King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
hahaha Kiranga, mie bwana naishi maisha yangu ya furaha following my heart. saa zingine watu wanataka kuniaminisha kuwa nna wazimu afu nagoma kabisaaa. (mzembe wa historia, ngoja nitasoma hiyo article)
mie huwa namkatisha mtu akinipigia simu upuuzi, i will intervene kwa mtoto tuu ila jitu lina meno arubaini na ushee! wooi!
ngoja nikupe uzoefu wa hao jamaa wasiotaka wa kwao. kuna ndugu yangu mpotelea mbali kuna kipindi alikaa 5 yrs bila kurudi home. akaonekana kanisani huko mkoa gani, sasa mamangu mdogo kanipigia eti ndugu yenu kakutana na fulani huko. amefikia hotel fulani, twende tukamfuate. why hajawatafuta! nilitoa jibu moja tu, msinisumbue! mie hata nikumuona lane ya pili hapa barabarani naongeza sauti ya mziki kabisaaa na sishushi kioo hata akiita. hajataka kuwatafuta na hajakuja kwa nauli yako, unamtakia nini? eboo! hehehe, mwaka uliofuata akaja na kunisaka. stori ikawa eti alikuja na mkaonana? nikasema yap! mbona hakutusaka, nikawaambia kwa jinsi mnavyopenda kumghasi wala hatowatafuta kabisaaa! manake maswali kama polisi, unaoa lini, unafanya kazi wapi, sijui nini? aaagh!
mie namind mambo yangu. ustaarabu wako usiingilie wa kwangu, then we are good. hata dingi ananijua hahahaha!bhange zinanifaa hizi, legalize marijuana in kaa-tea-bar!:A S-frusty2:

King'asti mie ujue nakumind sana misimamo yako ilivyo cut and dry.
Mie nikisema hapo juu msiba kama huu unaweza kuwapelekea wazee wengine wakakutukana.
Kuna daftari la Wafalme wa Mali (kama umepitia historia utajua habari za Mali/ Songhai/ Ghana kina Sundiata na Mansa Musa). Basi daftari hili lilizua mjadala baada ya wanahistoria kutaka kuchunguza rekodi ya Mfalme mmoja akiitwa Abu Bakr II. Huyu Abu Bakr II inasemekana alikaa na kuangalia bahari, akasema kama mnavyoona huu mto Niger una nchi kavu pande mbili, vivyo hivyo bahari hii ya Atlantic ina mwisho wake huko kuna nchi kavu. Akachukua msafara mkubwa sana na kujitia baharini. Akatokomea kwenda Marekani huko kabla ya Christopher Columbus. Yeye aliondoka circa 1311, akichukua vyombo 1000 alivyosheheni watu na vyombo vingine 1000 alivyosheheni bidhaa kochokocho, pamoja na dhahabu.
Katika utamaduni wa Mali ile ilikuwa ni kashfa. Mfalme kaacha watu wake. Wazee wakakubaliana kutoa jina lake kwenye rekodi za wafalme wa Mali. Ma griots wakamsema kama mtu tu aliyetokomea.
Na huyu alikuwa "explorer king" ambaye pengine hakutaka kutokomea kwa makusudi.
BBC walifanya documentary yake huyu mfalme a while back, an article is available here
Africa's 'greatest explorer'
BBC News | AFRICA | Africa's 'greatest explorer'
Halafu watu ukiwaambia kuna umuhimu wa kuchimba zaidi, kujua hata marehemu alitakaje, kabla ya kutafuta ndugu na kuzua dhahma huko. Wanaona unaleta ubishi.
Last edited by a moderator: