Mgomo wa madaktari - Updates

Mgomo wa madaktari - Updates

Kinachonishangaza ni jinsi ambavyo watu humu ndani wanona kuwa Madaktari wana haki kwa kila wanachokisema. Tunajua umuhimu wao katika jamii lakini wao wasijione kuwa bora kuliko watumishi wengine serikalini. How do you demand kwamba Waziri lazima aondoke na unataka kweli aondolewe? This is holding the government at ransom. walitaka Mtasiwa na KM waondoke wakaondoka, tena masikini KM akampoteza mama yake in the process. Ndugu zangu Madaktari, mgomo si suruhisho la kila kitu. Hebu fikiria roho za maskini wangapi wanakufa kwa sababu ya migomo yenu. Hamna hata Kwaresma nyinyi? Hiki mnachokifanya ni kwa manufaa ya nani kama sio nyinyi na matumbo yenu? Mna tofauti gani na mafisadi? I hate ufisadi lakini hili mnalolifanya ni well out of control and I will never support this. Doctors must be declared as enemy number one of the common mwananchi! Mkielezwa mnaanza kubwaga matusi humu, well sishangai kwani kama mnaruhusu watu kufa mahospitalini ili mifuko yenu itune, then matusi is just a drop of water in the indian ocean. As we stand, Doctors wanalipwa kuliko cadre yoyote serikalini; mnataka mlipwe kama wabunge????? For this one, doctors you sack!!!
don't try to sound sympathetic to your Government.....haya yote yanasababishwa na serikali yako. ...Mbunge wako amekusaidiaje leo????...wamwona mbunge bora kuliko daktari?...what a nonsense eh!!wambie wabunge wako wakatibu wagonjwa wakati huu wa mgomo....adui wa mwananchi TZ ni serikali yake na s daktari......madaktari ni sehemu ya wananchi wanaotambua haki zao na wameamua kuzipigania sasa....we bado umelala....aliekudanganya madaktari wanalipwa kuliko kada zote kakudanganya...go back and re do your research....by the way,nenda ukayasome upya makubaliano ya madaktari na Pinda alafu uje hapa na conclusion kama madaktari wana justification ya mgomo ama la....vingenevyo...your cries are insignificant to doctor's demands....
 
Hawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.

Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.

Hili sio suluhisho zuri,kwani watu wakifa wataweza kufufuka kama yesu alivyofufuka? Cha msingi ni kuchunguza sababu zao za kufanya hvyo.
 
sisi wananchi tusio madaktari tuongeze kipengere kingene cha waziri mkuu na rais wa nchi waachie ngazi
 
kikwete angepata angalau mmoja tu mtu wa karibu yake mwenye busara basi haya tusingeyaona. tatizo kajizungushia punguani na wachawi tu. mpaka 2015 ifike tutakuwa tumekoma.
 
ninaamini katika swala moja, ukombozi wowote lazima una gharama zake, mgomo huu ni muhimu kwani utaboresha huduma za afya! ni watu wengi kiasi gani wanafariki kila siku kutokana na huduma/ vifaa duni vya matibabu??????
Ni kiasi gani cha hela zetu tuna wapelekea wahindi kutokana vifaa duni?????
afadhali afe mmoja ila tuokoe watatu siku zijazo!!!!
Mungu ibariki Tanzania!
 
Hivi kiapo chao si ni kulinda maisha???? Sasa unalinda maisha ya wagonjwa kwa kuwaacha wafe? So kama Serikali haiwasikilizi, nani aanaathirika na mgomo huu, ni viongozi wa serikali kweli? Huyu Jack and Jill kakosa nini? Shame on you. Mwogopeni Mungu aliyewapa talanta yake na nyinyi mnaifukia!
 
Ivi hawa akina JK si ni viongozi wa watu walio hai?
Sasa viumbe wanakufa wao wako ziarani.
Kwa nini usitekeleza hayo ya kuwapiga chini hao watu wawili kwa manufaa ya TAIFA!
 
sisi wananchi tusio madaktari tuongeze kipengere kingene cha waziri mkuu na rais wa nchi waachie ngazi
mkubwa hiko kipengele bado masaa tunakipitisha, wananchi tupo kwenye kikao na hali ilivyo kunakila dalili hii wiki haiishi hilo litapitishwa.
 
