Michael Augustine Lukindo

Michael Augustine Lukindo

Hivi, tuseme kaacha wosia na kwenye wosia hakutamka lolote lile kuhusu kuwafahamisha ndugu zake juu ya kifo chake. Ubaya uko wapi hapo kama mkewe sasa hivi akitaka walau kuwajulisha hao ndugu/ jamaa zake kuwa ndugu/ jamaa yao sasa ni marehemu?

Hakuna ubaya. Lakini hakuna ubaya pia kujua kama hiyo ndiyo habari yenyewe au la.

The whole thing is largely ceremonial and sentimental. Which I respect. But still I find the effort a day late and a dollar short.

By the way ndugu zake wa Muheza tunaambiwa washataarifiwa, waukwae mpipa kutoka Bongo kuwahi shughuli, if at all that sounds practical.

Concern yetu iko misguided to a point if not focused on the wrong priority, huyu jamaa anaweza kuwa alikuwa na udugu na wana JF zaidi kuliko hao ndugu zake wa damu. Na inawezekana ndugu wanatafutwa, pamoja na mengine, kuchangia. Kwa hiyo yeyote mwenye uwezo wa kuchagia anaweza kuwa ndugu in that context katika muda huu unaoweza kabisa kuwa wa hitaji. After all, jamaa alishakata ties na ndugu wa damu lakini alikuwa very social by all accounts I gather, therefore alikuwa na circle of friends ambao ni kama ndugu wapya kwake. Which is not unheard of.

Na sijaona ndugu zake wa JF (alipokuwa member reportedly) wakifanya jitihada zozote za kufanikisha shughuli yake, watu wote wamebung'alia kutafuta ndugu zake wa damu.

As if tunawatupia responsibility.

The moral of the story here is, kuweka wosia wa tunavyotaka shughuli zetu ziende mapema na kwa uwazi. Ili siku ya siku kusitokee mtafaruku.
 
Hivi, tuseme kaacha wosia na kwenye wosia hakutamka lolote lile kuhusu kuwafahamisha ndugu zake juu ya kifo chake. Ubaya uko wapi hapo kama mkewe sasa hivi akitaka walau kuwajulisha hao ndugu/ jamaa zake kuwa ndugu/ jamaa yao sasa ni marehemu?
Mkuu Ngabu wewe unaweza ishi na mwanamke ambae huwajui ndugu zake au familia?

Binaadamu sisi kifo lazima, na kuna ugonjwa(kuumwa pia) kwahiyo utakapochukua jukumu la kuishi na mtu usikurupuke inabidi uifahamu familia yake

Chukua tahadhari kabla ya hatari
 
Hakuna ubaya. Lakini hakuna ubaya pia kujua kama hiyo ndiyo habari yenyewe au la.

The whole thing is largely ceremonial and sentimental. Which I respect. But still I find the effort a day late and a dollar short.

By the way ndugu zake wa Muheza tunaambiwa washataarifiwa, waukwae mpipa kutoka Muheza kuwahi mazishi, if at all tht sounds practical.

Concern yetu iko misguided, huyu jamaa anaweza kuwa alikuwa na udugu na wana JF zaidi kuliko hao ndugu zake wa damu.

Na sijaona ndugu zake wa JF (alipokuwa member reportedly) wakifanya jitihada zozote za kufanikisha shughuli yake, watu wote wamebung'alia kutafuta ndugu zake wa damu.

As if tunawatupia responsibility.

The moral of the story here is, kuweka wosia wa tunavyotaka shughuli zetu ziende mapema na kwa uwazi. Ili siku ya siku kusitokee mtafaruku.

Mimi naona aliye katika nafasi nzuri ya kujua matakwa ya marehemu ni huyo mkewe. Kwa sababu, kama hawakuwa estranged na kama kamuuguza hadi siku yake ya mwisho, basi nadhani atakuwa alimjua vyema marehemu.

Ila kinachonishangaza zaidi ni kwa nini walau wakati anaumwa kusingefanyika jitihada za kuawatafuta hao ndugu? Au labda zilifanyika pasi na matunda yoyote.

Vyovyote vile, anayejua vizuri ni huyo mjane.
 
Umejuaje kwamba mke wa marehemu sasa mambo yamemuelemea? Au unasadiki tu?
Nimesadiki tu

Na hata tukichukulia uzoefu wa maisha ya kila siku tunayoishi na watu, jambo kama msiba likikutokea lazima uhamaki kwa namna moja au nyingine

Kwa huyu wa jinsia ya kike kuhamaki kwake itakuwa zaidi ya atakavyohamaki jinsia ya kiume

Kwa maelezo machache niliyotoa huoni kua mke wa marehemu mambo yamemuelemea?
 
Mkuu Ngabu wewe unaweza ishi na mwanamke ambae huwajui ndugu zake au familia?

Oh hell no! Kwanza hata watu tu wa kawaida nikikuona kama hueleweki eleweki hivi, husomeki someki hivi nakuengua kabisa kwenye circle yangu.

Binaadamu sisi kifo lazima, na kuna ugonjwa(kuumwa pia) kwahiyo utakapochukua jukumu la kuishi na mtu usikurupuke inabidi uifahamu familia yake

Chukua tahadhari kabla ya hatari

Lakini inavyoonekana jamaa hakufa kwa ghafla tu. Aliugua, kwa mujibu wa taarifa nilizoziona. Sasa kwa nini wakati anaugua hizo jitihada hazikuwepo? Au labda zilikuwepo lakini hazikufanikiwa?
 
Kwa maelezo machache niliyotoa huoni kua mke wa marehemu mambo yamemuelemea?

Kwa kweli sioni kama yamemuelemea au la kwa sababu simjui na sijui walikuwa wanaishi vipi. Kutaka tu kutafuta ndugu wa marehemu na kuwajulisha hakutoshi kunifanya nidhanie kuwa mambo yamemuelemea.

Pengine anataka tu kufanya hivyo kwa nia njema kabisa.
 
Maisha ya kila siku ya wapi? Ya nani? Usitake kufananisha wajomba zangu wa Mkuranga na msafiri kafiri huyu.

Kwenye maisha ya kila siku wabongo wangapi wanakuwa cremated, ukiondoa ndugu zetu waasia ambao wao wana utamaduni huo kidini?

Unataka kumlundika Mnyamwezi huyu kajipindua mvua thelathini kwenye "maisha ya kila siku"?

Mpe heshima yake kama the outlier he was.

Katika dunia hii vijijini mpaka mijini Africa mpaka Ulaya ni percent ngapi ya watu wanaokufa wanaacha wosia ?, hatuwezi kumuweka huyu jamaa kwenye kundi hili au lile sababu mimi na wewe hatujui, all these are speculations.., hata kama yeye ni individual pekee tofauti katika dunia hii (an exception) lakini bado ana-exist kwahio hatuwezi kutumia mawazo yako au mawazo yangu kama kipimo cha yeye alifanya nini ?

Nani kakwambia akiwa hajaacha fungu hayatafanyika? Tunarudi kule kule kwenye habari za "kwenye maisha ya kila siku" unayoyajua wewe. Watu waliokuwa deply steeped katika utamaduni wa alipolowea huyu bwana wana ma life insurance na huna haja ya "kuacha fungu".

Una uhakika na unachokisema ? huko kuna watu wamezamia pia na wanaishi kwa magumashi, au unataka kutuaminisha kwamba kila mtu au raia anayeishi huko anayo life insuarace ?, hata funeral arrangements nazo zina gharama huwezi kuamua kwamba nikiondoka nifanye hiki au kile kama itakuwa ni gharama kwa watu waliobaki bila kuacha ume-cover all the arrangements.

By the way naona kelele nyingi za watu wanaojitia kujali zimejikita katika kutafuta ndugu sijasikia mtu yeyote akiongelea kuchangia.
Ofcourse kama mtu akijisikia kutaka kuchangia pia anaweza mchango haulazimishwi, ndio mama mimi binafsi nasema hii kitu sio black and white, ndio maana nikasema the wife knows better na yeye ndio anajua umuhimu wa kufanya au kutokufanya kitu, na asilaumiwe kwa lolote atakalofanya kama ni kwa manufaa yake na familia yake.

Hatujui kama kuita ndugu kabla ya kupata habari zaidi za wosia wa marehemu ni cha manufaa ya familia yake.

Unaweza kuita ndugu ukaambiwa kuna mila ya ritual sex hapo, mke inabidi ajitoe kwa kaka wa marehemu kabla ya mazishi. Marehemu kakimbia habari kama hizo kwao na hakutaka mke wake ashirikishe ndugu zake katika msiba, kaandika hilo katika wosia. Wewe unakimbilia kuita ndugu ukifikiri unafanya jambo zuri kumbe unasababisha dhahma!
Ofcourse hatujui pia hatujui kama huyu mtu kapotea kwao na ndugu na marafiki wanamtafuta na wazazi wake hawajapata closure kama mtoto wao aliuliwa yupo hai au amekumbwa na kitu gani..., key word hapa HATUJUI.., sasa Mtanzania mwenzake (ndugu yake sababu wametoka nchi moja) akipata habari kama hii hajatenda kosa lolote kutaka kuwajulisha watu kwamba mwenzetu amefariki..., Its not practical kila ukisikia mtu amefariki uanze kwanza kutafuta wosia unasemaje ndio uanza au uache kutaarifu jamii kwamba kuna mtu amefariki.

Kwa nini ni lazima ktangaza kwenye TV wakati unaweza ku document vitu vyote kwenye will?

Unasema ni normal mtu akifa kutoa taarifa ya kifo, unavyoona huyu Mnyamwezi maisha aliyoishi ni normal? Kukata mawasiliano na bongo miaka 30 ni normal? Kuwa cremated kwa Watanzania ni normal?

Mbona unataka ku apply habari za normal kwa mtu ambaye hakuishi normally?
Inaweza isiwe normal kwake ila kwa mtoa taarifa ni normal ukisikia habari za misiba au ugonjwa ni kawaida kutoa taarifa.., na kama yeye hakuendesha maisha yake kwa u-normal sio kwamba na sisi tuendeleze kutokuwa normal..., nimesema kutangaza kwenye TV sababu ndio kila mtu angejua matakwa yake, ila kama ameacha wosia ambao sio public knowledge kwa kila mtu usitegemee kila mtu atasubiri kutafuta kitu ambacho huenda hakipo ili kufanya jambo ambalo ni la kawaida kufanyika.

By the way hapo tukianza kongelea alivyoishi tutakuwa tunakiuka privacy yake.., kila mtu ana haki ya kuishi anavyotaka ili mradi asivunje sheria, kwahio kwa sisi kuita alivyoishi sio normal au ni normal tunakuwa hatutendi haki
 
Oh hell no! Kwanza hata watu tu wa kawaida nikikuona kama hueleweki eleweki hivi, husomeki someki hivi nakuengua kabisa kwenye circle yangu.

Lakini inavyoonekana jamaa hakufa kwa ghafla tu. Aliugua, kwa mujibu wa taarifa nilizoziona. Sasa kwa nini wakati anaugua hizo jitihada hazikuwepo? Au labda zilikuwepo lakini hazikufanikiwa?

Wabongo wanavyopenda udugu na kutafutana there is a snowball's chance in hell mbongo ataumwa na kutafuta ndugu zake asiwapate.

Kwanza sasa hivi watu wameanza kusafiri safiri huhitaji hata kurudi bongo ili kumpata ndugu. Jamaa alikuwa na ndugu DC I am told, sasa hata huyo alishindwa kuunganisha network hata kama wa bongo walikuwa ndani ndani huko?
 
Umeonaaaaa

1. Inaweza kua jitihada hazikufanikiwa

2. Inawezekana pia hawakutegemea kama marehemu angetutoka
 
Katika dunia hii vijijini mpaka mijini Africa mpaka Ulaya ni percent ngapi ya watu wanaokufa wanaacha wosia ?, hatuwezi kumuweka huyu jamaa kwenye kundi hili au lile sababu mimi na wewe hatujui, all these are speculations.., hata kama yeye ni individual pekee tofauti katika dunia hii (an exception) lakini bado ana-exist kwahio hatuwezi kutumia mawazo yako au mawazo yangu kama kipimo cha yeye alifanya nini ?

