Dume la Mbegu usifanye ushabiki kwenye hili,hoja ya madaktari ni ya msingi labda kama kuna kitu hukijui ni hivi!kikao kilichokuwa kinaendelea kuna wajumbe wanatoka wizara ya Afya sasa huwezi kuendelea kujadili jambo ambalo kabla halienda kupatiwa ufumbuzi lazima lipite mezani kwa waziri na wazri huyo ni mtuhumiwa,je unategemea nini kitatokea?kwanza apishe nafasi yake ili watu wawe huru kujadili na kutafuta suluhu ya matatizo ya wizara,maana huwezi ku-review mishahara ya madaktari bila ya wizara ya afya kuhusika.
Na kingine tukumbuke mgomo wa leo ulianza siku kabla mgomo wa leo ni unatokana na wa awali na hawa mawaziri kama wangekuwa competent enough wala ule wa awali usingetokea mwisho wa siku tunajua yale waliokuwa wanaropoka hao mawaziri.
N kingine uwajibikaji jamani ni muhimu sana,tuache kufanya kazi kwa mazoea,na hili litakuwa fundisho kwa mawaziri kukimbilia wizara wakati hawana uwezo,lakini pia itkuwa fundisho kwa serikali kushughulikia matatizo ya wizara mbali mbali pamoja na ya watanzania kwa ujumla.kimsingi naunga mkono kuondoka kwa mawaziri hawa