kikwete angepata angalau mmoja tu mtu wa karibu yake mwenye busara basi haya tusingeyaona. tatizo kajizungushia punguani na wachawi tu. mpaka 2015 ifike tutakuwa tumekoma.
2015 mbali mkuu hili tu linaweza kumchomoa ki mzaha mzaha, we subiri wafe/tufe wengi wengi tu
 
hapa mwenye tatizo ni JK kwa kuwa hana anachokijua zaidi ya usharobaro na kuendelea na road show zake, na sisi huku tuache kujifanya ni third parties, nataka kusikia wenye uchungu na nchi hii badala ya kulamba maneno eti madaktari hawana kiapo hivi madaktari wana undugu gani na wagonjwa wenu zaidi ya serikali mliyoiweka madarakani? tatizo watanzania hatujui wajibu wetu tumezoea handovers ndio maana hata tone ya watu bado ni ya kumwomba raisi. Tunatakiwa kumu order na kumpa ultimatum kilaza huyu. Naomba wakina mama Bisimba sasa waelekee ICC tunataka kujua watu wangapi waliouawa na JK na kundi lake la maharamia wa kiuchumi wakati wa mgomo wa mwanzo, tunataka watu wawe wanatupa idadi ya wanaouawa muhimbili na kwingineko kila siku ya mungu ili tuanze ku compile data, huyu JK ana macho lakini haoni, hivi anafikiri yaliyomkuta Gadafi yako mbali? huyu haponi kabisa kabisa lazima atafikishwa ICC, watu wanauawa kila siku hapa nchini kwa starehe zake yeye na hana habari leo hii huyu Pinda Ukimwi nae anabeza madaktari kwa sababu tu yeye anaenda kufanyiwa checking ulaya na marekani, pwa wananitia kichefuchefu kabisa. Sasa sisi wenye ndugu ndio tutoke barabarani sasa mambo ya kusema ooh madaktari wanakosea, eti leo wazungumzaji wa Radio one wanaulizana hivi wewe uliwaambia nini, ooh mimi niliwauliza hivi kwa nini bloody
 
Hivi kiapo chao si ni kulinda maisha???? Sasa unalinda maisha ya wagonjwa kwa kuwaacha wafe? So kama Serikali haiwasikilizi, nani aanaathirika na mgomo huu, ni viongozi wa serikali kweli? Huyu Jack and Jill kakosa nini? Shame on you. Mwogopeni Mungu aliyewapa talanta yake na nyinyi mnaifukia!

hajajua!!!
Hakuna baya kama uape kulinda maisha ya mtu lakini unashindwa kuyalinda kwa sababu tu huna vifaa na dawa, afadhali usingeapa!!! .. Nakubakia kusema engekwenda india engepona!
 
ROBOSOME Wewe ni mamluki unakula pesa za umma na magamba afu unajifanya kuitetea serikali...hivi wewe hujiulizi kwa nini siku hizi umeme unakatika bila wananchi kupewa taarifa? Unazani huo ndo uwajibikaji wa serikali yako? Ninawasiwasi hata makazi yako inawezekana yapo mikocheni kwa mawaziri.....AKILI ZAKO CHANGANYA NA ZAKE!
huyo robo inawezekana anakamfereji kaulaji wa kodi zetu...hebu fikiria umeme cha ajabu siku hizi unakatika mpaka usiku wa manane...... yeye anashanga docta kugoma hashangai police siku hizi wanapiga risasi nakuuwa watu kama kuku sokoni na hawafanywi kitu hata wabunge wa upinzani pekee wakilalamika bungeni no responding utasikia tunaunda tume hebu atueleze tume ya bunge imefikia wapi kuhusu madokita

 
Hawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.

Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.

Kwani serikali ikifanya hivyo hasara si bado itakuwa kwako? Na pia hao mawazi pm pamoja na rais wao asipokuwepo sisi hatutopungukiwa na chochote ila kutokuwepo kwa madaktari tutapungukiwa na vingi sana ikipo uhai wetu pamoja na viungo mbalimbali vya mwili
 
Tanzania zaidi ujuavyo nadhani madakatari watawaonyesha njia walimu.Safi sana

Walimu wale washakuwa sikio la kufa lisilosikia dawa maana hakuna wanachoweza kukifanya kwaali ya kudai malimbikizo yao
 
MINISTRY OF HEALTH- BOTSWANA
VACANCY ANNOUNCEMENTS


Vacancies for health professional exist in the Ministry of Health in Botswana. The Ministry of Health exists to provide health services that will improve the physical, mental and psychological well being of individuals, families and communities.
The Ministry is therefore seeking talented, visionary candidates with sufficient knowledge and experience in providing clinical competence and meet institutional standard of care. The following vacancies are tenable at various Government Hospitals in Botswana.

