Polisi yaendelea na Uchunguzi Mchungaji aliyetekwa Arusha

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,217
Reaction score
3,796
Akizungumza na Mwananchi leo, Jumanne Juni 17, 2025, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, amesema uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea ili kubaini ukweli wake.

“Bado uchunguzi unaendelea kufanyika ili tujue uhalisia na ukweli wenyewe na tutaangalia kama alitekwa au kuna watu alikuwa na shida nao, tutatoa taarifa uchunguzi ukikamilika,” amesema Kamanda Masejo.

Awali, Mei 25, 2025, baba mzazi wa mchungaji huyo ambaye pia ni mchungaji na balozi wa nyumba 10 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jacob Gumbo, alisema kwa sasa wamemuachia Mungu suala hilo na wanaendelea kumuuguza ndugu yao.

“Polisi walishakuja tangu ile siku amepatikana hapo wakachukua maelezo lakini baada ya pale hatujapata mrejesho wowote. Hakuna hatua nyingine yoyote tuliyochukua sisi tumemuachia Mungu na tunaendelea kumuuguza hapa nyumbani,” amesema

Pia soma:
~
Mchungaji Mwl Steven Jacob atekwa na watu wasiojulikana
~ Mwl. Steven Jacob aliyedaiwa kutekwa na watu wasiyojulikana apatikana Kilimanjaro akiwa amepigwa

aru.png

​
Chanzo: mwananchi_official
 
Najiuliza swali kwamba kutekwa na kutekwa na watu ambao una shida nao kuna moja ni halali ama kuna moja haijakaa kutekwa? 🤔
 
Akizungumza na Mwananchi leo, Jumanne Juni 17, 2025, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, amesema uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea ili kubaini ukweli wake.

“Bado uchunguzi unaendelea kufanyika ili tujue uhalisia na ukweli wenyewe na tutaangalia kama alitekwa au kuna watu alikuwa na shida nao, tutatoa taarifa uchunguzi ukikamilika,” amesema Kamanda Masejo.

Awali, Mei 25, 2025, baba mzazi wa mchungaji huyo ambaye pia ni mchungaji na balozi wa nyumba 10 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jacob Gumbo, alisema kwa sasa wamemuachia Mungu suala hilo na wanaendelea kumuuguza ndugu yao.

“Polisi walishakuja tangu ile siku amepatikana hapo wakachukua maelezo lakini baada ya pale hatujapata mrejesho wowote. Hakuna hatua nyingine yoyote tuliyochukua sisi tumemuachia Mungu na tunaendelea kumuuguza hapa nyumbani,” amesema

Pia soma:
~
Mchungaji Mwl Steven Jacob atekwa na watu wasiojulikana
~ Mwl. Steven Jacob aliyedaiwa kutekwa na watu wasiyojulikana apatikana Kilimanjaro akiwa amepigwa

Chanzo: mwananchi_official
Masejo tena.

Another one
 
Bado uchunguzi unaendelea kufanyika ili tujue uhalisia na ukweli wenyewe na tutaangalia kama alitekwa au kuna watu alikuwa na shida nao, tutatoa taarifa uchunguzi ukikamilika,” amesema Kamanda Masejo.🥺🥺🥺
 
Back
Top Bottom