dudu baya

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya: Dimpoz naomba unisamehe, “nilitumia jina lako ili ujumbe ufike dunia nzima, Endelea kulinda mgongo wako

    Msanii wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini maarufu kama Dudu Baya, leo Septemba 29, 2026 amemuomba radhi Msanii mwenzake, Omary Nyembo “Ommy Dimpoz”, kutokana na kauli aliyoitoa dhidi yake. Akizungumza kupitia ujumbe aliouchapisha mtandaoni, Dudu Baya amesema, “nilitumia jina la Ommy Dimpoz ili...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya: Kwanza niwashukuru Watanzania, hii milioni tatu nitampelekea Baba yake na Banana Zoro, Prof Jay na mama yangu

    Msanii wa muziki wa Rap nchini, Dudu Baya, ametoa shukrani za dhati kwa Watanzania na wasanii wenzake Madee, Babu Tale, na Fid Q baada ya kumsaidia kumlipia faini ya mahakamani. Akizungumza kuhusu msaada huo, Dudu Baya ameeleza kuwa fedha kiasi cha Shilingi milioni tatu ambacho alikuwa...
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hoja za Dudu baya zinashinda gani? Kwanini walengwa hawapeleki mashaka yao polisi?

    Kila nikijifikiria issue ya Dudu baya, naona kabisa ni yuko sahihi Maana washtakiwa wote wanaishia kuomba radhi na kutaka yaishe Ila serekali inaingilia kati, hasa hawa basata kama wa kina nani wakati wahusika na wanaozushiwa chakula hawasemi lolote? Hii inathibitisha kuwa jamaa anapiga...
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kingu: Dudu Baya ni mpambanaji, tutamchangia shilingi million 1.5

    Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu amempongeza mwanamuziki Godfrey Tumaini maarufu Dudu Baya kwa juhudi zake za kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kulinda maadili, akimtaja kuwa ni mpambanaji wa maadili na “Balozi wa Wabunge” katika kampeni yake ya 'Linda Mgongo wako'. Kingu...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Lissu anapigania Mambo ya msingi kuliko hata Dudu Baya. Lakini angalia akili za wabongo wengi. Hopelessly

    TUNDU LISSU ANAPIGANIA MAMBO YA MSINGI KULIKO HATA DUDU BAYA. LAKINI ANGALIA AKILI ZA WABONGO WENGI HOPELESSLY. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ukitaka kujua akili za watu angalia yale wanayoyashabikia na kuyapigania. Hiyo itakupa picha upo na watu wa aina gani. Tundu Lisu ni moja ya...
  6. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamuunga mkono Dudu baya na chunga mgongo wako, Je watafukuzwa ubunge?

    Kufuatia mwana mziki wa Bongo fleva Dudubaya kuibuka na juhudi zake za kupinga ushogq nchini. Juzi tulishuhudia Basara wakimfungia bwana Dudubaya kufanya shughuli zake Na kupiga faini ya sh 3,000,000. Kisa kuwapiga marungu wale wasiyo linda migongo yao. Leo hii wabunge wamejitikeza kumuunga...
  7. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Harakati za dudu baya zimeanza kuzaa matunda

    Chipukizi wa kiume huko mashuleni na wao wamekubali harakati..Wanalinda migongo Yao kwa wivu mkubwa. Mafanikio haya ya dudu baya yamfikie BICHWA KOMWE - pamoja na mshirika wake cocastic
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

    Bado Niko Kanda ya ziwa huku! Aiseeh! Hii CCM kuiondoa madarakani ni kazi kwelikweli. CCM haipo tuu midomoni. CCM ilipandwa kwenye akili za watu. Yaani asilimia 90% ya Watanzania wanaakili za kiccm CCM. Wengi unaowaona wanapinga CCM wengi wao ni Njaa tuu. Wala hawapingani na uccm ambao...
  9. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya ni mshiriki wa mapenzi ya jinsia moja: Kumbukumbu za maktaba na rejea ya ugomvi wake Mr. Nice

    Unapotaka kupigana vita yoyote, lazima uwe na mamlaka ya kimaadili ya hali ya juu sana, vinginevyo utabomolewa kila upande. Kwa taarifa zilizopo, inaelezwa kwamba, Dudu Baya na Mr. Nice walizua ugomvi mkubwa sana wakimgombea tajiri maarufu wa enzi hizo na mmiliki wa Moro United anayejulikana...
  10. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kuna kampeni kabambe ya kumchafua dudu baya humu

    Tambueni kuwa starehe yenu hio hio kwetu ni laana
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Binafsi sioni kosa la Dudu baya Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie? BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani? Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa Mashoga yamejipenyeza hadi serilini Wafanya maamzi baadhi ni machoko
  12. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Dudu baya apewe adhabu kali iwe fundisho kwa watu wote kama yeye: Afungiwe milele kujihusisha na muziki

    Nitoe agizo kwa wenye mamlaka, huyu dudu baya wa wochi bela baki anastahili adhabu kubwa na kali sana kuliko adhabu yoyote iliyowahi kutolewa kwa msanii yoyote Tangu kuumbwa kwa Tanzania. Dudubaya asiye na mamlaka yoyote ya kimaadili, inaonekana ni kana kwamba anataka kumalizia hasira zake za...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania BASATA yamfungia Dudu Baya na kutakiwa kulipa faini ya Tsh. Milioni 3 ndani ya siku 14

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa taarifa kwa umma kuhusu maamuzi yaliyotolewa dhidi ya msanii Godfrey Tumaini (Dudubaya) pamoja na Mratibu Mkuu wa Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava. Maamuzi hayo yamefikiwa kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 19 Septemba, 2026 katika Viwanja vya...
  14. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tutaangalia kama Dudu Baya anaweza kuwajibishwa kisheria

    Leo hii, Waziri wa Michezo, Paul Makonda, akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Mkataba kati ya TFF na Sandaland, ameeleza kuhusu sintofahamu ya wochi bela baki aliyoizua mitandao. Makonda amesisitiza kwamba, yeye na jopo lake la wataalamu, pamoja na watendaji walio chini yake...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kama utani, dudu baya ameipeleka mbele hoja ya ushoga Hadi JF😌😌

    Ilianza kama utani lakini ndo hivyooo, great thinkers Sasa wanaongelea ushoga tu muda wote. Kijijini kwetu, mwanaume unatakiwa kujiamini na hutakiwi kuyazungumzia mambo ya kijinga kama ushoga Kila dakika.....yaani Kila unapofungua kinywa basi wewe ni kutaja neno hilo tu. Jamii itaanza kukuwekea...
  16. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya hana mke wala mtoto: Tafakuri ya maisha yake ya jumla, usanii, na mustabali wa kioo chake cha jamii

    Huyu kaka yetu wa wochi bela baki amekuja kwa kasi sana mjini. Amevamia jiji kwa spidi bila mikakati madhubuti. Alipotoka kule kwao Bariadi miaka hiyo, alipokelewa na GZRW mitaa ya magomeni na akafadhiliwa humo kula kulala buree bila malipo yoyote. Sijui nini kilimpata, lakini inaonekana...
  17. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Dudu baya apewa simu na milion Moja kama pongezi ya kukemea ushoga

    Mkurugenzi wa Mkombozi Furniture, Leo amemuita Dudu Baya ofisini na kumpa Zawadi ya kiasi Cha shilingi milioni Moja na simu mpya. Pia mkurugenzi huyo amempa nafasi Dudu Baya ya kuchagua kitu chochote Dukani hapo, Na Dudu Baya amechagua kiti chenye thamani ya laki nane. Mkurugenzi huyo ame...
  18. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Psychoanalysis ya wapinga ushoga

    Mara zote niko makini sana kusoma tabia na saikolojia ya wapinga ushoga kwa muda mrefu sana sasa. Ni wazi na bila shaka kabisa, nimebainisha na kujiridhisha, na ninaweza kusema bila hofu yoyote kwamba, wapinga ushoga wengi wao ni mashoga, au kwa asilimia chache, ni watu wanaoogopa kuwa mashoga...
  19. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Dudu baya ni nani kwenye hili taifa; Naagiza akamatwe mara moja

    Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi? Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu. Hata vile nilisikia ati Waziri Gwajima anamsifia kwa kutokomeza ushoga? Kwanza nani alisema ushoga unaangamizwa kwa...
  20. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya: Suma linda Mgongo wako hali ni Mbaya

    Dudu Baya, amepandisha joto la bifu kwenye tasnia ya muziki baada ya kumjia juu msanii mwenzake Suma Mnazaletti kufuatia wito wa Suma kuwataka wasanii kuungana kumpinga. Dudu Baya ametumia mitandao ya kijamii kurusha kombora zito dhidi ya Suma Mnazaletti, akidai kuwa msanii huyo hana kazi ya...
Back
Top Bottom