1. Medical Specialist -Obstetrics & Gynaecology (1)
Salary and Benefits: E2 (USD: 38 500-40 050 per annum). Scarce Skill Allowance (40% of basic salary) Doctors overtime (15% of basic salary). Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%. Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS or MB ChB), MD or equivalent. MS, FRCOG/MRCOG, or equivalent post graduate degree in obstetrics and gynaecology. Applicants must have served satisfactorily as a Specialist Obstetrician/Gynecologist for a minimum of 3 years after post graduate training. Teaching and research experience will be an added advantage. Main purpose of the job: To perform major obstetrics and gynaecological procedures including hysterectomy, caesarian section and vaginal hysterectomy.

2. Medical Specialist Paediatrics- (1)
Salary and Benefits: E2 (USD: 38 500-40 050 per annum) Scarce Skill Allowance (40% of basic salary) Doctors overtime (15% of basic salary) Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%). Leave: 30 days per annum. Qualification/Experience: Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS or MB ChB), MD or equivalent. MD, FRC (Paeds) or equivalent postgraduate degree in pediatrics'. Applicants must have served satisfactorily as a Specialist Pediatrician for a minimum of 3 years after post graduate training. Teaching and research experience will be an added advantage. Pediatric HIV/AIDS treatment and care will be an added advantage. Main purpose of the job: To provide specialist care in discharging curative, preventive and promotive health care services at national referral hospital level.

3. Medical Specialist - Internal Medicine / Physician – (1)
Salary and Benefits E2 (USD: 38 500-40 050 per annum) Scarce Skill Allowance (40% of basic salary) Doctors overtime (15% of basic salary) Optional contributory medical aid scheme Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%). Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS or MB ChB), MD or equivalent. MS, FRCP/MRCP, or equivalent post graduate degree in Internal Medicine. Applicants must have served satisfactorily as a Specialist Physician for a minimum of three years after post graduate training. Sub-specialty in any field of medicine will be an added advantage. Teaching and research experience will be an added advantage.

4. Medical Specialist – Anaesthesia (3)
Salary and Benefits: E2 (USD: 38 500-40 050 per annum) Scarce Skill Allowance (40% of basic salary) Doctors overtime (15% of basic salary) Optional contributory medical aid scheme Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%. Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS or MB ChB), MD or equivalent. Masters in Anaesthesiology or equivalent post graduate degree in Anesthesiology. Applicants must have served satisfactorily as Specialist Anesthetists for a minimum of 3 years after post graduation. Teaching and Research experience will be an added advantage. Successful
applicants should be competent in running Pain Clinic. Teaching and supervision of Medical Officers and Nurse Anesthetists. Main purpose of the job: To handle Anaesthetic management of all cases (routine and emergency) (General Surgery, Orthopaedic, Pediatric, Neonatal Thoracic, ENT, Eye, Dental Maxillofacial and Obstetrics and Genecology); and of critical ill patients in Intensive Care Unit. Trauma Management and Life Support, experience in Invasive Techniques, Ventilators and Monitors.

5. Medical Specialist ENT – (1)
Salary and Benefits: E2 (USD: 38 500-40 050 per annum) Scarce Skill Allowance (40% of basic salary) Doctors overtime (15% of basic salary) Optional contributory medical aid scheme Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%. Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS or MB ChB), MD or equivalent. MS, FRCS (ORTOLARYNGOLOGY) or equivalent postgraduate degree in ENT. Minimum of 3 years experience in ENT. Teaching and research experience will be an added advantage. Main purpose of the job: To perform the procedures such as otology, rhinology, head and neck Surgery, facial plastic surgery and endoscopy.

6. Medical Specialist - Dermatology – (1)
Salary and Benefits: E2 (USD: 38 500-40 050 per annum) Scarce Skill Allowance (40% of basic salary) Doctors overtime (15% of basic salary) Optional contributory medical aid scheme Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%. Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS or MB ChB), MD or equivalent. MS. FRCS or equivalent post graduate degree in surgery. Applicants must have served satisfactorily as Specialist Dermatologist for a minimum of three years after post graduation. Teaching and research experience will be an added advantage.

