JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,177
- 7,472
Amesema Watu hao walimchukua kwa nguvu huku wakimpiga, akapelekwa sehemu ambayo hakuifahamu na kuingizwa kwenye chumba kisha kuanza kumshambulia
Ameongeza “Naomba nisiongee mengi, sababu ya kutekwa ni ishu za Mtandao. Walichukua maelezo, wakanipeleka porini West Kilimanjaro, wakachukua simu yangu na kunitaka nifute video zangu zote, wakazungumza vitu ambavyo siwezi kuvisema kwa sasa kisha wakanitelekeza hapo.”
VIDEO: KUSAGA TV
Pia soma:
~ Mchungaji Mwl Steven Jacob atekwa na watu wasiojulikana
~ Mwl. Steven Jacob aliyedaiwa kutekwa na watu wasiyojulikana apatikana Kilimanjaro akiwa amepigwa