Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

acha shobo wewe


waliokuwa star tv si viongozi wenu
ni wa CCM au CUF

waliokuwa wanarushiana maneno si viongozi wenu

TUNAWATIZAMA TU

pita mbali nami wewe tomboy

hili jukwaa halikufai dada yangu bora urudi mmu au mambo ya kikubwa huku uta jiharibia siku yako.
 
Dada sikiliza usiwe kama kichaa, Mchange anasema wailomuwa mwangosi ni akina mbowe unawezaje kuamini upumbavuu na ujinga huo? umeshupalia ujinga wa mjinga. Hawa hapa chini nikina mbowe? nyinyi vijana jaribuni kufikiria kwaniaba ya wasio na uwakilishi na wanaozushiwa.

attachment.php

Mchange atuambie, kati ya hao waliosimama Mbowe ni yupi na slaa ni yupi???.
 
Kwa akili ya kawaida Mchange mara baada ya kipindi akahojiwe polisi maana ana ushahidi wa mauaji

Labda anadhani hizo tuhuma anazitolea ndani ya bunge, hivyo anadhani kuwa Ana full immunity.
 
Kama kweli munalitakia hili taifa mema tuonyesheni hiyo video, leo hii kuna vijana wenzetu wanateseka pale magereza kwa tuhuma za kuambiwa waondio wamefanya hicho kitendo.

Kama utakumbuka huyu kamanda wa polisi hapa Arusha baada ya kuwakamata hawa vijana alisema Chadema nao walete ushahidi wa hiyo video.

Polisi wao ndo watuhumiwa, sasa inakuwaje wao wapelekewe ushahidi au toka lini mtuhumiwa akapewa ushahid
 
Nimemsikiliza leo asubuhi ili kujiridhisha na usemi wako kuwa anauwezo wa hali ya juu lakini kwa mshangao ni kuwa huyu jamaa ni taahira anahitaji huduma za kutibiwa na wewe vile vile kama kweli ulimaanisha hivyo na wewe uungana nae kwenye matibabu kwani mna matatizo yanayofanana.

Tahila pia huwa anaongea ukweli,big up tahila mchange
 
Povu hiloooooo,walipoongea wale wadiwani ilikuwa sawa,jitazame vizuri na uelewa uliosema unao,


Ukijitazama kwa makini unashabikia kile anachokishabikia Evona kamuntu yaani Low level ya IQ. Lazima tujivunia utanzania

wetu siokujifedhehesha kitaifa na kimataifa.
 
Mchange , eti Mnyika alikuwa Igunga siku ya tindikali , na alikuwa haoni hata haya , mpaka alipoumbuliwa na Mnyika kuwa alikuwa SADC mission Zambia .........sasa mnataka hayo mengine aaminiwe?
 
Mchange , eti Mnyika alikuwa Igunga siku ya tindikali , na alikuwa haoni hata haya , mpaka alipoumbuliwa na Mnyika kuwa alikuwa SADC mission Zambia .........sasa mnataka hayo mengine aaminiwe?
Tutaamin vipi kuwa asemayo mnyika ni sahihi?
 
Back
Top Bottom