Una uhakika na unachokisema ? huko kuna watu wamezamia pia na wanaishi kwa magumashi, au unataka kutuaminisha kwamba kila mtu au raia anayeishi huko anayo life insuarace ?, hata funeral arrangements nazo zina gharama huwezi kuamua kwamba nikiondoka nifanye hiki au kile kama itakuwa ni gharama kwa watu waliobaki bila kuacha ume-cover all the arrangements.

Ofcourse kama mtu akijisikia kutaka kuchangia pia anaweza mchango haulazimishwi, ndio mama mimi binafsi nasema hii kitu sio black and white, ndio maana nikasema the wife knows better na yeye ndio anajua umuhimu wa kufanya au kutokufanya kitu, na asilaumiwe kwa lolote atakalofanya kama ni kwa manufaa yake na familia yake.

Ofcourse hatujui pia hatujui kama huyu mtu kapotea kwao na ndugu na marafiki wanamtafuta na wazazi wake hawajapata closure kama mtoto wao aliuliwa yupo hai au amekumbwa na kitu gani..., key word hapa HATUJUI.., sasa Mtanzania mwenzake (ndugu yake sababu wametoka nchi moja) akipata habari kama hii hajatenda kosa lolote kutaka kuwajulisha watu kwamba mwenzetu amefariki..., Its not practical kila ukisikia mtu amefariki uanze kwanza kutafuta wosia unasemaje ndio uanza au uache kutaarifu jamii kwamba kuna mtu amefariki.

Inaweza isiwe normal kwake ila kwa mtoa taarifa ni normal ukisikia habari za misiba au ugonjwa ni kawaida kutoa taarifa.., na kama yeye hakuendesha maisha yake kwa u-normal sio kwamba na sisi tuendeleze kutokuwa normal..., nimesema kutangaza kwenye TV sababu ndio kila mtu angejua matakwa yake, ila kama ameacha wosia ambao sio public knowledge kwa kila mtu usitegemee kila mtu atasubiri kutafuta kitu ambacho huenda hakipo ili kufanya jambo ambalo ni la kawaida kufanyika.

By the way hapo tukianza kongelea alivyoishi tutakuwa tunakiuka privacy yake.., kila mtu ana haki ya kuishi anavyotaka ili mradi asivunje sheria, kwahio kwa sisi kuita alivyoishi sio normal au ni normal tunakuwa hatutendi haki

Bottom line.

Kama hutaki speculations utatafuta habari kamili kama vile je kuna wosia na kama upo umesemaje?

Kama hujali habari kamili na unapenda assumptions, short cuts na speculations huwezi kuona hilo kuwa ni jambo la maana.
 
Kwa kweli sioni kama yamemuelemea au la kwa sababu simjui na sijui walikuwa wanaishi vipi. Kutaka tu kutafuta ndugu wa marehemu na kuwajulisha hakutoshi kunifanya nidhanie kuwa mambo yamemuelemea.

Pengine anataka tu kufanya hivyo kwa nia njema kabisa.
Pamoja mkuu
 
Wabongo wanavyopenda udugu na kutafutana there is a snowball's chance in hell mbongo ataumwa na kutafuta ndugu zake asiwapate.

Kwanza sasa hivi watu wameanza kusafiri safiri huhitaji hata kurudi bongo ili kumpata ndugu. Jamaa alikuwa na ndugu DC I am told, sasa hata huyo alishindwa kuunganisha network hata kama wa bongo walikuwa ndani ndani huko?

Eeeh! Maybe there is more to it than meets the eye.

Anyhow, the wife knows better (as far the will and the wishes of the decedent are concerned).
 
Mimi naona aliye katika nafasi nzuri ya kujua matakwa ya marehemu ni huyo mkewe. Kwa sababu, kama hawakuwa estranged na kama kamuuguza hadi siku yake ya mwisho, basi nadhani atakuwa alimjua vyema marehemu.

Ila kinachonishangaza zaidi ni kwa nini walau wakati anaumwa kusingefanyika jitihada za kuawatafuta hao ndugu? Au labda zilifanyika pasi na matunda yoyote.

Vyovyote vile, anayejua vizuri ni huyo mjane.

Unaona tayari kuna kama hapo ushaanza kuziweka. Ambazo hatuzijui.Not meaning to be disrespectful or anything, but that is the truth.

Na kama kuna wosia utatusaidia kuzijua kwa mwanga mzuri zaidi.

Unaweza kabisa kuambiwa kwamba jitihada hazikuweza kufanyika kwa sababu ya "kama" fulani ulizozitaja.

All the more reason to dig further into the will and multiply verifiable accounts.
 
Kwa kweli sioni kama yamemuelemea au la kwa sababu simjui na sijui walikuwa wanaishi vipi. Kutaka tu kutafuta ndugu wa marehemu na kuwajulisha hakutoshi kunifanya nidhanie kuwa mambo yamemuelemea.

Pengine anataka tu kufanya hivyo kwa nia njema kabisa.

Kwa vyovyote vile mambo yamemuelemea, hata kama si financially basi emotionally/ socially.

Hata kama mtu ni badass, hana financial need wala emotional bone, anataka ku cover legal grounds tu, tayari ana need hapo na imemuelemea in a manner of sorts.

Na kufanya hili la kuita ndugu kwa nia njema hakumaanishi mambo hayajamuelemea, mtu anaweza kuelemewa na mambo na kuita ndugu kwa nia njema.

My concern ni kuona matakwa ya marehemu yanatekelezwa angalau katika shughuli yake ya mwisho, na kujua zaidi kuhusu will.
 
Unaona tayari kuna kama hapo ushaanza kuziweka. Ambazo hatuzijui.Not meaning to be disrespectful or anything, but that is the truth.

Na kama kuna wosia utatusaidia kuzijua kwa mwanga mzuri zaidi.

Unaweza kabisa kuambiwa kwamba jitihada hazikuweza kufanyika kwa sababu ya "kama" fulani ulizozitaja.

All the more reason to dig further into the will and multiply verifiable accounts.

You are right! We don't know much.

Hivyo hatuwezi kusema hivi au vile kwa uhakika. Tusije kuwa kama waziri mkuu wa Malaysia anayesema ndege imeanguka na watu wote wamekufa pasipo hata chembe yoyote ile ya ushahidi unaoonyesha ndege ilianguka na watu wote kufa!
 
Kwa vyovyote vile mambo yamemuelemea, hata kama si financially basi emotionally/ socially.

Ngoja kwanza, kwamba mambo yamemuelemea ndo maana anawatafuta ndugu au kaelemewa (overwhelmed) na majonzi ya kumpoteza mumewe? Maana hayo ni mambo mawili tofauti kabisa.

Na kufanya hili la kuita ndugu kwa nia njema hakumaanishi mambo hayajamuelemea, mtu anaweza kuelemewa na mambo na kuita ndugu kwa nia njema.

Sawa, lakini hatujui kama sababu ya yeye kutafuta hao ndugu ni kuelemewa. Huenda akawa anatimiza takwa la marehemu, sisi tutajuaje?

Kilichopo hapa ni speculations tu.
 
You are right! We don't know much.

Hivyo hatuwezi kusema hivi au vile kwa uhakika. Tusije kuwa kama waziri mkuu wa Malaysia anayesema ndege imeanguka na watu wote wamekufa pasipo hata chembe yoyote ile ya ushahidi unaoonyeshe ndege ilianguka na watu wote kufa!
Natoka nje ya mada kidogo

Mkuu Ngabu nimesikia ndugu wa waathirika wa air MALAYSIA watapatiwa/watalipwa fidia wakiwemo wale wawili waliogushi vibali - hii inaonyesha wazi kua hakuna aliyepona au pengine naweza sema wameshaujua ukweli ila wanacheza na akili zetu

Kwa hili unaonaje?
 
Kwamba uwezekano wa abiria kuwa wamekufa ni mkubwa, hilo sibishi. Lakini mpaka sasa hakuna ushahidi unaoonyesha hivyo. Tunasadiki tu kuwa wamekufa.

Kwamba tayari wanajua nini kiliipata hiyo ndege, sidhani kama wanajua. Fidia, oh yeah, hiyo itakuwepo tu na tayari watu washafungua kesi huko Chicago.

Hapana chezea ambulance chasers bana. Wazee wa kuchangamkia fursa hao.
 
Hell yes

Fursa nje nje

Pamoja mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom