Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,911
- 156,500
Ngoja kwanza, kwamba mambo yamemuelemea ndo maana anawatafuta ndugu au kaelemewa (overwhelmed) na majonzi ya kumpoteza mumewe? Maana hayo ni mambo mawili tofauti kabisa.
Sawa, lakini hatujui kama sababu ya yeye kutafuta hao ndugu ni kuelemewa. Huenda akawa anatimiza takwa la marehemu, sisi tutajuaje?
Kilichopo hapa ni speculations tu.
Hata kama anatimiza matakwa ya marehemu kuita ndugu, ukweli kwamba anahangaika kutafuta ndugu ndiyo kuelemewa kwenyewe huko.
Kilichopo hapa ni speculations nyingi, all the more reason to look into some documented things.Kama will hivi.