Bongo bwana ..., Hivi waziri wa afya lazima akubalike na madaktari? Waziri wa elimu lazima akubalike na wanafunzi na waalimu? Waziri wa utamaduni lazima akubalike na footballers, wanariadha, rappers, etc.? waziri wa watoto na akina mama lazima akubalike na watoto na akina mama?
Ongeeni mkishakuwa na point ya kuongea jamani!
Una habari kuwa Mponda na NKYA wanaogopa kutembelea hospitali hasa MNH? Sasa watu unaowaongoza unawaogopa utawaongozaje! Kwa M.a.sa.b..ur?
Mapendekezo yote yatakayokubaliwa na pinda yatatekelezwa nao. Sasa kama Mawaziri na Madaktari ni Paka na Chui hayo madai yatatekelezwaje? Ni common sense tu hapa mpunguze huo ushabiki usio na tija!