Michael Augustine Lukindo

Michael Augustine Lukindo

Ngoja nimtafute ndugu yangu ATHANAS LUKINDO na mkewe CAROLA KINASHA

john.jpg

duh! na Uncle fredy wa mitaa ya upanga. labda wanaweza kumfahamu
 
mkuu lusungo nimekuelewa vizuri sana ktk bandiko hili japo kuna baadhi wanaleta ujuaji wa kujifanya hawakuelewi,najua ni kwa sababu gani.

nasikia maafisa wa serikali mnapoenda huko ughaibuni mnakumbana na tabu ya "kupigwa mizinga" na kuliliwa shida za hapa na pale toka kwa baadhi ya diasporas waliopigika kimaisha.kuna ukweli ktk hili?.
 
Last edited by a moderator:
Dah!

Ina maana jamaa hakuwa kabisa na mawasiliano au mahusiano na ndugu au jamaa yeyote yule Tanzania?
na bado wanataka wamtafutie ndugu wakati yeye keshakufa. wanajua kwanini hakuwatafuta akiwa hai?
 
Mzembe uyo.wacha achomwe moto.sasa ni mda kwa watoto wake kutafuta ndugu tz kupitia mitandao ya jamii na vyombo vya habr
 
Heri uchomwe moto kuliko UOZE na ULIWE na FUNZA. Sasa hapa Mzembe nani?

Hebu fikiria siku hiyo Wadudu WANAKULA. Yes, hadi wanagongeana Glass. "Jamaa limenona hili, hihiiii....." Na wewe hapo kabla hujafa, ndiyo unajiona Mjanjaaaa kwa sababu hukuchomwa. Mifupa yako miaka milioni 5 ijayo, itakuwa imegeuka makaa ya mawe au mafuta sijui kama siyo Almasi na watu watakuvaa masikioni.
Mzembe uyo.wacha achomwe moto.sasa ni mda kwa watoto wake kutafuta ndugu tz kupitia mitandao ya jamii na vyombo vya habr
 
mkuu lusungo nimekuelewa vizuri sana ktk bandiko hili japo kuna baadhi wanaleta ujuaji wa kujifanya hawakuelewi,najua ni kwa sababu gani.

nasikia maafisa wa serikali mnapoenda huko ughaibuni mnakumbana na tabu ya "kupigwa mizinga" na kuliliwa shida za hapa na pale toka kwa baadhi ya diasporas waliopigika kimaisha.kuna ukweli ktk hili?.

Mkuu wangu nashangaa mashambulizi niloyapata wakati hata huko sijaingia kwa undani...

Ngoja tuwaachie wajuaji ukumbi ila ukweli hauwezi futwa kwa matusi...
 
Last edited by a moderator:
Ndivyo alivyotaka hivyo mwenyewe?

Watu wengine wanagombana na familia zao wanajitia nchi za watu mahsusi ili kukata link zozote na ndugu zao, angalieni msije kuwa mnafikiri mnasaidia kumbe mna violate wishes za marehemu.

Aliacha will? Kama ipo inasemaje? Kama haipo sababu zinazomfanya huyu mkewe awatafute ndugu zake ni nini?

Kuna hela ya life insurance anataka kuwagawaia? Kuna majivu ya marehemu anataka kuwagawia? Anataka wanawe wajuane na ndugu wengine wa Tanzania?

Mtu kakaa miaka thelarhini hana habari na ndugu zake Tanzania, leo kafariki rationale ya kutafuta ndugu ni nini?

Nafikri mwanamke angependa watoto wajua historia yao kwa upande wa baba yao kwa sababu ya mama ilishafutika au imebadilika siku nyingi zilizopita.
Kwa kua anajua Michael anatokea Tanzania anagependa watoto wake wawajue ndugu zake wa Tz. Kumbuka historia ya Obama pia.

Usilaumu kabla ya kujua sababu.
 
Nani kalaumu?

Kutaka kujua matakwa ya marehwmu ni kulaumu?

Marehemu kama hataki mke na watoto wajuane na ndugu wa Tanzania kwa sababu mke anaweza kuambiwa habari za kurithiwa na kaka wa marehemu, huoni hapo kujivika usaidizi za marehemu kuiunganisha familia yake na ndugu wa bongo kunaweza kuongeza zogo tu?

