Mgomo wa madaktari - Updates

Mgomo wa madaktari - Updates

hii nchi tulipofikia si kuzuri hata kidogo sishabikii madaktari na uamuzi wao but viongozi we2 ndo wanasababisha mpka tunafikia hapa embu imagine hta PM haheshimiki ata atoe kauli gani coz pipo an all professionals including Docs wanajua kila ki2 kinaenda kwa siasa. Kwani JK akiridhia waziri ajiuzulu ndo ataonekana uongozi wake ni legelege au msikivu kwa wanachi?
please UZALENDO wa enzi ya nyerere unahitajika kwa both Docs and politicians
 
Hivi kiapo chao si ni kulinda maisha???? Sasa unalinda maisha ya wagonjwa kwa kuwaacha wafe? So kama Serikali haiwasikilizi, nani aanaathirika na mgomo huu, ni viongozi wa serikali kweli? Huyu Jack and Jill kakosa nini? Shame on you. Mwogopeni Mungu aliyewapa talanta yake na nyinyi mnaifukia!

Unalinda maisha kwa silaha (dawa zipi)? Kwa vifaa gani? Kwa kuwalaza wagonjwa chini? Huu mgomo ni mchungu kwa watanzania wa kawaida lakini kama taifa unatupa mwanya wa kutazama upya wizara hii nyeti yenye inayogusa uhai wa watu. Haiwezekani watu wakae kimya huku wagonjwa wanakufa kwa kukosa dawa za kawaida kabisa. Wakubwa wamegeuza Muhumbili kama kituo cha daladala kabla ya kwenda India.

Cha ajabu badala ya kutatua matatizo ya msingi kama walivyokubaliana na madaktari kwenye mkutano uliopita Pinda na genge lake wanajiandaa kwa vita-endelevu. Wanataka kufuta/kutangza upya nafasi za ajira. Je, itakuwaje kama madaktari watatunisha misuli?
 
jk hili nalo ukipiga kimya ntazidi kuamini tz hatuna viongozi bali vivuli tu vimesimama pale nibora kujua hauna rais wala kiongozi yeyote kuliko kuwepo na kuwa mabubu ktk masuala ya maendeleo huku wakitudanganya na kutuadaa kuwa tumejaribu tumeweza na sasa tunasonga mbele kwanini hii kauli mbiu msiiweke kwa vitendo na sisi wananchi tunapofurahia utendaji wenu tuwatungie kauli mbiu nzuri zenye kuwapamba kila mwendapo badala ya kupigwa mawe kama ilivyotokea kwa jk mbeya badala yake mpokelewe kwa shangwe na vigelegele bila kuingia garama za kukodi malori kwaajili ya kubebea wananchi toka vijiji vya mbali ili ktwashangilia na kuvaa manguo yenu ya kijani?
 
Bravooooooo Madaktari! Mje hapa Chako ni chako (Dodoma) niwatwange bia kila mtu!
 
Hawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.

Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.

U deseve to die.
 
Wakati kikao cha specialists kikiendelea ukumbi wa russian culture kiongozi mmoja wa serikali kakosa utulivu na kuzengeazengea eneo hilo zaidi ya mara tatu! Kulikoni?? Hii ya leo kali zaidi, ni total tools down!
haya ndiyo yaliyotokea nyuma ya pazia
 
kwa wale msioamini naomba mtembelee muhimbili.habari zinasema huu mgomo wa leo umezidi ule wa kwanza.madaktari wote wamerespond,specialist wanaendelea na kikao.

Mkuu hapo kwenye red una maana gani?
 
Hawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.

Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.

mawazo yako ni finyu kwa kuwa yameangalia upande mmjoa wa shilingi tu,
je wanasiasa waliokalia hizo nafasi zao kwa maslahi ya matumbo yao na wakafanya mambo kuwa mazito,
hivi wewe unafikiri madaktari sio watu kama wewe na wenye utu?
Ila wewe kwa kaakili kako kadogo unafikiri wao hawahujui lolote,
kumbuka sauti ya wengi nii sauti ya Mungu,
 
Waziri mkuu anapashwa ajiuzulu kwa kuudanganya umma..Zile barua za kuwafukuzisha kazi wahusika zilitoka wapi???? Leo ana jeuri eti hawatafukuzwa!!! Hii serikali ipojeeeeeeeeeeeeeeee?????????????????????? wananchi wakichukua sheria mkononi mnawalaumu kweli kwa mtindo huu mnategemea nini?? Madaktari endeleeni kugoma tuuuuuuuuuuuuu mimi nawaunga mkono mia kwa mia Pinda na serikali yako ya kikwete mnajitafutia balaaaaaaa hii itawatokea puani.. Hivi kwa nini lakini hawa ni wash##$%^%^wanataka wote tufe kwani wao wakiugua wanaenda India.
 
naona baraza jipya la mawaziri linanukia tena la kushinikiza.............ili kuondoa aibu hii nadhani JK alitakiwa alitamke mapema sana kabla hata ya huu mgomo kwani akilitaja kwa sasa itaonekana limeshinikizwa na madaktari.............kaazi kwelikweli!!
 
Hii si hali ya kushangilia hata kidogo.Imagine uko hosp na hali mbaya then mgomo unatokea,then imagine unaumwa sasa na kuna mgomo!Imagine wagonjwa walioko hosp!imagine.
Lkn madoc c wakulaumiwa,kwani hii ndio njia ya kushinikiza kusikilizwa pale sirikali isiyojali watu wake inapopuuza walipakodi wake!Acha tufe kwa ukombozi wa watakaobaki.Huu ndio msimamo tuliotakiwa kuwanao watz wote,maana wengine tuna hali ngumu pia lkn eti tunaitetea serikali haina pesa!Nani kasema?wanazila wachache tu!
Serikali inawang'ang'ania waziri na naibu wake as if ni wao pekee ndo wanaweza kuongoza wizara.


This is so touching @Shansila, hata hivyo natamani watz wangekuwa proactive kidogo !!!
hata kujaribu kuja kudadisi nini kinaendelea katika mahospitali yetu haya
Ieleweke kuwa wagonjwa watakufa zaidi kwa sabb ya mgomo wala si uongo lakini
madaktari pia huwa tunashuhudia wagonjwa wengi sana wakifa hospitalini kwa ukosefu wa vitu vidogo vidogo sana, hivi unafikiri huwa tunajisikiaje? Tunafurahia sio????

Kwa mfano sasa hivi ninavyotype hapa MOI hakuna POP can u blv this hospitali ya MIFUPA ATI? Vipi Namtumbo huko?
MOI x-ray hazifanyi kazi sasa sisi madr tuna tofauti gani na waganga wa kienyeji???tuunge mifupa na ndumba basi
Muhimbili hakuna oxygen watu wanakufa tunawaona na hatuna la kufanya watu ambao tungeweza kuwaokoa!!! LAKINI SERIKALI INAPIGA TU POROJO ILI KUWAHADAA WANANCHI ETI MGOGORO UNASHUGHULIKIWA TUPO KWENYE MCHAKATO MAANA YAKE VIFO VYA WANANCHI KWAO SIO DHARURA HATA KIDOGO.
Muhimbili kwa ujumla vifaa tiba na madawa muhimu ya dharura na ya bei poa hakuna nenda pale kaulize upewe tathmini
na wala si vya bei kubwa! Kweli wewe mwananchi serikali yako inakupenda?

Serikali imebembelezwa na madr kuwa wajadiliane kuanzia tarehe 9 feb wanakuja kukubali tarehe 29 feb 2012 kwa kuwa wanajua madr watakutana tarehe 3 machi 2012......wana nia ya dhati ya kutatua matatizo hawa???

Walipokutana na madr wakafikiri wakitaja vijipesa bila ya kuongelea masuala ya msingi mahospitaini kwetu basi madr watasuuzika roho na kusahau madhira wanayokumbana nayo kila siku mawodini hapo ndio walipokosea na wakakosa hoja kabisa ....sasa wameanza tena propaganda ili kuwafanya madr waonekane kama vile wahuni hivi???

MFANO RAHISI
Katika vyanzo vikuu vya vifo vya wagonjwa waliofanyiwa upasuaji muhimbili SEPSIS inashika namba tatu
"Sepsis" hutokana na uambukizo wa bacteria kwenda kwenye sehemu ya kidonda cha operesheni na kusababisha uambukizo, sababu yake kubwa ni uchafu mahospitalini kwetu...mara nyingine hupelekea mtu kupata uambukizo mkali ambao unaweza kwenda hadi kwenye mfumo wa damu na kusababisha "SEPTICAEMIA" na mara nyingi ikifikia huku nafasi ya kumuokoa mgonjwa inakuwa finyu zaidi....

