Msaada

Msaada

brenda18

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
5,687
Reaction score
5,301
Habari jamani. Ninaandika ujumbe huu kwa kuomba msaada. Mtanzania mwenzetu amefariki in Madison Wisconsin-USA, wanatafutwa ndugu zake. Ni mtu wa Tanga Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya mika thelathini. Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa 1989 familia yake haijui ndugu za Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi, ila mwili utachomwa. Kama unafununu au kujua lolote kuhusiana na ndugu yetu huyu unijulishe. Lengo nikuweza kuwafahamisha ndugu zake nyumbani Tanzania. Asante kwa ushirikiano wako
 
Kwa Tangazo hilo hapo utaishia kuhojiwa maswali tu nenda kwenye blog ya MICHUZI BLOG au Global Publishers. wanaweza kusaidia kwa kuweka tangazo kubwa kwenye magazeti yao au michuzi anaweza pia kukuwekea tangazo ktk blog yake ambayo ni maarufu bongo
Poleni Sana kwa Msiba...
 
Back
Top Bottom