Kati yangu mimi ninayetaka kujua matakwa ya marehemu kabla.ya kutafuta ndugu, na wewe unaye assume tu vitu, kwamba mke wa marehemu anataka uhusiano wa kidugu baada ya mvua thelathini, nani anataka kufanya vitu bila kujua sababu?
 
nimepata dondoo kumbe hata hapa jf alikuwa ni member.kwa anayetaka ID yake ani-PM.
 
Samahani sikuwa namaanisha kuanza kujibishana na wewe.

Nani kalaumu?

Kutaka kujua matakwa ya marehwmu ni kulaumu?

Marehemu kama hataki mke na watoto wajuane na ndugu wa Tanzania kwa sababu mke anaweza kuambiwa habari za kurithiwa na kaka wa marehemu, huoni hapo kujivika usaidizi za marehemu kuiunganisha familia yake na ndugu wa bongo kunaweza kuongeza zogo tu?

Kati yangu mimi ninayetaka kujua matakwa ya marehemu kabla.ya kutafuta ndugu, na wewe unaye assume tu vitu, kwamba mke wa marehemu anataka uhusiano wa kidugu baada ya mvua thelathini, nani anataka kufanya vitu bila kujua sababu?
 
Nimesikia wana mpango wa kumchoma moto

Sasa wanaotafuta ndugu za marehemu bila habari kamili wakiambiwa ndugu wamepatikana ila wanapinga kuchoma moto mwili kwa sababu si utamaduni wetu watakuwa wanaanzisha mzozo mpyaaaa.
 
nimepata dondoo kumbe hata hapa jf alikuwa ni member.kwa anayetaka ID yake ani-PM.

Kama ID yake haikujulikana alivyokuwa hai, na yeye mwenyewe hakutaka ijulikane, kwa nini uianike leo mtu tayari kafariki?

Against a dead man's wishes?
 
Nafikri mwanamke angependa watoto wajua historia yao kwa upande wa baba yao kwa sababu ya mama ilishafutika au imebadilika siku nyingi zilizopita.
Kwa kua anajua Michael anatokea Tanzania anagependa watoto wake wawajue ndugu zake wa Tz. Kumbuka historia ya Obama pia.

Usilaumu kabla ya kujua sababu.

Huu ni upuuzi... Kwanini mke hakutaka kujua ndugu wa mumewe kabla hajafa??

Kuna kitu anaficha hapa... Apambane mwenyewe ayamalize!!
 
Heri uchomwe moto kuliko UOZE na ULIWE na FUNZA. Sasa hapa Mzembe nani?

Hebu fikiria siku hiyo Wadudu WANAKULA. Yes, hadi wanagongeana Glass. "Jamaa limenona hili, hihiiii....." Na wewe hapo kabla hujafa, ndiyo unajiona Mjanjaaaa kwa sababu hukuchomwa. Mifupa yako miaka milioni 5 ijayo, itakuwa imegeuka makaa ya mawe au mafuta sijui kama siyo Almasi na watu watakuvaa masikioni.

Ukishafariki haupo.

Nature ina recycle material penda usipende.

It's the law of conservation of mass/ energy.

Hata mwili ukichomwa moto na.kutupwa baharini at some.point samaki watakunywa supu ya majivu yako na maji ya bahari, gesi yako itaingia katika anga na kupumuliwa na viumbe etc.

Kwa hiyo kama unaepuka mwili wako kuwa recycled huna jinsi.
 
Kama ID yake haikujulikana alivyokuwa hai, na yeye mwenyewe hakutaka ijulikane, kwa nini uianike leo mtu tayari kafariki?

Against a dead man's wishes?

nimeianika?!...umeiona wapi?.
 
Sasa wanaotafuta ndugu za marehemu bila habari kamili wakiambiwa ndugu wamepatikana ila wanapinga kuchoma moto mwili kwa sababu si utamaduni wetu watakuwa wanaanzisha mzozo mpyaaaa.
Kweli mkuu

Lakini kuna siri nzito ndani ya hili jambo ambalo mimi na wewe hatulifahamu kwa undani, kwa ulimwengu wa utandawazi tuliokua nao sasa ukose mawasiliano hata kwa mtu mmoja unaemfahamu TZ !

Inaweza kua mwenyewe aliweka nadhiri ya kutofanya mawasiliano na watu/ndugu waliopo TZ kwasababu zake maalum ambazo mimi na wewe hatuzijui

Au sijui niseme ni wale wazamiaji meli labda alizamia meli baada ya kufika salama safarini mwake kwa kipindi alichoingia yeye ugenini(miaka 30 iliyopita) mawasiliano yalikuwa magumu kwa upande wake

Hiki kitendawili sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom