Price
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 1,502
- 922
Hapo sasa.. kama kafia India!poleni sana kwa nini achomwe? na wazungu wakifa huko wanachomwa?
Hapo sasa.. kama kafia India!poleni sana kwa nini achomwe? na wazungu wakifa huko wanachomwa?
Dah!
Ina maana jamaa hakuwa kabisa na mawasiliano au mahusiano na ndugu au jamaa yeyote yule Tanzania?
Hebu shangaa na wewe! Hivi kwa mfano, wewe unaweza kweli kuishi na mtu (mume au mke) kwa miaka yote hiyo bila kujua hata nduguye mmoja?
Something is wrong with that picture.
kuna wabongo wengine wakishafika huko kujichanganya mwiko na mawasiliano na bongo zero.
Kuna mmoja nilikutana nae ni mtu mzima sana na aliondoka bongo in 1958. Aliniambia hata kwao kasahau wala hakuna anaemjua.
Miaka 30 unaishi na mumeo hujui hata nduguye mmoja, hata jamaa mmoja, wala rafiki mmoja aliyeko Tanzania?
Kwa nini ahangaike sasa kuwatafuta hao ndugu wakati mume wake tayari ni marehemu? Hii si inaashiria wakati akiwa hai na kwenye maisha yao ya ndoa hawakuwahi kuwa na mawasiliano na ndugu hata mmoja?
Hmmm......
Inashangaza sana, na inaniwia vigumu kuelewa.
Namfahamu lukindo mmoja ambaye alitoa viwanja viwili akalipa kanisa letu,
ni mtu wa tanga, ngoja niiingie pm nikupe namba ya mtu anayeweza kukupa kontakti za lukindo.
Najaribu kufuatilia kama atakuwa miongoni mwetu.Dah!
Ina maana jamaa hakuwa kabisa na mawasiliano au mahusiano na ndugu au jamaa yeyote yule Tanzania?
Hata humu JF lukindo yumo!
Akiwa mzima hajataka kuwasiliana na ndugu zake, kafa mnamtafutia ndugu, kisa nini?
Huyo mke wake asiwatafute hawa jamaa maana watamletea mila zetu nyeusi afe kwa stress.
poleni sana kwa nini achomwe? na wazungu wakifa huko wanachomwa?
Hapo sasa.. kama kafia India!
Historia yake
Augustino "Mike" Lukindo, 59 , departed this life on Sunday, March 16, 2014, surrounded by his immediate family. Mike was born and raised in Tanzania, Africa (Tanga) to Augustino and Josephine Lukindo. He moved to America in the early 1980's, where he lived in Providence, Rhode Island for five years. Mike married Lillie B. in Rhode Island, and later moved to Madison where they built their family of four and confessed his life to Christ.
Mike was a family man, a funny guy with a good sense of humor. He loved to joke around. He liked comedy and he loved going to his children's school to participate. He always had a smile and his favorite phrases were "Hey Brother-in-law , Sister-in-law, where the party at?" .
Huyu hakuwahi kujiandikisha kwenye daftari. Trust me, nimelipitia tena daftari na jina lake halipo kabisa.