Wananchi tuamke ......
 
Fukuza wote waliosababisha hili!!! Viongozi na madaktari wenyewe!!!! Wote wamekosea adhabu iwe sawa!!!
 
Wapi Vimon na Dr. Clinton watupe updates.

Mkuu mgomo ni wa ukweli kabisa tmk.ifakara bugando,mh2,moi,emd pote pameshika hatamu
ila habari za kiintlijensia zinasema vyombo vya habari vimepigwa mkwara wasionyeshe chochote kinachohusu mgomo
ngoja tufanye tathmini kwenye habari ya saa mbili maana mchana vyombo vya habari viliongea na madr specialists pale Russian Culture ila tusiandikie mate ngoja tusubirie tuone kama kutakuwa na coverage

Mimi binafsi nimechoshwa na mgomo lakini serikali inatulazimisha kwa kutufanya sisi mapoyoyo dah ......
Wacha niamini Kuwa Mungu yupo na siku atawashukia hawa "MAKUPE" wanaotufanya watumwa katika nchi yetu..
 
Mara tu baada ya uchaguzi mkuu kumalizika na Jakaya kuingia Ikulu, chama fulani cha siasa kilitangaza kwamba kitahakikisha nchi yetu haitawaliki tena. Hivyo sintashangaa kuona haya yanayotokea. Lakini wanaokufa kwa kukosa huduma za madaktari si CCM pekee yetu bali Watanzania wote.
 
mgomo wa kwanza ndugu zetu walikufa lakini ndugu wa madaktari wakahudumiwa na kuponywa..... nothing to lose

mhhh kijana acha kudanga mie najua hata madr ambao wamepoteza ndugu zao kwa sabb ya mgomo we mbona muongo sana nakumbuka ha madr wenyewe kama wana mgonjwa ilikuwa ngumu sana kupata dr tu wa kumuona mgonjwa wake wewe umezitoa wapi hizi
pia elewa kuwa dr bila vifaa............kazi haiendi kama unavyofikiri....
 
wengi mnaojadili humu mnajadili kwa upana mdogo sana, lamsingi madfaktari waangalie mipaka ya majukumu yao, wao ni wataalamu, hawawezi kumpangia Raisi nani wa kumpa wizara na nani wa kumtoa, na Raisi akiwakubalia matwakwa yao ya kuwaondoa mawaziri atakuwa hajatumia busara, nawasihi madaktari wasilegee kwenye kudai maslahi yao na waboreshewe mazingira yao ya kazi, lakini wasijiingize kwenye mambo ya kisiasa wawaachie wanasiasa mambo yao.

hakuna anayempangia raisi majukumu kijana acha kuwa mtumwa wewe tunamuambia raisi kuwa hawa watu hawatufai tunamuaomba atupe watu wenye uwezo lakini hawa hawatufai ..............
 
Kwa hili sielwei nipo upande gani

Kaka ukiamua kutokuwa na upande katika wakati ambapo haki inaminywa, umemaua kuwa upande wa wagandamizaji na wanyanyasaji, aliwahi kusema Desmond Tutu. On my opinion kwa hapa umeamua kuwa upande wa serikali. Uko kwenye mawazo ya akina Pinda, tehe tehe tehe, uko kwenye mawazo ya serikali ya Kikwete. Ambao eti sasa wameamua makusudi kupindisha madai ya madaktari kwa kusema ati wanampatia amri rais...uongo.
 
Serikali makini inayosikiliza wananchi ipo madarakani na inawatumikia watanzania kwa uadilifu. Adilifu kwa Mponda na Nkya na inawasikiliza na kuwatumikia kwa gharama yoyote.
 
Mara tu baada ya uchaguzi mkuu kumalizika na Jakaya kuingia Ikulu, chama fulani cha siasa kilitangaza kwamba kitahakikisha nchi yetu haitawaliki tena. Hivyo sintashangaa kuona haya yanayotokea. Lakini wanaokufa kwa kukosa huduma za madaktari si CCM pekee yetu bali Watanzania wote.

Huu ni uvivu wakufiri! Kama unamiaka zaidi ya 18 utakua na ugonjwa unaosababishwa na kuugua muda mrefu ulipokua chini ya umri wa miaka 2.
 
Back
Top Bottom