MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
wauaji wanakuja na mgomo wa pili hakuna wanachopoteza ndugu zetu ndio watakufa, msiba mwingine mkubwa kwa taifa unakuja.
nikome nini?? wacha wagome....na watu kama wewe hamfai kuishi kabisa
huo muda wa kukaa ni bora wakahudumie wagonjwa cha muhimu watimiziwe matakwa yao tu mvutano sio mzurimadaktari msiturudishe tulikotoka kaa meza moja na serikali zungumzeni. Kauli ya Pinda jana inaonyesha mnaweza kukaa tena meza moja mkazungumza.
Nilikuwa nasikia tu ila nimekuja kuamini madaktari wakitanzania wana ufinyu wa fikra, hivi mawaziri wakijiuzulu ndio hayo wayatakayo yatakuwa materialised?. Hawana uhakika na hilo, kwa hiyo kujiuzulu kwao sio solution kabisa. Hawa jamaa wana akili km za nyanya chungu kabisa, kuivia kwenye mboga na kuliwa basi
wauaji wanakuja na mgomo wa pili hakuna wanachopoteza ndugu zetu ndio watakufa, msiba mwingine mkubwa kwa taifa unakuja.
Hawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.
Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.
Muuwaji ni Jakaya Kikwete, kila kitu kiko ndani ya uwezo wake, kwa Jakaya Kikwete ni kwamba uwaziri wa Mponda na Nkya una thamani zaidi ya Watanzania millioni 40.wauaji wanakuja na mgomo wa pili hakuna wanachopoteza ndugu zetu ndio watakufa, msiba mwingine mkubwa kwa taifa unakuja.
Bila shaka unawazungumzia JK, Pinda, Nkya na Mpona.Hakuna mbadala wa uhai hawa tuwaite wauaji tu. Mtu akifa huwezi kumrudishia uhai
Kwa jinsi Pinda alivyozungumza kwa busara jana hakika nilitegemea madaktari wangeomba fursa ingine ya kukutana naye tena kuangalia uwezekano wa kutatua vikwazo vilivyojitokeza kuliko kukimbilia kugoma.
Dr Wangu wa Muhimbili anasima
"" mgomo hakuna watu wanaendelea na kazi kama kawaida vikao bado vinaendelea"" mwisho wa kunukuu
Sasa tumuamini Doctor wa wapi??? maaana mgomo hakuna:juggle:
madaktari kupitia chama chao hawajawahi kutoa japo tamko moja tu kujutia vifo vya watanzania wenzetu waliopoteza maisha katika mgomo wa kwanza. Ni ishara kwamba vifo kwao ni jambo la kawaida. Hata kama ulikuwa ni mgomo lakini wangetoa tamko kwamba waliumizwa na hali iliyojitokeza ya wananchi kufa wakati wamegoma lakini hawakuwa na jinsi. Wauaji tu ndio kauli inayofaa.
huo muda wa kukaa ni bora wakahudumie wagonjwa cha muhimu watimiziwe matakwa yao tu mvutano sio mzuri