Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
Yeye CHENGE alipewa siku ngapi kuthibitisha vijisenti vyake vimetoka wapi?

BRELA walipewa siku ngapi kutaja wamiliki wa KAGODA?

TRA walipewa siku ngapi kuthibitisha hayo makampuni ya UFISADI EPA yanalipa kodi?

Hivyo ni vyombo vya serikali au watumishi wa serikali na hawapewi deadline ya kuhakiki kazi/madudu wanayofanya lakini RAIA MZALENDO anatishiwa na hawa viongozi wasio na mwelekeo wala dira zaidi ya UFISADI WAO.

UNAWAITA HAWA WASOMI?
 
Kwa upande mwingine, yale madai ya Mengi kutishiwa kuuwawa na wahindi wa CTN yaliishia wapi?
 
Yeaah Mengi has our support, the man,is a play boyand a bi shoo, we still remember his kempinski comments.Tp sum up , throwing his weight around will not help him.The wananchi will remember this five years-no two years from now .I only wish him good luck.Many have taken this way and failed miserably.
 
Mbona Masha anataka kuleta ya Senti Hamsini na The Game? Yeye kama waziri na wakili aliyebobea alistahili kujua namna ya kutenganisha kofia yake ya uwaziri na uraia. Yeye kama waziri kusimama kwenye public forum na kumpa raia (au mkazi yeyote wa nchini) aliyeelezea uwoga wake wa kutendewa maovu ultimanum ni incomprehensible. Kama yalimuuma angewaagiza watendaji wake wafuatilie na kwa kushirikiana na huyo raia kupata ukweli wa shutuma. Si kumpa siku saba atoe ushahidi. Yeye ni raia, atajuaje ushahidi gani ni admissible na upi hapana? Hiyo ni kazi ya polisi na prosecutors. Kama katika kuchunguza watakuta madai yake hayana msingi na yalikuwa malicious hapo watakuwa na haki ya kumchukulia hatua za ziada. Sasa waziri anasema kuwa atamwandikia raia barua. Yeye kama nani? Kwa nini asimwagize Katibu Mkuu ( ambae ndiye mtendaji mkuu wa wizara) aandike? Au IGP? Naona jamaa anaingiza mambo ya mtaani katika utendaji kazi wake.

Mengi alitoa shutuma hizo kama raia wa kawaida. Bila shaka palikuwa na walakin katika utoaji wake na jinsi alivyozitoa shutuma hizo lakini ni haki yake kama raia wa kawaida. Hili hakuna anayeweza kumkatalia. Waziri kwa namna alivyojiingiza ameli-personalize na kulipa uhai mpya! Anamfanya Mengi aonekana martyr mbele ya ubabe wa serikali ( waziri ni mwakilishi wa serikali).He should have known better.
 
Kama Waziri aliyekusudiwa ni Masha, halafu Masha anataka Mengi aende Polisi, wakati hao Polisi bosi wao wa juu kabisa ni Masha.. ambaye ametaka Mengi aende Polisi... Mengi alisema ametoa taarifa polisi, Waziri anasema hakuna taarifa hiyo, Polisi nao wanasema hakuna taarifa hiyo.. Masha aende kutoa taarifa nyingine huko huko polisi?
 
Field Marshall ES unatuboa mkuu. Kama huna hoja usikurupuke kama mwenzio Masha kujiandikia andikia tu bila mtiririko. Tena unakatakata hoja za watu na kujibu nusunusu, hatimaye mwisho wa yote unajikuta umejikanyagakanyaga! Be serious please! We are not kidding here. We are serious people knowing exactly what we are argueing. Read today's newspapers on this issue and you will start understanding the logic of our arguements. Narudia kusema "Masha amekurupuka kutoa tangazo lake". Kwa kufanya hivyo ameiabisha serikali na taaluma ya sheria. He will soon be in for this.
 
Field Marshall ES unatuboa mkuu. Kama huna hoja usikurupuke kama mwenzio Masha kujiandikia andikia tu bila mtiririko. Tena unakatakata hoja za watu na kujibu nusunusu, hatimaye mwisho wa yote unajikuta umejikanyagakanyaga! Be serious please! We are not kidding here. We are serious people knowing exactly what we are argueing. Read today's newspapers on this issue and you will start understanding the logic of our arguements. Narudia kusema "Masha amekurupuka kutoa tangazo lake". Kwa kufanya hivyo ameiabisha serikali na taaluma ya sheria. He will soon be in for this.

