Michael Augustine Lukindo

Michael Augustine Lukindo

Huu ni upuuzi... Kwanini mke hakutaka kujua ndugu wa mumewe kabla hajafa??

Kuna kitu anaficha hapa... Apambane mwenyewe ayamalize!!

Mi nikitaka kujua will inasemaje naonekana wa ajabu.

Hamjaonana na.ndugu yenu miaka thelathini, ghafla bin vuu anakuja.mwanamke.anawaambia.mie mkewe na hawa wanawe.

Kuomba kujua will imesemaje ni roo much hapo?

Wazee wengine ukiwafuata kihivyo wanakwambia huyo alishajitoa kwenye undugu, mfanye mnavyotaka.
 
Kweli mkuu

Lakini kuna siri nzito ndani ya hili jambo ambalo mimi na wewe hatulifahamu kwa undani, kwa ulimwengu wa utandawazi tuliokua nao sasa ukose mawasiliano hata kwa mtu mmoja unaemfahamu TZ !

Inaweza kua mwenyewe aliweka nadhiri ya kutofanya mawasiliano na watu/ndugu waliopo TZ kwasababu zake maalum ambazo mimi na wewe hatuzijui

Au sijui niseme ni wale wazamiaji meli labda alizamia meli baada ya kufika salama safarini mwake kwa kipindi alichoingia yeye ugenini(miaka 30 iliyopita) mawasiliano yalikuwa magumu kwa upande wake

Hiki kitendawili sasa

Sasa kama mtu kaweka nadhiri ya kutowasiliana alivyokuwa hai, kwa nini wengine watake kuivunja hii nadhiri kwa sababu tu kafariki?

Ni kama huyu mtu anayesema kwamba marehemu alikuwa member JF, anayetaka ID yame ani PM. Such a violation of privacy, a dead man's privacy at that.

Mtu hakutaka kujulikana kwa jina lake hapa JF alivyokuwa hai, kwa nini ajulikane leo wakati kashafariki?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Unamkandia lusungo kwa kuwa judgmental

EMT na lusungo ,

Kwanza kwako Lusungo:
Wewe ndiyo unatia KINYAA kwa kuwa mhudumu wa Watanzania na unapata habari za mtu na unaanza kuongeza za kwako. Kama huyu jamaa ulikuwa humfahamu, kwa nini unaanza kumhukumu? Unajua kichwani mwake kulikuwa na madudu gani yanachemka hadi akasahau au kukata mawasiliano kwao? Unajua ndugu zake walimfanya nini hadi akaacha kuwasiliana nao? Kama alikuwa Yatima je aliyelelewa na Masister wa Kikatoliki?

Halafu na wewe unaishia kuwa judgmental.

Anyway, nilishawahi kukutana na watu kadhaa wa aina hiyo. Si kuwa wana maisha mabaya, la hasha, wana maisha mazuri mno. Wanaishi maisha ya Wastani kwa Ulaya ambayo kwa Africa, ni wachache wanaishi. Ila na wao wamekaa miaka kibao na hawana mawasiliano na ndugu. Si kuwa ndugu hawafahamu anapoishi, hapana. Wanapafahamu, wana simu zao, wameshafika wanapoishi ila ghafla jamaa wanaamua kukata mawasiliano moja kwa moja na ndugu zake wote. Mmmoja mwisho amemalizia hata kukata Mawasiliano na Mkewe na Watoto wake. Sasa huyu utasema DARINI kwake kweli kumekaa sawa?

Should you be excused kwa sababu haujawa judgmental wakati ukifanya kazi ya kiofisi juu ya hili suala kama ilivyo kwa lusungo?
 
Sasa kama mtu kaweka nadhiri ya kutowasiliana.alivyokuwa hai, kwa nini.wengine watake kuivunja hii nadhiri kwa sababu tu kafariki?

Ni kama huyu mtu anayesema kwamba marehemu alikuwa.member JF, anayetaka ID yame ani PM. Such.a violation of privacy, a dead man's privacy at that.

Mtu hakutaka kujulikana kwa jina.lake hapa JF alivyokuwa hai, kwa nini ajulikane leo wakati kashafariki?
Kumbe tumfanyie heshima marehemu kimya kimya ili nadhiri au kusudio lake litimie/likamilike kama alivyopanga kipindi cha uhai wake,

Hata atakapofariki mazishi yake yawe kimya kimya

Basi kila kitu kiende kimya kimya haina haja ya kunyoosheana vidole

Pamoja mkuu
 
nimeianika?!...umeiona wapi?.

Una solicit watu waku PM uwatumie.

Ukiituma kwa mtu kwenye PM umeianika kwa huyo mtu tayari na hujui itaishia wapi.

Kesho kwenye gazeti la Shigongo ukiona story kuubwa, na picha, na quotes kutoka posts zake za JF kutokana na indiscretion yako utasemaje?
 
Kumbe tumfanyie heshima marehemu kimya kimya ili nadhiri au kusudio lake litimie/likamilike kama alivyopanga kipindi cha uhai wake,

Hata atakapofariki mazishi yake yawe kimya kimya

Basi kila kitu kiende kimya kimya haina haja ya kunyoosheana vidole

Pamoja mkuu

Kama ndivyo alivyotaka.

Mtu mwenyewe kaishi maisha kivyakevyake, kama kuna mtu anataka kutafuta ndugu sasa hivi angalau ajiridhishe kwamba marehemu alikuwa hana objection na hilo.

