Michael Augustine Lukindo

Michael Augustine Lukindo

Nilikuwa na maana haya Makaburi ya kisasa, kwenye UKUTA.

Cemetery%20wall.JPG

Kwa hiyo kama unaepuka mwili wako kuwa recycled huna jinsi.
 
Kuna mmoja mchagga yuko Adelaide keshakuwa mzee kbs hata sijui kama ndugu zake wanataarifa nae. Anapiga lager na kuishi kisela mtu mzee kbs, hatari sana!

Majina ya akina Lukindo wako wwngi huenda atapatikana nduguye, poleni sana

Sent from Nokla using Jf app
mkuu unaishi adelaide?
 
Nilikuwa na maana haya Makaburi ya kisasa, kwenye UKUTA.

Cemetery%20wall.JPG

In any closed system, entropy tends to increase.

Hata ukizikwa kwenye makaburi ya kikesho, acha ya kisasa. Mwili utakuwa recyclled tu.

Blame it on the inevitable second law of thermodynamics.
 
Huu ni upuuzi... Kwanini mke hakutaka kujua ndugu wa mumewe kabla hajafa??

Kuna kitu anaficha hapa... Apambane mwenyewe ayamalize!!
life is not black and white there is a lot of gray areas. Hatujui kama kila siku alikuwa anamganganiza amjulishe kwao anakataa au anampiga sound; maadam sasa hivi amefariki kuna watu waliobaki wana haki mfano watoto wanayo haki pia ya kuwajua ancestors wao. Pia mke kama nayeye anataka anayo haki pia ya kuwajua wakwe zake kama akitaka no matter mume wake alitaka au hakutaka
 
Labda kilichokutoa roho ni foreign affairs mpaka unajidhalilisha kwa kuandika kisichokuwepo....

Mimi ni mfagizi tu mwenye elimu duni na kipato kisichokufikia hata robo....

Umefurahi sasa?
listen young man

kama kweli unadhani kufanya foreign ndio kunasumbua watu, then you need some serious education

you are such a low person....

dah... kweli hujui usemalo wala nini
 
Hapo hapo unasema imekusikitisha mara wanikemea mimi kuhangaika na yasiyonihusu hivi upstairs upo sawa?

Imekusikitishaje ikiwa haikuhusu? Umejuaje kuwa kafa kibudu?

you are too low!!!
upeo wako mdogo...

ndugu yetu anasikitisha kwa kufa kibudu... he could have reached out or give chance kwa wanae kuwajua nduguze, but that is his choice

naweza kusikitika ila siwezi kumhukumu

he had his choices

ila wewe ni bure kabisa... baada ya kushindwa hoja umeanza viroja

bure kabisa
 
Silly.........
 
marehemu ana acount hapa jf, facebook na my space ni kweli huyu jamaa ni mwenyeji wa pangani tanga\ alikata mawasiliano na ndugu zake kwa sababu ambazo sitaweza kuweza hapa ila hizi taarifa zinatia shaka kidogo inawezekana ni za kupikwa tu labda kama ndugu zake wameamua kuzipotezea tu kutokana na kutofautiana kwao

Mkuu inaelekea.unamfahamu marehemu ila unataka kutunza faragha yake kama alivyoamua kuishi mwenyewe. Babu kubwa.

Taarifa gani zinatia shaka? Kwa nini zinatia shaka?
 
life is not black and white there is a lot of gray areas. Hatujui kama kila siku alikuwa anamganganiza amjulishe kwao anakataa au anampiga sound; maadam sasa hivi amefariki kuna watu waliobaki wana haki mfano watoto wanayo haki pia ya kuwajua ancestors wao. Pia mke kama nayeye anataka anayo haki pia ya kuwajua wakwe zake kama akitaka no matter mume wake alitaka au hakutaka

Haisumbui.

Kama marehemu hakutaka kuhusiana na ndugu zake, na sasa amefariki, basi afanyiwe safari yake ya mwisho hivyo hivyo kivyakevyake.

Then wakishamchoma moto, wakimaliza shughuli, wanaweza kutafuta ndugu wengine, wajue mengi zaidi.

Siyo mtu hajapelekwa mahali pake watu watu washataka kujua ndugu huko.