7. Medical Specialist- Psychiatry-(3)
Salary and Benefits: E2 (USD: 38 500-40 050 per annum). Scarce Skill Allowance (40% of basic salary) Doctors overtime (15% of basic salary).Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%). Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: MD, MB, ChB, MBBS or equivalent. Post graduate qualification in Psychiatry (MRCPsych, M. Med Psych or equivalent). At least three years served satisfactorily as a Specialist Psychiatric for a minimum of 3 years after post graduate training.Main purpose of the job:To provide overall coordination of clinical work in Psychiatry and services in other areas of interest such as HIV and Mental Illness, Substance Abuse management, Child and Adolescent Psychiatry, Psychogeriatrics and Forensic psychiatry.

8. Public Health Specialist-(6)
Salary and Benefits: E2 (USD: 38 500-40 050 per annum). Scarce Skill Allowance (40% of basic salary) Officer must possess relevant and appropriate qualifications.Doctors overtime (15% of basic salary).Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%) Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery .Post graduate qualification in Public Health (MPh or equivalent). At least three years served satisfactorily as a Specialist for a minimum of 3 years after post graduate training Main purpose of the job: To provide curative, preventative and promotive health care services in the district.

9. Principal Dietician II- (2)
Salary and Benefits: D3 (USD: 23,855- 26,335 per annum) Scarce Skill Allowance (30% of basic salary). Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%)
Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Minimum of BSc in Nutrition and Dietetics. A Masters Degree in related field will be an added advantage. A minimum of 6 years post qualification practice experience
Main Purpose of the Job: To initiate the implementation of a wide range of dietary therapeutic regimen and provide medical nutrition therapy.

10. Senior Dietitian (4)
Salary and Benefits: D4 (USD: 20,745- 22,900 per annum) Scarce Skill Allowance 30% of basic salary. Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50% Leave: 30 working days per annum. Scarce Qualifications/Experience: Minimum of a Degree in Nutrition/Dietetics, plus 4 years experience. Masters Degree in a related field will be an added advantage. Main Purpose of the Job: To coordinate sub functions within health facility to ensure smooth delivery of nutritional care.

11. Clinical Psychologist I – (5)
Salary and Benefits: C1 (USD: 15,455-18,470 per annum). Scarce Skill Allowance 30% of basic salary. Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50% Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: A Masters Degree (MA/MSc) in Clinical Psychology. Minimum of 2 years post qualification experience in the Clinical or a related field. Main purpose of job: To administer assessment, design and implements psychological treatment plans.

12. Head Of Department Pharmacy (2)
Salary and Benefits: D2 (USD: 27,430- 30,290 per annum) Scarce Skill Allowance (40% of basic salary).Optional contributory medical aid scheme (Government pays 50%, Employee 50%). Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Bachelors Degree in Pharmacy, a Masters Degree in Pharmacy will be an added advantage. A minimum of 5 years experience in the relevant field.Main purpose of the job: To direct and supervise the planning, coordination, implementation and evaluation of the Pharmacy Program.

13. Chief Biomedical Engineer (1)
Salary and Benefits: E2 (USD: 38 500-40 050 per annum) Scarce Skill Allowance (40% of basic salary) Optional contributory medical aid scheme (Government pays 50%, Employee 50%) Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: BSc. Biomedical Engineering or Clinical Engineering. 10 years post qualification in Biomedical clinical engineering or one year as Principal Biomedical or Clinical Engineer. Main purpose of the job: To plan, direct and coordinate the maintenance and procurement of medical equipment and new projects' and promote the development and advancement of biomedical engineering practice and review of relevant policies.

14. Senior Biomedical Engineer (2)
Salary and Benefits: D4 (USD: 20,745- 22,900) per annum Scarce Skill Allowance (40%of basic salary). Optional contributory medical aid scheme (Government pays 50%, Employee 50%). Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Minimum of a Degree in Medical Engineering. Six years post qualification experience. Masters Degree in related fields will be an added advantage. Main Purpose of the Job: To manage and co-ordinate the day-to-day biomedical engineering services in District hospital and/or a Referral hospital.

15. Biomedical Engineer I (1)
Salary and Benefits: C1 (USD: 15,455-18,470) per annum. Scarce Skill Allowance 40% of basic salary. Optional contributory medical aid scheme (Government pays 50%, Employee 50%). Leave: 30 working days per annum per annum Qualification/ Experience: Degree in Medical Engineering. A minimum of four (4) years post qualification experience. Main Purpose of the Job: To provide maintenance, repair, service and participate in performance assurance tests of all medical equipment.

16. Senior Lecturer I (Pharmacy) (10)
Salary and Benefits: D3 (USD: 23,855- 26,335 per annum). Scarce Skill Allowance 40% of basic salary. Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%. Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Masters or Degree in Pharmacy. 8 years experience in a related field. Main purpose of the job: To coordinate the planning, implementation and evaluation and supervision of classrooms and clinical activities in the relevant area.

