi wa maelfu basi siku hiyo itaua molari ya polisi Nchi nzima, na wote wanaofanya kampeni.
Kuna kosa la kimsingi na kimkakati naona...
Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Felius Kinimi, wametoka kwa dhamana baada ya kushikiliwa kwa siku tatu kwa madai ya kufanya mkusanyiko iliyo kinyume cha sheria.
Soma Pia: Polisi Kilimanjaro Wawashikilia Watuhumiwa 18 akiwemo Kiongozi wa...
Taarifa kutoka Arusha
Wazee maarufu na wa CHADEMA hapa Arusha Baba Boni, Mzee Lenald Mao na Mzee William Lusingo wamekamatwa tar 07.09.2025, wanashikiliwa kituo kikuu cha police Arusha. Wamenyimwa dhamana..
#Mashujaaday💔
Akizungumza na waandishi wa habari nje ya mahakama Agosti 18, 2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika amewataka Wanachadema wengine kuendelea kufanya siasa ilimradi tu wasitumia mali za chama kwani zuio la kutokufanya siasa ni kwa katibu Mkuu na bodi ya wadhamini.
===
"Kitu kingine ambacho...
Sisi wana CHADEMA tunakubali kwamba ajenda yetu ya No reform no election ni ngumu kutekelezeka, tunachofanya sasa ni kuchungulia katika madirisha ya nyumba ya CCM na kushangilia lolote linalotokea au kuzomea.
Ajenda yetu imeshindikana, CCM wakiendelea hivi, CHADEMA tutapotea katika meza ya...
Nimeona askari magereza wakinangwa pasipo sababu, kwamba wanazuia Lissu asipeane mikono wala kubadilishana nyaraka na mawakili wake.
Watu wanatakiwa kuelewa kwamba Lussu is a red line; ndo mwanasiasa mwenye mvuto kwa sasa ndani ya Afrika Mashariki. Maana yake huyu mtu anatakiwa kulindwa.
Hao...
Hakika huu ni uzalendo. Nawapongeza sana kina Godbless Lema na makada wengine wa CHADEMA kwa kufuatilia kwa karibu zoezi linaloendelea la uchukuaji fomu za kugombea uongozi kwenye vyombo vya dola. Hii ni ishara kuwa watanzania wakiwemo makada wa CHADEMA wana imani na CCM. Makada wengi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.