Kuna.watani wanaweza kuwaambia hamna kuchoma moto wala kuzika, marehemu ana deni la dola milioni moja kwa kuikimbia nchi yake ya kuzaliwa kwa miaka yote hiyo.
 
Najaribu kufuatilia kama atakuwa miongoni mwetu.
Nakumbuka jamaa yangu mmoja alienda America alafu hakukaa sana akarejea, moja ya simjulizi alizotwambia ni kuwa kuna baadhi ya watanzania aliwakuta huko na ambao alidhani walishafanikiwa kimaisha lakini akasema hata nauli ya kurejea makwao ni tatizo!
Watz kweli tuna matatizo zaidi ya ccm!
​Sasa hapa umeshangazwa na nini??mbona wengi tu hapo daslama wamelowea na wameshindwa kurudi huko kwao kijijini na hata hawajulikani...hiko ni kitu cha kawaida ukiondoa wachaga ambao mara nyingi mwisho wa mwaka wanaenda migombani kwamakabila mengine kuna watu wanakaa hapo dar more than 30 years hawajaenda kwao na evidences ninazo kuna watu nawajua na wana vyeo vikubwa tu serikalini lakini kijijini kwao hawajakanyaga kwa long time.
 
Ndugu zake wa Tanzania wameshapata taarifa. Marehemu asili yake ni Muheza Tanga. Asanteni kwa kuweka taarifa hii mtandaoni.
 
labda yule mwimbaji wa injili MIRIAM LUKINDO anaweza akawa ndugu yake huyo
Mkuu,at least mngekuwa mnajua anatokea Tanga sehemu gani kwa sababu hilo jina la Lukindo wapo weeengi wa koo tofauti,wazigua,wabondei.sasa huyo katokea Tanga ipi?
 
Haisumbui.

Kama marehemu hakutaka kuhusiana na ndugu zake, na sasa amefariki, basi afanyiwe safari yake ya mwisho hivyo hivyo kivyakevyake.

Then wakishamchoma moto, wakimaliza shughuli, wanaweza kutafuta ndugu wengine, wajue mengi zaidi.

Siyo mtu hajapelekwa mahali pake watu watu washataka kujua ndugu huko.

Kuna.watani wanaweza kuwaambia hamna kuchoma moto wala kuzika, marehemu ana deni la dola milioni moja kwa kuikimbia nchi yake ya kuzaliwa kwa miaka yote hiyo.
All in All hatujui..., mimi naweza kusema sisi hapa kumjadili marehemu kafanya au hakufanya nini tunatenda makosa zaidi.

Anyway hapa kuna haki za wengi, mke pia anayo haki na watoto pia wanayo haki, na kwa vile marehemu ametangulia tunaweza tukasema mwenye maamuzi makubwa kwa sasa ni mke wake, na kama mke wake kaamua ndugu watafutwe who are we to say otherwise ? Hata kama marehemu hakutaka ndugu zake watafutwe, Je mwanamke hana haki ya kuwatafuta wakwe zake ?, Privacy na rights za individual they are only valid in my opinion if they dont affect anyone else (emotional or otherwise), unless uniambie kwamba the significant other hana say kwenye maisha / maamuzi ya muhusika.

Pia jamii ya watu aliokuwa anaishi nao huku, kama hakuwaachia maamuzi ya kufanya iwapo atatangulia mbele ya Haki basi automatically wao ndio watajua cha kufanya, sababu ni wao ndio watahusika kuandaa mazishi yake as well as kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa (unless kama aliacha fungu la pesa na maelekezo ya kufanya siku akiondoka)

By the way hapa ninatoa mifano tu kama hiki au kile kikitokea au mtu yoyote akikumbwa na issue kama hii simuongelei marehemu sababu sijui facts zozote
 
​Sasa hapa umeshangazwa na nini??mbona wengi tu hapo daslama wamelowea na wameshindwa kurudi huko kwao kijijini na hata hawajulikani...hiko ni kitu cha kawaida ukiondoa wachaga ambao mara nyingi mwisho wa mwaka wanaenda migombani kwamakabila mengine kuna watu wanakaa hapo dar more than 30 years hawajaenda kwao na evidences ninazo kuna watu nawajua na wana vyeo vikubwa tu serikalini lakini kijijini kwao hawajakanyaga kwa long time.
Mkuu unajua watanzania wengi wenye mawazo kama ya huyo jamaa uliyem-quote wanasumbuliwa na ukosefu wa ''exposure''. Wengi wanafikiri Ulaya au Marekani ni sehemu ambayo ''binadamu waokota fedha'' kama majani, hivyo basi wakiambiwa kuna mtu anaishi Ulaya au Marekani na anapiga mzinga wanaona haiwezekani! Sasa Tanzania ina watu wangapi ambao ni hohehae bin taaban hawana mbele wala nyuma wala kati... kwanini ''hawawashangai'' wakati wanaishi na kula nao siku zote! Maisha ni popote na kukwama ni popote haijalishi Ulaya, Amerika au Afrika.
 
All in All hatujui..., mimi naweza kusema sisi hapa kumjadili marehemu kafanya au hakufanya nini tunatenda makosa zaidi.

Anyway hapa kuna haki za wengi, mke pia anayo haki na watoto pia wanayo haki, na kwa vile marehemu ametangulia tunaweza tukasema mwenye maamuzi makubwa kwa sasa ni mke wake, na kama mke wake kaamua ndugu watafutwe who are we to say otherwise ? Hata kama marehemu hakutaka ndugu zake watafutwe, Je mwanamke hana haki ya kuwatafuta wakwe zake ?, Privacy na rights za individual they are only valid in my opinion if they dont affect anyone else (emotional or otherwise), unless uniambie kwamba the significant other hana say kwenye maisha / maamuzi ya muhusika.

Pia jamii ya watu aliokuwa anaishi nao huku, kama hakuwaachia maamuzi ya kufanya iwapo atatangulia mbele ya Haki basi automatically wao ndio watajua cha kufanya, sababu ni wao ndio watahusika kuandaa mazishi yake as well as kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa (unless kama aliacha fungu la pesa na maelekezo ya kufanya siku akiondoka)

By the way hapa ninatoa mifano tu kama hiki au kile kikitokea au mtu yoyote akikumbwa na issue kama hii simuongelei marehemu sababu sijui facts zozote

Wewe nawe umedandia gari kwa mbele. Unataka kutudanganya kuwa KAMA mtu akiacha wosia basi akifariki hauna maana!
 
snowhite njoo kwanza hapa! Yaani hii hadithi naifuatilia meanwhile nasubiria yamtokee mtu wangu wa karibu. Nilijua tuuuuuu JESUS CHRIST anahusika somewhere! Aiseee!

ngoja nipite nikiugulia maumivu. Ila huyu angekuwa binamu yangu, for whatever reason, wala nisingetaka kuhusika na msiba. Ila Sikonge ameeleza vizuri, pengine sasa mama na watoto wanataka closure na kuwajua ndugu zao.
Historia yake

Augustino “Mike” Lukindo, 59 , departed this life on Sunday, March 16, 2014, surrounded by his immediate family. Mike was born and raised in Tanzania, Africa (Tanga) to Augustino and Josephine Lukindo. He moved to America in the early 1980’s, where he lived in Providence, Rhode Island for five years. Mike married Lillie B. in Rhode Island, and later moved to Madison where they built their family of four and confessed his life to Christ.

Mike was a family man, a funny guy with a good sense of humor. He loved to joke around. He liked comedy and he loved going to his children’s school to participate. He always had a smile and his favorite phrases were “Hey Brother-in-law , Sister-in-law, where the party at?” .

michael+family.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hii ishu ni ngumu sana. Kuna watanzania wengi wakifika huko ulaya hawataki tena kurudi wala mawasiliano hayapo. Namjua mmoja aliondoka mwaka 1982 kijijini kwao kwa hisani ya Mwalimu Nyerere kisa alifaulu masomo ya kidato cha sita vizuri sana. Akapata offer ya kwenda kusoma Uingereza hakurudi tena. Baba yake alikuwa anafanya kazi Reli ya Afrika mashariki. Kaoa huko na kabadili na uraia kuchukua uraia wa Sweden
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom