Mshiiri
JF-Expert Member
- Jun 16, 2008
- 2,012
- 516
Mhe. Masha kaongea kama Waziri mwenye dhamana na Jeshi la Polisi.Mengi awezi kutoa Tuhuma kama hizo na akaachwa hivi hivi
Ile haki ya kikatiba ya kuongea ii wapi?
Mhe. Masha kaongea kama Waziri mwenye dhamana na Jeshi la Polisi.Mengi awezi kutoa Tuhuma kama hizo na akaachwa hivi hivi
Ile haki ya kikatiba ya kuongea ii wapi?
Nyani
Ile post ya kwanza kabisa iliyofungua thread ilisema kuwa Masha alitoa ultimatum hiyo akiwa kama Waziri wa Mambo ya Ndani, siyo kama mzushiwa. Halafu niliposoma taarifa zote zilizotolewa huko nyuma, Mengi alisema waziri kijana msomi anayeongoza wizara nyeti; baraza la Kikwete lina vijana wengi wasomi, na wizara zote za serikali ni nyeti, kwa hiyo malalamiko hayo ya Mengi hayakuwa yameelekezwa directly kwa Masha unless kama kuna taarifa zaidi.
Kama kweli unamini principle, basi utakubaliana nami kuwa Masha kakurupuka, kwa vile yeye katika position yake hakutakiwa kutoa ultimatum ya kuletewa ushahidi; aufanyie nini, kwani yeye ndiye mpelelezi wa makosa ya jinai.
Masha kajihisi, no doubt. Mengi naye kachemka kwa kuwa vague. Huna jina kaa kimya. Unalo na unaogopa kulitaja, kaa kimya, hakuna haja ya press release zilizo vague. Unalo lakini huna uhakika kaa kimya. Unalo lakini ushahidi ni mdogo, kaa kimya, tafuta ushahidi zaidi, then nenda mahakamani au toa press release. That's the bottom line, period, end of it!
Hapa JF Mengi, CHADEMA, na kikundi kingine ni UNTOUCHABLES, ukiwasema tu POST YAKO HAIPITI.
INAKERA.
Kusema Mengi ni untouchable ni unfair, mbona katika thread hii hii tunamlima Mengi pamoja na Masha ?
Mbona tushaeleza maovu mengi ya Mengi, mpaka alivyoruka ukuta kutoka kwa bibi yake wa Kinyarwanda wakati mkewe alivyomfuata na bastola mkononi pale kwenye luxury apartments Upanga Mindu St next to Silver Oak?
Mbona, kwa mfano, GT anam-deconstruct Mbowe pamoja na CHADEMA yake kila kukicha?
Huyu anayesema Mengi ni untouchable ni mnazi tu. Another manifestation of looking at this issue with a one dimensional vison, kama Mengi ana beef na Masha lazima mmoja atakuwa na kosa na mwingine yuko right.
Wote wanacheza tu, that is the tragedy.
Nini kinaendelea hapa?
Kusema Mengi ni untouchable ni unfair, mbona katika thread hii hii tunamlima Mengi pamoja na Masha ?
Mbona tushaeleza maovu mengi ya Mengi, mpaka alivyoruka ukuta kutoka kwa bibi yake wa Kinyarwanda wakati mkewe alivyomfuata na bastola mkononi pale kwenye luxury apartments Upanga Mindu St next to Silver Oak?
Mbona, kwa mfano, GT anam-deconstruct Mbowe pamoja na CHADEMA yake kila kukicha?
Huyu anayesema Mengi ni untouchable ni mnazi tu. Another manifestation of looking at this issue with a one dimensional vison, kama Mengi ana beef na Masha lazima mmoja atakuwa na kosa na mwingine yuko right.
Wote wanacheza tu, that is the tragedy.
Those who know, DON'T SPEAK. Those who speak, DON'T KNOW.
Hivi nani mmliki wa CNN au Aljazeera?Sijawaona wala kuwasikia! Lakini mengi kila siku anajitangaza kwenye vyombo vyake vya habari na kisha anazua mambo ya kuwachafua wengine mbele ya jamii.Huyu Mengi ana agenda gani?
FMES,
Sio kazi ya waziri wa mambo ya ndani kuchunguza tuhuma, hiyo ni kazi ya polisi.
Masha kumpa Mengi siku saba ina maana mbili, moja, anampa siku saba kabla ya yeye kama Masha kumburuza mahakamani. Kama sio kwa nia hiyo basi maana ya pili ni kuingilia madaraka ya polisi, kitu ambacho naamini ni makosa. Awaachie polisi wafanye uchunguzi wao.
Kazi za waziri wa mambo ya ndani sio kuchunguza tuhuma.
Sasa na wewe ukiambiwa uthibitishe kwamba huyu mzee hana ushahidi itakuwaje? au ukiambiwa useme walevi gani ndio walimpelekea hiyo taarifa, si utapata hasira tu zaidi?
B]Ukiambiwa uthibitishe? Wanaoshutumiwa hawaongei, maana kama wangekuwa wanajua kwamba hakuna ushahidi wangeviwajibisha hivyo vyombo faster fatser yani.[/B]
]Ooho! Sasa mchezo ndio umeanza wewe ushakuwa jaji. Kama unataarifa za ziada, ungesaidia kutuelimisha. Lakini nadhani mchezo ndio umeanza, na kwa information zilizopo hatujui kwa hakika kama analinda taifa au anajilinda yeye mwenyewe.[/B
Kwani angekaa kimya tu, hiyo taarifa ya Mengi ingekuwa na hatari gani kwa taifa kiasi kwamba lihitaji kulindwa (namaanisha taifa sio serkali, tafadhali)? Maana tunavyojua ni kwamba anasema amemsamehe, na maana yake ni kwamba kwa upande wake yamekwisha.
Oohoo ... objectivity ni chachuu ya kutafuta ukweli ...
Lakini anahaki ya kuamua kama anaenda kwenye vyombo vya sheria ama la. Mbona wewe huwa unaleta malalamiko yako huku badala ya kupeleka kwenye vyombo vya sheria? Mbona husemi kwamba Masha angeenda mahakamni badala ya kutoa siku saba kwenye TV? Sina tatizo na opinion zako baba, bias yako inakuwa wazi mno.
Mzee nadhani wapo wanaowaita viongozi waliopo madarakani ni mafisadi, na data wanzo, na wameshare na sisi. Sasa ungesaidia katika harakati za kuwaprove wrong ungekuwa unafanya la maana zaidi. Ukiambiwa uthibitishe kwamba sababu inakuwa ni chuki binafsi tu, utaweza? au utapata hasira zaidi tu?
Hapo umenena vizuri, kwamba ni vizuri kuwa na ukweli. Sasa ingekuwa vizuri badala ya kulalama kwamba watu wanawasingizia wengine, ungejaribu kuonyesha kwamba either hawana uthibitisho au uthibitisho uliotoka haujitoshelezi. Kwa swala hili, Kama una information ambazo wengine hatuna, labda hutusaidie. Lakini nadhani wengi wetu tunachokijua ni kile tunachokisikia kutoka kwa hawa mabwana. Hatujui kama hilo tishio lilitokea kweli ama la. Na kama lilitokea, hatujua kama mzee ana uthibitisho ama la. Hatujui kama waziri anatumia njia zozote kulinda taifa, ama kujilinda mwenyewe. Sasa kutumia bias yako na kuwa hakimu na ku-draw conclusion nadhani ni missues ya bytes za site; only my opinion.Hii ni vita kati ya watu wawili, na ukweli ni kwamba kila mmoja atajaribu kutumia resourse zote zinazoweza kutmika kushinda vita. Huyu atatumia media zake, huyu atatumia wadhifa wake. Hapa labda tungejaribu kuwa objective kidogo na kutafakari yaliyo mbele yetu. Kutuonyesha side yako kwa hasira hivyo is ok, kwa sababu ya free speech and all. Lakini na wewe pengine kutumia right yako ya free speech hapa kufanya yale yale unayowashutumu wengine kufanya, nadhani ni aina flani ya unafiki. Jinsi ambavyo unasema mzee anatumia media zake kwenye hili, na jinsi ambavyo wengine wanasema waziri anatumia madaraka yake kwenye hili, ni aina ya kitu ulichokifanya kwenye sehemu kubwa ya post yako ...
Heshima mbele