Dah!
Ina maana jamaa hakuwa kabisa na mawasiliano au mahusiano na ndugu au jamaa yeyote yule Tanzania?
Eti jamani...miaka yote? Hata kumtambulisha mke na watoto nyumbani?
Dah!
Ina maana jamaa hakuwa kabisa na mawasiliano au mahusiano na ndugu au jamaa yeyote yule Tanzania?
EMT, achana na huyo Lusungo ukisikia hater ni jamaa yeye na baadhi ya watanzania wenye chuki binafsi hawapendi watu wa nje imefikia hatua wanapinga Dual Citizenship kana kwamba itawapunguzia chakula ndani wakati wanaopewa ni watanzania walewale wanaoishi nje. Lakini wako tayari kushabikia shirikisho la Afrika mashariki wakenya, waganda na wanyarwanda waje kuhodhi ardhi kwetu na kuishi wala si tatizo lakini watanzania waliondoka nchini kwa njia zao kwenda kutafuta maisha wabaki hukohuko hawatakiwi kupata haki za nchi yao. Halafu wanajiita wazalendo, kwa lipi mzalendo hutetea haki ya mwenzake hata kama yeye haimnufaishi ndio maana tuna wanaharakati, watetezi wa haki za binadamu,waandishi wa habari kufahamisha watu na watoa misaada kwa huruma pia wanasiasa walio kwa ajili ya manufaa ya wengi sio kwa manufaa binafsi mfano Nyerere, Mandela, Nkrumah, Lumumba nk
Jamaa amenisikitishadaaa mgosi wa kaya huyo jamani lakin ndio hvyo ukimyA na kutokutoa taarifa kwa ndugu madhara yake ndio hayo.
Labda ndio will ya jamaa inavyosema kuwa ndugu zake watafutwe na kugawiwa majivu kidogo, ndio maana mke anawatafuta labda.
Eti jamani...miaka yote? Hata kumtambulisha mke na watoto nyumbani?
Lusungo hata kama una point... Wewe ni shame kwa foreign affairs, you should be fired
Unajaribu kuingilia usiyoyajua, kuhukumu usikostahili na kuanalyse usichokiweza
Wapi wengine tu walio kama lukindo na wengine ni kwa ridhaa yao... Heshimu mipaka yao kwani kila maamuzi ya mwenye akili timamu yanaangalia poa meiaho wa siku
Lukindo knew this would come na amekufa surrounded by his family.. Meaning it was a slow process
Hakuna haja ya kuahangaika na yasiyokuhusu kama hayakuhusu....
Jamaa amenisikitisha
Ni kama amekufa kibudu
Miaka 30? Labda kama kamwambia mkewe au kaacha will.