17. Senior Lecturer I (Nursing) (1)
Salary and Benefits: D3 (USD: 23,855- 26,335 per annum). Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%. Leave: 30 days per annum Qualification/Experience Masters or relevant Degree in Nursing Science. 8 years experience in a related field. Main purpose of the job: To coordinate the planning, implementation and evaluation and supervision of classrooms and clinical activities in the relevant area.

18. Senior Lecturer I (Natural Science) (2)
Salary and Benefits: D3 (USD: 23,855- 26,335 per annum). Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%. Leave: 30 days per annum. Qualification/Experience: Masters or relevant Degree in Physics and Chemistry. 8 years experience in a related field. Main purpose of the job: To coordinate the planning, implementation and evaluation and supervision of classrooms and clinical activities in the relevant area.

19. Senior Lecturer I- (Community Mental) (1)
Salary and Benefits: D3 (USD: 23,855- 26,335 per annum). Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%. Leave: 30 days per annum. Qualification/Experience: Masters or relevant Degree in Physics and Chemistry. 8 years experience in a related field. Main purpose of the job: To coordinate the planning, implementation and evaluation and supervision of classrooms and clinical activities in the relevant area.

20. Senior Lecturer I- (Public Health) (1)
Salary and Benefits: D3 (USD: 23,855- 26,335 per annum). Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%) Leave: 30 days per annum. Qualification/Experience: Masters or relevant Degree in Public Health. 8 years experience in a related field. Main purpose of the job: To coordinate the planning, implementation and evaluation and supervision of classrooms and clinical activities in the relevant area.

21. Senior Lecturer II- (Midwifery) (1)
Salary and Benefits: D4 USD: 20,745- 22, 900 per annum). Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%) Leave: 30 days per annum. Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%) Qualification/Experience: Masters or relevant Degree in Nursing plus post graduate in Midwifery. 6 years experience in a related field. Main purpose of the job: To plan, implement and evaluate teaching in midwifery programme in order to prepare personnel who will deliver quality health services.

22. Senior Lecturer II Nurse Anaesthesia (1)
Salary and Benefits: D4 USD: 20,745- 22, 900 per annum). Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%) Leave: 30 days per annum. Qualification/Experience: Masters or relevant Degree in Bachelor of Anaesthetic Nursing. 4 years experience in a related field. Main purpose of the job: To plan, implement and evaluate teaching in anesthesia programme in order to prepare personnel who will deliver quality health services.

23. Senior Lecturer II- (Public Health) (3)
Salary and Benefits: D4 USD: 20,745- 22, 900 per annum). Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%) Leave: 30 days per annum. Qualification/Experience: Masters or relevant Degree in Public Health. 6 years experience in a related field. Main purpose of the job: To plan, implement and evaluate teaching in public health programme in order to prepare personnel who will deliver quality health services.

24. Lecturer I/II/Asst Lecturer (Natural Science) (5)
Salary and Benefits: C1 (USD: 15,455-18,470) per annum. Optional contributory medical aid scheme (Government pays 50%, Employee 50%). Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience. Relevant Degree in Physics and Chemistry. 4 years in a related field. Main purpose of the job: To train, educate and prepare health workers who will deliver Health Services independently in a variety of setting.

25. Lecturer I (Midwifery) (4)
Salary and Benefits: C1 (USD: 15,455-18,470) per annum. Optional contributory medical aid scheme (Government pays 50%, Employee 50%) Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience. Bachelor Degree in Nursing plus post graduate in Midwifery. 4 years in a related field. Main purpose of the job: To train, educate and prepare health workers who will deliver Health Services independently in a variety of setting.

26. Lecturer I (Nursing) (15)
Salary and Benefits: C1 (USD: 15,455-18,470) per annum. Optional contributory medical aid scheme (Government pays 50%, Employee 50%) Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience. Bachelor Degree in Nursing. 4 years in a related field. Main purpose of the job: To train, educate and prepare health workers who will deliver Health Services independently in a variety of setting.

27. Lecturer I (Ophthalmic) (2)
Salary and Benefits: C1 (USD: 15,455-18,470) per annum. Leave: 30 working days per annum. Optional contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% Employee 50%) Qualification/Experience. Bachelor Degree in Nursing. 4 years in a related field. Main purpose of the job: To train, educate and prepare health workers who will deliver Health Services independently in a variety of setting.