- Hoja hujibiwa kwa hoja, sio lazima wote tuwe upande mmoja ili kutowaboa wengine, anyways nimekusikia sasa ngoja niwaachie wote wa upande mmoja mjadiliane ili msiboane, maana tusipokubali kuwa upepo wa bendera basi tunaboa, you got it!

- Hayo magazeti ya Mengi si ndiyo yaliyokuwa yakiwasifia Mtandao, hawa kina Masha kwenye kampeni za urais au sio yenyewe? Na huyu si ndiye yule yule Mewngi aliyekwua rafiki wa karibu sana wa Mkapa, au? Anyways nisije nikawaboa zaidi kwa hiyo I am out!

Thanxs and out!
 
hii movie called de Mengi n MAsha saga is startin to changanyia...yaani kama sebene au bolingo sasa ndo umekolea!!

wapelekane faster mahakamani ifikage mwisho isiwe kama movies zingine zakoleaaa alafu za mute hadi tunazisahau!

duh kumbe waziri masha ni so hardworkin hivyoo kwa hiyo na mie nikitoa taarifa tu kuwa flani anatishia maisha yangu in public atakaribishwa kesho yake kwenye news channel ya kiserikali a respond to my maneno ehh??

hii wizara ina bahati mno si ndo hii alikwepo mapuri wakati ule akiropoka ropoka?
 
Mwisho wa movie ni mengi na masha ku shake hands na kutuacha hoi tukijiuliza ilikuwaje???? Siku saba zitapita mengi hataji mtu na masha hampeleki mahakamani ni mambo ya powerful personalities wanapojuchokonoa hatimaye wanaelewana na kunya wine pamoja.
 
kunya wine pamoja? SORRY NAMAANISHA KUNYWA WINE BANDUGU...
 
Looks like mengi this time has something to prove!He says seven days are too many!
Hope the President doesnot intervenes like last time Mkapa had to come in when it was Masilingi and Mangi!
 
Mwisho wa movie ni mengi na masha ku shake hands na kutuacha hoi tukijiuliza ilikuwaje???? Siku saba zitapita mengi hataji mtu na masha hampeleki mahakamani ni mambo ya powerful personalities wanapojuchokonoa hatimaye wanaelewana na kunya wine pamoja.

at de end of de day de attention ya wabongo ishakuwa shifted n kusaulishwa mambo mengine ya muhimu....as usual!naisifu serikali yetu kwa hii formula cz always yafanikiwa!

by next wik kila mtu n media yatok abt mengi n masha...wale wa epa wanafukiwa, na other issues ndo kabsaaa..mfano tu hivi ule wosia wa marehemu Balali (if alikufa) tuliokuwa twaambiwa utasomwa mara sijui copy yake kuletwa hapa tukaongelea for more than weeks uliishia wapi??
 
Looks like mengi this time has something to prove!He says seven days are too many!
Hope the President doesnot intervenes like last time Mkapa had to come in when it was Masilingi and Mangi!

Let Mengi come with the proof,all ears open for that! Let him be courageous enough to render evidence.What is he afraid of?
 
wud differ here: Mengi ni mtu mtu tajiri na prominent business man hapa kwetu (a successful businessman); Masha ni successful young man to be at his post at that age; they shud have taken a wise decision; and we expect wisdom from the two. For sure hii ndiyo ina prove how hapa kwetu watu wenye vyeo na wenye pesa hawana discipline! These people had time to contact each other even before going to media stalls. They shud be very busy working as they hav more important priorities than what they are doing now! Hapa ni ubabe tu, huyu anajua ana cheo na huyu anajua anayo-pesa; cowards!

approach was to seek elders or even the president and talk it friendly!
 
Don't you all see that Mengi si playing for the public sympathy? This "news" will keep Mengi in the news for a loooooong time to come - all blogs, media outlets etc are filled with this man's, I believe, calculated agenda. This is a personality that craves media attention.

My opinion, and, damn it, I'm entitled to it!!!!!
 
