Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 254
Watanzania wanatakiwa waraka wa amani kama bahati bukuku alivyoimba katika nyimbo yake
Ohh,
Naona sasa unataka kuamuru nini kifanyike hapa kwenye hii forum. Get another job maana hiyo so far imekufa kwenye kufika (dead on arrival).
Education ya Masha na namna alivyoingia Mlimani ni issue kubwa sana kwa mtu ambaye amepewa nafasi ya uwaziri nyeti sana Tanzania. Ukipenda unaweza kuskip kila post itakayoongelea education ya Masha.
Kwangu mimi, I have just started kwenye hili.
MWK,
Just setting the record straight with some of these oxymoronic important trivialities
Sentensi yako inaweza kutafsirika kuwa Masha amesoma Ivy League, Georgetown, ingawa ni chuo kinachoheshimika sana, hakipo katika level ya Ivy league.
Ivy league, alphabetically, ni Brown University, Columbia University, Cornell University, Dartmouth College, Harvard University, Princeton University, University of Pennsylvania na Yale University.
Georgetown is in the league of University of Chicago, New York University, Stanford University, Massachussets Institute of Technology, Washington University and the likes. Certainly impressive, but if at all you care enough to rank colleges by using that old moneyed term "Ivy League", second tier anyway.
Tuendelee.
Hii mada karibia itakuwa hijacked na watu flani flani na kuanza kuhoji elimu ya Masha kama walivyohoji elimu ya Dokta Masau. Mwishowe utasikia Masha hajasomea sheria na mtu kapiga simu chuo flani.....
Mimi ni nani kuamuru kitu! Nilikuwa nashauri tu.Sasa hii ya mimi ku get another job inakuwaje?
Mwanamke muafrika anataka kuhijak thread aanze tena kuhesa bu madarasa ya Masha from preskul.. So wat kama ametumia some loophole kukwepa JKT. It was a smart move for him as a non-patriot.. We want patriots to be our leaders and not businessmen.. including huyo mungu wako.. u know who..
1.Mengi vs Masilingi 2. Mengi vs Malima 3. Mengi vs Manji 4. Mengi vs Masha who will be next?
Kabla hatujafika kwa Mkullo, tuanzie na yeye Kikwete: Is he the best we have katika Watanzania zaidi ya millioni 30 kuwa raisi? The answer is heck no and that partly explains why he chooses the people he chooses to run his government. Oh well, elections have consequences.....
I was just trying to bring some levity in here. I know they are not IVY League, but who cares....
Na cha ajabu 1 in 2 people here are either from NY or Boston...a whole bunch of transplants......hehehehehe
he he he....eeee,
Dont worry Ngabu..... I dont represent the east coast here..... kwi kwi kwi
-- whistling -- kitu cha kwanza Masha ajiuzulu Uwaziri kwanza just to make it a fair game.
In law, sorry for not being clear. By "here" I meant the big ATL......I think you missed the word "transplant"....you must be non compos mentis today (possibly due to thinking about mafisadis too much!!)...Lol
Please don't dock me any points...I know where you represent.....
1.Mengi vs Masilingi 2. Mengi vs Malima 3. Mengi vs Manji 4. Mengi vs Masha who will be next?
Dont worry about it.....
you gat me there .... I am absolutely non compos mentis today. I dont get enough of this adminstration.... most of guys there are either "db's or ....I dont know what..."
Hey... I am gonna cool down for a moment before I explode.
Lipi baya zaidi: kumzushia mtu mambo ambayo si ya kweli au mzushiwa ku-react kwa tuhuma alizotolewa na mtoa tuhuma? Swali hili halihusiani na swala la Mengi na Masha. Linahusiana na principle.
Nyani
Ile post ya kwanza kabisa iliyofungua thread ilisema kuwa Masha alitoa ultimatum hiyo akiwa kama Waziri wa Mambo ya Ndani, siyo kama mzushiwa. Halafu niliposoma taarifa zote zilizotolewa huko nyuma, Mengi alisema waziri kijana msomi anayeongoza wizara nyeti; baraza la Kikwete lina vijana wengi wasomi, na wizara zote za serikali ni nyeti, kwa hiyo malalamiko hayo ya Mengi hayakuwa yameelekezwa directly kwa Masha unless kama kuna taarifa zaidi.
Kama kweli unamini principle, basi utakubaliana nami kuwa Masha kakurupuka, kwa vile yeye katika position yake hakutakiwa kutoa ultimatum ya kuletewa ushahidi; aufanyie nini, kwani yeye ndiye mpelelezi wa makosa ya jinai.