28. Lecturer I (Pharmacy) (3)
Salary and Benefits: C1 (USD: 15,455-18,470) per annum. Scarce Skill Allowance 40% of basic salary. Optional contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% Employee 50%) Leave: 30 working days per annum Qualification/Experience. Bachelor Degree in Pharmacy. 4 years in a related field. Main purpose of the job: To train, educate and prepare health workers who will deliver Health Services independently in a variety of setting.

29. Lecturer I (Community Mental) (1)
Salary and Benefits: C1 (USD: 15,455-18,470) per annum. Optional contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% Employee 50%). Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience. Bachelor Degree in Nursing. 4 years in a related field. Main purpose of the job: To train, educate and prepare health workers who will deliver Health Services independently in a variety of setting.

30. Lecturer I (Medical Laboratory) (3)
Salary and Benefits C1 (USD: 15,455-18,470) per annum. Scarce skill allowance 40% of basic salary. Optional contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% Employee 50%). Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience. Bachelor Laboratory or Microbiology. 4 years in a related field. Main purpose of the job: To train, educate and prepare health workers who will deliver Health Services independently in a variety of setting.

31. Lecturer I (Public Health) (1)
Salary and Benefits: C1 (USD: 15,455-18,470) per annum. Optional contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% Employee 50%)
Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience. Bachelor Degree in Public Health. 4 years in a related field. Main purpose of the job: To train, educate and prepare health workers who will deliver Health Services independently in a variety of setting

32. Chief Medical Officer (13)
Salary and Benefits: D1 (USD: 31500-34776 per annum). 40% of basic salary as Scarce Skill Allowance. 15% of basic salary as Doctors' overtime. Leave: 30 working days per annum. Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%). Qualification/Experience: Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS or MB ChB) or, MD. Should have satisfactory service for at least 4 years as Principal Medical Officer.

33. Principal Medical Officer (7)
Salary and Benefits: D2 (USD: 27,430- 30,290 per annum) 40% of basic salary as Scarce Skill Allowance. 15% of basic salary as Doctors' overtime. Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%).Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS or MB ChB) or, MD. Should have satisfactory service for at least 3 years as Senior Medical Officer. Main purpose of the job: To supervise all the units falling under his area of operation such as clinics and dispensaries.

34. Senior Medical Officer ( 5)
Salary and Benefits: D3 (USD: 23,855- 26,335 per annum). 40% of basic salary as Scarce Skill Allowance. 15% of basic salary as Doctors' overtime Optional contributory medical aid scheme (government pays 50%, employee 50%) Leave: 30 days per annum Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS or
MB ChB) or, MD. At least one (1) year internship training and having rotated in all areas of medicine. Main purpose of the job: To provide specialised services in any of the disciplines of medicine, pediatrics, surgery, orthopaedics, opthalmology, accident and emergency.

35. Registered Nurse (64)
Salary and Benefits: C3/4. Leave: 25 working days per annum. Overtime allowance: 30% of basic salary Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%). Qualifications/ Experience: Diploma or Degree in General Nursing. Post graduate Diploma will be an added advantage. Main purpose of the job: To
assess patient care problems, making a nursing diagnosis, developing plan of care in collaboration with other nursing officers.

36. Principal Pharmacist I (2)
Salary and Benefits: D2 (USD: 27,430- 30,290 per annum) 40% of basic salary as Scarce Skill Allowance. Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%). Leave: 30 working days per annum. Qualifications/ Experience: Bachelor of Pharmacy/Equivalent. A post graduate degree in Clinical Pharmacy/ related specialty will be an added advantage. A minimum of 8 years post qualification experience. Knowledge of all functions of the Pharmaceutical services. Main Purpose of the Job: Responsible for the management of national pharmaceutical control functions towards companies, pharmacies and all those dealing with drugs and related substances (Drug Regulatory Unit) and the review and administration of the Drugs and Related Substances Act and Regulations.

37. Principal Pharmacist II (1)
Salary and Benefits: D3 (USD: 23,855- 26,335) per annum. Scarce skill: 40% of basic salary. Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%). Leave: 30 working days per annum. Qualifications/ Experience: Bachelor of Pharmacy/Equivalent. A post graduate degree in Clinical Pharmacy/ related specialty will be an added advantage. A minimum of 6 years post qualification experience. Knowledge of all functions of the Pharmaceutical services. Main Purpose of the Job: To manage pharmaceutical subunits at Central Medical Stores, Drug Regulatory/ Quality Assurance/Drug and Toxicology Information Units and Referral Hospitals or to manage and coordinate all functions of the pharmaceutical units at District Hospitals.

38. Senior Pharmacist (2)
Salary and Benefits: D4 (USD: 20,745- 22, 900) per annum Scarce skill: 40% of basic salary. Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%). Leave: 30 working days per annum. Qualifications/Experience: Bachelor of Pharmacy/Equivalent. A post graduate degree in Clinical Pharmacy related specialty is an added advantage. A minimum of 6years post qualification experience preferably in a clinical pharmacy environment. Adequate knowledge of Drug Management, Drug Policy and General Management is necessary. Main Purpose of the Job: To provide professional pharmaceutical services and patient care at all health facilities and ensure that activities within the health facilities are efficiently, professionally and adequately provided.

39. Pharmacist I/II/Intern (1)
Salary and Benefits: C1 (USD: 15,455-18,470) per annum. Scarce skill: 40% of basic salary Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%). Leave: 30 working days per annum Qualifications/Experience: Bachelor of Pharmacy/Equivalent. A post graduate degree in Clinical Pharmacy/ related specialty is an added advantage. Experience: A minimum of 4years post qualification experience and exposure to different fields of Pharmaceutical functions. Main Purpose of the Job: To plan and program professional pharmaceutical services and patient care within Hospital/Central Medical Stores/ Drug Information/Regulatory/ Quality Assurance (Control) units and ensuring that pharmaceutical activities are provided to meet the required standards of preventive, curative and promotive health services.

40. Chief Pharmacy Technician (3)
Salary and Benefits: D4 (USD: 20,745- 22, 900) per annum. Scarce skill: 30% of basic salary Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%) Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Diploma in
Pharmacy. 6 years in a related area. Main purpose of the job: To organise and co- ordinate visits within the catchment area.

41. Principal/Senior/Pharmacy Technician-28
Salary and Benefits: C1 (USD: 15,455-18,470) per annum. Scarce skill: 30% of basic salary Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%) Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Diploma in Pharmacy. 4 years in a related area. Main purpose of the job: To coordinate pharmaceutical activities in hospitals.

42. Principal Occupational Therapist I (1)
Salary and Benefits: D2 (USD: 27,430- 30,290) per annum. Scarce skill: 15% of basic salary. Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%) Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Bachelors Degree in Occupational Therapy from an Accredited University. A Masters Degree in Occupational Therapy will be an added advantage. A minimum of 6 years post qualification experience in Occupational Therapy Clinical Practice. Main Purpose of job: To provide intensive and or specialized therapeutic intervention and management of occupational therapy in a referral or district hospital.

43. Principal Occupational Therapist II (1)
Salary and Benefits: D3 (USD: 23,855- 26,335) per annum Scarce skill: 15% of basic salary. Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%) Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Bachelors Degree in Occupational Therapy from an Accredited University. A Masters Degree in Occupational Therapy will be an added advantage. A minimum of 6 years post qualification experience in Occupational Therapy Clinical Practice. Main Purpose of job: To provide intensive and or specialized therapeutic intervention.

44. Senior Occupational Therapist (2)
Salary and Benefits D4 (USD: 20,745- 22,900) per annum Scarce skill: 15% of basic salary Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%) Leave: 30 working days per annum Qualification/Experience: Bachelors Degree in Occupational Therapy. 4 years post qualification experience in an Occupational Therapy setting. A Masters degree in Occupational Therapy will be an added advantage. Main purpose of job: To coordinate therapeutic activities and ensures effective and efficient use of resources.


45. Occupational Therapist I (3)
Salary and Benefits C1 (USD: 15,455-18,470) per annum. Scarce skill: 15% of basic salary Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%) Leave: 30 working days per annum Qualification/Experience: Bachelors in Occupational Therapy. A minimum of two (2) years post graduate experience. Main purpose of job: To consult, assess, diagnoses, develops, implements and review plan of care.

46. Principal Physiotherapy I (3)
Salary and Benefits D2 (USD: 27,430- 30,290) per annum. Scarce skill: 15% of basic salary Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%) Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: BSC in Physiotherapy. Masters Degree in Physiotherapy will be an added advantage. Minimum of eight (8) years postgraduate experience as a physiotherapist. These should include a recent minimum of two (2) years doing inpatient work if current work is predominately outpatient and vice versa.
Main Purpose of job: To oversee overall management of physiotherapy department in a referral hospital.