- Sasa ilikuwaje wachawi waliouliwa Shinyanga wakasababisha waziri wa ndani Mwinyi, Dar akajiuzulu iwapo sio wajibu wake? Mengi amelikoroga sasa alinywe, kwenye hili hata yeye anajua kua he is on his own, tunapigana na mafisadi kisayansi sio kwa kuwapa risasi namna hii,

- Usalama wa ndani ya nchi na wananchi wake ni kazi ya waziri wa ndani, polisi kikiwa ni kitengo chake, nilifkiri utaridhika kwamba sasa hili litaamuliwa kwenye sheria ili Mengi naye apewe hakli yake kisheria, sasa hutaki sheria? Mnataka wananchi waamuke tu an kudai waziri anataka kuniua?

Let sheria ichukue mkondo wake na Mengi apewe haki yake kisheria iwapo waziri atakutwa na makosa.

Mkuu FMES,

Waziri ana wajibika kwa matendo ya wafanyakazi wa wizara yake. Haikuwa wajibu wa Mwinyi kuwalinda kwa bunduki wale wazee wasiuawe. Huo ulikuwa wajibu wa polisi. Wajibu wa Mwinyi ilikuwa kuwahakikisha wafanyakazi wa wizara yake wakiwemo polisi wanatimiza wajibu wao wa kulinda raia. Baada ya hao polisi kushindwa kutimiza wajibu wao akaamua kuwajibika kisiasa na kujiuzulu.

Hivyo hivyo kule India haikuwa wajibu wa wale mawaziri waliojiuzulu kwenda kulinda mipaka ili terrorists wasiingie. Huo ulikuwa wajibu wa vyombo vya usalama. Hao mawaziri waliojiuzulu wamewajibika kwa failures za wizara zao.

Masha anachoweza kufanya ni kuaandaa taratibu za kuhakikisha mtu anayetoa tuhuma nzito anachunguzwa na kuwawajibisha polisi wasipofanya uchunguzi huo.

Mengi hajatenda kosa lolote kwa kulalamika. Kama kuna kosa, basi aliyelalamikiwa inatakiwa aende polisi kulalamika na hapo polisi watafanya uchunguzi. Au kama maneno ya Mengi ni mabaya mno kiasi cha kuweza kusababisha vurugu kwenye jamii, basi hapo polisi wanaweza kuchunguza bila kusubiri mtu kulalamika. Katika scenarios zote ni wajibu wa polisi na wala sio waziri wa mapolisi kuamua kuchunguza au kutokuchunguza.
 
YOU if you are not careful.

Mengi Vs Pius Ng'wandu.

Akiwa Waziri wa Habari Pius Ngw'andu alimbana Mengi asipewe Leseni na Tume ya Utangazaji kwa kukiuka masharti ya Uanzishaji Radio/TV. Mengi alifunga vyombo vya Radio/TV ndipo akatoa taarifa kwa Tume kinyume na taratibu zilizotaka vyombo vikaguliwe kabla ya kufungwa. Jambo hili lilimgharimu Dk Ng'wandu kwa kupoteza Uwaziri na kutupwa kwenye u-RC. Hotuba zake Mengi huwa anasema hadharani bila juhudi binafsi za Rais Mwinyi asingeanzisha Vyombo vya Habari.

Tuendelee

Msisahau

Mengi (MOAT) vs Mwandosya (Waziri wa Mawasiliano) mwaka ule
 
Mwisho wa movie ni mengi na masha ku shake hands na kutuacha hoi tukijiuliza ilikuwaje???? Siku saba zitapita mengi hataji mtu na masha hampeleki mahakamani ni mambo ya powerful personalities wanapojuchokonoa hatimaye wanaelewana na kunya wine pamoja.


...Sadly, unayosema ni Kweli. Mengi amesema kuna Waziri kijana anamfanyizia. Waziri amempa mengi siku saba amtaje huyo Waziri. Mengi amesema siku saba ni nyingi hata moja inatosha.

It is Checkmate.
Mengi atasema nangoja kupelekwa mahakamani nitoe ushahidi.
Masha atasema nasubiri ataje jina tumpeleke kwenye vyombo vya sheria.
Checkmate.
Mengi atasema nangoja kupelekwa mahakamani nitoe ushahidi.
Masha atasema nasubiri ataje jina tumepeleke kwenye vyombo vya sheria.
Checkmate.
Mengi atasema nangoja kupelekwa mahakamani ili nitoe ushahidi.
Masha atasema nasubiri ataje jina tumpeleke kwenye vyombo vya sheria.
checkmate.
December
Checkmate.
January 2009.
Chackmate.
April 2009.
Checkmate.
February 2010.....................'Kumbe mlikuwa mnataka viatu vya aina gani??'
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom