Namna ya kuokoa nchi yetu hii inayozama.

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,867
Reaction score
13,092
Kila mtu anaona namna ambayo nchi yetu hii inavyozama. Wahuni wameshika nchi na wanafanya uchafu wanavyotaka na hakuna wa kuwafanya kitu.

Vyombo vya usalama vimekufa haviwezi tena kuzuia Maovu. Kama rushwa, ufisadi wa kutisha, mauaji ya raia Nk.waovu wanausalama kuliko wakemea uovu hakuna anayejali tena.

Vyombo vya habari vimekufa havitangazi matatizo ya wananchi.

Nchi imekuwa nchi ya ovyo. We are officially a failed state. 'Wakutuokoa ni Mungu tu'
 
Hata Mzee wa kwa maslahi ya taifa amenyamazishwa na bodi yaithibati,kwa mara nyingine baada ya walw maspika wa enzi ile kumweka kikaangoni wakati wa enzi zao za kujidai na kujimwambafa pale mjengonii.P nyoosha mkono popote ulipo kwani jahazi letu linazama kwa kasi kubwa!
 
Wakuwaokoa ni nyie nyie wananchi, mkiwa wamoja
 
Hata Mzee wa kwa maslahi ya taifa amenyamazishwa na bodi yaithibati,kwa mara nyingine baada ya walw maspika wa enzi ile kumweka kikaangoni wakati wa enzi zao za kujidai na kujimwambafa pale mjengonii.P nyoosha mkono popote ulipo kwani jahazi letu linazama kwa kasi kubwa!
MUngu atatuokoa.
 
Kila mtu anaona namna ambayo nchi yetu hii inavyozama. Wahuni wameshika nchi na wanafanya uchafu wanavyotaka na hakuna wa kuwafanya kitu.

Vyombo vya usalama vimekufa haviwezi tena kuzuia Maovu. Kama rushwa, ufisadi wa kutisha, mauaji ya raia Nk.waovu wanausalama kuliko wakemea uovu hakuna anayejali tena.

Vyombo vya habari vimekufa havitangazi matatizo ya wananchi.

Nchi imekuwa nchi ya ovyo. We are officially a failed state. 'Wakutuokoa ni Mungu tu'
Hapo cha kufanya ungetaja majina ya hao mafisadi wanaoiangamiza nchi yetu ili tuwajue tuwazomee tukiwa wananchi wote

Wataona aibu na kuacha wanayoyafanya
 
Back
Top Bottom