47. Principal Physiotherapy II (2)
Salary and Benefits: D3 (USD: 23,855- 26,335) per annum. Scarce skill: 15% of basic salary Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%) Leave: 30 working days per annum Qualification/Experience: BSC in Physiotherapy. Masters Degree in Physiotherapy will be an added advantage. Minimum of six (6) years postgraduate experience as a physiotherapist. These should include a recent minimum of two (2) years doing inpatient work if current work is predominately outpatient and vice versa. Main purpose of job: To oversee overall management of physiotherapy department in a district level hospital and provision of physiotherapy services.

48. Senior Physiotherapy (1)
Salary and Benefits D4 (USD: 20,745- 22,900 per annum) Scarce skill: 15% of basic salary Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%) Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: BSC in Physiotherapy. Masters Degree in Physiotherapy will be an added advantage. Minimum of four (4) years postgraduate experience as a physiotherapist. These should include a recent minimum of two (2) years doing inpatient work if current work is predominately outpatient and vice versa. Main purpose of job: To assist in the overall management of physiotherapy department in a district level hospital and provision of physiotherapy services.

49. Physiotherapy I/II/Intern (3)
Salary and Benefits: C1 (USD: 15,455-18,470 per annum) Scarce skill: 15% of basic salary Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%) Leave: 30 working days per annum Qualification/Experience: BSC in Physiotherapy. Minimum of 2 years postgraduate working experience as a physiotherapist and experience in inpatient and outpatient work. Main purpose of job: To provide optimal physiotherapy care through assessment, diagnosis and appropriate interventions.
50. Principal Radiographer II (2)
Salary and Benefits: D3 (USD: 23,855- 26,335) per annum. Scarce skill: 20% of basic salary Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%) Leave: 30 working days per annum
Qualifications/Experience: BSc in Radiography/Medical Imaging Science or equivalent. Diploma/MSc in a post graduate qualification in any Medical Imaging Science will be an added advantage. A minimum of six (6) years post graduate experience
Main Purpose of the Job: To manage a Medical Imaging /Radiography department and provide diagnostic imaging services to patients.
51. Health Officer I/II/AHO-Audiology (1)
Salary and Benefits: C1 (USD: 15,455-18,470 per annum) per annum. Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%) Leave: 30 working days per annum. Qualifications/Experience: BSc in Audiology. One year post graduate diploma. Atleast 3-5 years working experience. Main purpose of the job: To provide and administer specialised services to those with hearing problems by testing and providing devices like hearing moulds and hearing aids.
52. Principal Systems Analyst I (1)
Salary and Benefits D2 (USD: 27,430- 30,290) per annum. Scarce skill: 35% of basic salary Optional Contributory Medical Aid Scheme (Government pays 50% employee 50%) Leave: 30 working days per annum. Qualification/Experience: Degree in Computer Science, Information Systems, Data Communication or other relevant Information Technology qualification. Atleast 8 years in IT field. Main purpose of the job: To coordinate and manage ICT systems development within a division.

Applicants must submit the following:

-Brief summary of career with competencies (Curriculum vitae)
-Certified true copies of academic and professional certificates,
-At least two references from supervisors indicating the number of years
-Copy of passport,
-Certificate of registration to practice medicine.
Applications should be addressed to:
The Permanent Secretary
Ministry of Health
Private Bag 0038
Gaborone
For further details please contact the following;
Mr T. Ketumile-3632592 Email; tketumile@gov.bw
Ms D. Chilume-3632486 Email: dchilume@gov.bw
Ms L. Ditlhong- 3632737 Email: lditlhong@gov.bw
PLEASE NOTE THAT SALARIES ARE PAID IN BOTSWANA CURRENCY (PULA)

Wakati serikali yetu inalegalega iangalie mahitaji ya wenzetu na malipo wanayolipa wengine..........ilinganishe raslimali ilizonazo na botswana kisha ijipime............wanasubiri muwafukuze wawachukue.
 
Hizo ni porojo tu, watabana wataachia kwa kuwa wengi wanafuata mkumbo wa frustrated individuals ambao they have nothing to lose

Sidhani kama inaweza kuwa hivyo maana serikali imekwisha kuonyesha udhaifu mkubwa tangia mwanzo na sasa madaktari wanauzo mkubwa wakuifanyia chochote serikali na wasiwe nalakufanya
 
uwaue madaktari? halafu utawatibu wananchi kwa masaburi yako? sitashangaa ukini ndambia kuwa unafanay kazi ukulu. sishangai kabisa ndio type ya watu mnaoongoza nchi

Sitaki kuamini kama na mkuu wa kaya ni wa aina hii
 
Back
Top Bottom