Kuna mambo mengine katika utamaduni wa kwetu huko ni ya ajabu sana, na katika utamaduni alikolowea huyu marehemu ni ya kawaida sana, na vile vile mengine huku alikolowea ni ya sjsbu sana na huko kwetu ni ya kaeaida tu.

Tusichanganye tamaduni vibaya.

Eti kwa sababu kibongobongo mtu akifa ndugu wote wanatakiwa kujulishwa basi by default tujulishe ndugu bila kujua habari zaidi, kumbe nyumbani kuna zali huko watu washaapizana visasi vya vizazi na vizazi.

Watoto wa kinyamwezi wanafikiri wanajuana na ndugu zao, kumbe wanakutana na dhama juu ya msiba.
 
Mimi sioni cha ajabu kutokuwa na mawasiliano na huku, tunajuaje kama hakuwa yatima? Pia isijekuwa wao walikata mawasiliano na yeye? Unajua binadamu wa ajabu, kuna watu wazazi walishafariki pengine ndugu wanategemea misaada au waje wasipoona ivyo wanakata mawasiliano. Kuna wengine kubadili dini, kuoa mwanamke wasiyemtaka, kutohudhuria msiba wakaribu au kukataa shughuli za kiukoo au imani ambayo umeikana unatengwa.
Yeye aliamua kukaa alivyo na hatujui alitaka iweje akifa tusimlaumu. Nikiangalia picha na maelezo kuwa alikuwa hata na familia yake sioni kama alikuwa na tatizo ni maamuzi yake na ni mtu mzima. Mke anaweza watafuta ndugu au asili ya mwenzie atakachokutana nacho atajua mwenyewe lazima na yeye anajua mwenzie hakutaka kuwaleta huku hivyo yuko prepared. Ni mtazamo na nimeishaona watu wa hivi tena hapahapa Tanzania.
 
Una solicit watu waku PM uwatumie.

Ukiituma kwa mtu kwenye PM umeianika kwa huyo mtu tayari na hujui itaishia wapi.

Kesho kwenye gazeti la Shigongo ukiona story kuubwa, na picha, na quotes kutoka posts zake za JF kutokana na indiscretion yako utasemaje?
haya basi sitaianika.
 
fikiri katoka ktk kijiji ambacho ukiwa na nyumba ya bati unalogwa......kuna maana gani ya kurudi?.....na dunia ya leo hakuna cha undugu,usiamini vicheko,imebaki fitna na unafiki tu.......

Mkuu hadi leo hii unaamini imani za kurogana ama uchawi? Sidhani kama huo uzushi wa kuogopa kujenga kwenu upo eti sababu waogopa kurogwa. Urogwe na nani?
Hakuna kitu kama hicho. Kama unajenga wewe jenga ila usitafute visingizio vya kuacha kujenga
 
Kama ndivyo alivyotaka.

Mtu mwenyewe kaishi maisha kivyakevyake, kama kuna mtu anataka kutafuta ndugu sasa hivi angalau ajiridhishe kwamba marehemu alikuwa hana objection na hilo.

Kuna mambo mengine katika utamaduni wa kwetu huko ni ya ajabu sana, na katika utamaduni alikolowea huyu marehemu ni ya kawaida sana, na vile vile mengine huku alikolowea ni ya sjsbu sana na huko kwetu ni ya kaeaida tu.

Tusichanganye tamaduni vibaya.

Eti kwa sababu kibongobongo mtu akifa ndugu wote wanatakiwa kujulishwa basi by default tujulishe ndugu bila kujua habari zaidi, kumbe nyumbani kuna zali huko watu washaapizana visasi vya vizazi na vizazi.

Watoto wa kinyamwezi wanafikiri wanajuana na ndugu zao, kumbe wanakutana na dhama juu ya msiba.
marehemu ana acount hapa jf, facebook na my space ni kweli huyu jamaa ni mwenyeji wa pangani tanga\ alikata mawasiliano na ndugu zake kwa sababu ambazo sitaweza kuweza hapa ila hizi taarifa zinatia shaka kidogo inawezekana ni za kupikwa tu labda kama ndugu zake wameamua kuzipotezea tu kutokana na kutofautiana kwao
 
Uwe unasoma na kuelewa. Mie sijakandia. Ila nimeweka alama ya kuuliza. Watu kama hao wanaokataa familia zao ni wa kuhurumia na si kuhukumu. Ungenisoma habari nzima, ungelielewa kuwa ninapinga kuwahukumu ila kwa mawazo yangu mimi, ninaposema huko darini hakuko sawa, nina maana wana UGONJWA unaowafanya wafanye hivyo.

Ninaposema ugonjwa, sidhani kama kuna mtu anapenda awe mgonjwa. Maadamu UGONJWa hauombwi, basi ina maana hawa watu inabidi kuwahurumia na kuwaelewa. Kuanza kuwahukumu ina maana sisi ndiyo wagonjwa kuzidi wao.

Nategemea na kuamini kuwa wewe unapojadili, darini kwako kupo poa.
Unamkandia lusungo kwa kuwa judgmental
Halafu na wewe unaishia kuwa judgmental.

Should you be excused kwa sababu haujawa judgmental wakati ukifanya kazi ya kiofisi juu ya hili suala kama ilivyo kwa lusungo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom