Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

kATIKA mada yenye kichwa kinachosomeka "MIVUTANO YA BAADHI YA WANASIASA HADHARANI NI KWA MASLAHI YA NANI" inayoendelea STAR TV, katika studio ya TV hiyo katika kituo cha DAR ES SALAAM wageni waalikwa walikuwa ni TUNDU LISSU, HABIB MCHANGE, JOHN MNYIKA NA JOHN HECHE. katika hali isiyo yab Kawaida LISSU, MNYIKA NA heche wote wamekacha na yupo HABIB MCHANGE peke yake na hata walipopigiwa simu hawakutaka kuongea na mwandishi wa habari, JOHN HECHE aliomba atumiwe ujumbe, na alipotumiwa hakujibu chochote.

Hii maana yake nini? wamemuogopa MCHANGE na kwa maana hiyo tuhuma dihidi ya Mchange ni za kughushi?

Nimemsikiliza huyu Mchange ila ni conclude kuwa huyu jamaa ni chizi.
 
nakumbuka siku hiyo aliyerusha breaking news alikua ni mungi na haikupita dakika tano akapost kuwa wanawajua waliripua na wana video inaonyesha kila kitu.

Ilikua ni kama walijua nini kitatokea.

Mungi Hutu john mrema aliyetafuna pesa za m4c
 
ilitakiwa wamuulize taratibu kwanini alisema mwangozi kauawa na mbowe wakati picha inaonyesha askari wamemzunguka na pengine ndo walimripua.
Akiwa kama mmoja wa vijana waliokua karibu sana na uongozi wa cdm pengine kuna anachokijua.maana polis tu kumlipua mtu hivihivi haiji.


Natumai CDM kupitia wakili wake wame- Note hiyo!
Ndiyo maana malalamiko tu haya toshi- hivyo ahadi za Uchaguzi 2015 -iwekupitia UKAWA/CDM lazima muweke wazi kuwa mtashulikia madudu kama haya!

Jamii inaoza kwa upuuzi kama huu-haiingii akilini mtu anatamka tu vitu kama hivi.Wanafanya hivyo kwasababu wametumwa na wahusika waliostahili kuchukua hatua.Na hiyo ni mikakati ya kuwapotezea malengo ,muda na pesa.

Hivyo CDM wala kwa sasa msihangaike na Vichaa waaina hii-Ila ilikuonyesha dhamira ya kusafisha madudu kama haya msisahau kuweka list ya Uhalifu utakaoshughulikiwa na Chama kama Umma utawapa ridhaa ya Kuongoza 2015-2020.

list ni ndefu;

i.Meremeta
2.Dowans
3.Mauaji Arusha
4.Escrow acc.
5.Mauaji ya mwangosi
5............
6...........



CC. Kurugenzi ya Habari.

 
Last edited by a moderator:
Hayo ni mawazo yako na umetumia haki yako ya kikatiba kila mtu anahaki ya kutoa mawazo yake kama ulivyofanya wewe.....



kwahiyo hawa hapa chini wauwaji wa mwangosi ni Dr Slaa na Mbowe?

MWANGOSI%2BANAMCHEKEA%2BRPC.jpg
 
Nani kasema haineshwi?

Muulize kikwete kwanini hataki ioneshwe?

Mshitakiwa akisema sina imani na jaji huyu, hupewa haki ya kubadilishiwa jaji au hakimu.

Chadema imesema haina imani na akina

-Kamuhanda-muuwaji wa mwangosi

-Andengenye muuwaji wa wanaArusha

-Ramadhani Ighondu mtesaji wa Dr Ulimboka

-Akina msangi nk

Chadema imesema haina imani na hao polisi kimemtaka kikwete Aunde tumehuru ya kijaji iliikabidhi....Kikwete ameuchuna

kwanini? mnahitaji kumtupia lawama kikwete.

Tume ni kuchezea pesa za walipa Kod huku mchange anaoushajidi
 
Kweli Mchange arudi UDOM kumalizia shule maana anaongea pumba tupu. Anaulizwa kwanini anaitwa msaliti anakwepa swali na kuruka huko na huko na bado anadai Mwangosi hakuuliwa na Michael Kamuhanda na vijana wake bali CDM.

.! Mkuu Ndo Tatizo La Kusomea Chuo Cha Kata
 
Mwenzio najuta kuamshwa kutazama wewe unatafuta uone ....ni udhalilishaji sana kutuoa wajinga namana hii ........Eti mwangosi aliuawa na CHADEMA ....jamani hebu jiweke nafasi ya mama yake Mwangosi ,mke wake au watoto wake !Hivi ile picha ya askari inamwonesha wazi askari ameenyoosha kifaa cha kurushia bomu ! HAKI MUNGU DHAMBI HII WALIOSHIRIKISHI KWA KUANDAA MKAKATI HUU AU HATA KUPOLTISIZE AJALI ILE MUNGU HATAWAACHA ...TENE NI HAPA HAPA DUNIANI!

Hiyo ni kwamujibu wa gaziti la mbowe
 
kwahiyo hawa hapa chini wauwaji wa mwangosi ni Dr Slaa na Mbowe?

MWANGOSI%2BANAMCHEKEA%2BRPC.jpg



Ebu imagine ,mtu andiriki kutamka upuuzi -Mungu tu ndiye atakaye toa haki na kuisaidia kuipa nguvu familia ya Mwangosi


R.I.P Mwangosi.
 
Hoja yako ya watu wengine wangeamini siyo hoja-Wajinga wa aina hiyo hata uvue nguo bado wataamini tu na humu JF wako wengi ,naamini wewe si mgeni.

Hivyo kuna namna ya kujibu upuzi kama huo wa Mchange na wenziwe wa Lumumba lakini siyo kwa staili kama hiyo,huko ni kujidhalilisha/sawa na kujibishana live na Kichaa toka Milembe.
Upuzi wa Vichaa wa aina hiyo nikutenegeneza taarifa na kuiwazilisha kwa Umma baada ya wao kumaliza kupiga makelele /kuokota takataka Barabarani /TV



Mchange siyo saizi ya Mnyika hata kidogo-Tafuta ndani ya CCM wa kulinganisha naye!Maana hata Katibu wao Mkuu anapwaya kwa Mnyika.


CC. Kurugenzi ya Habari

Mchange ni shujaa asiye ogopa yeyote mtaumbuka sana
 
Last edited by a moderator:
utalazimisha mtu aamini unachoamini wewe?,maana naona kama unamkalia sana huyo dada masai.

umetumwa uje umsemee??
Nimkalie ye kawa kigoda?
Hapa ni kueleza ukweli,na si kuacha uongo ndio iwe kweli
sasa km jitu linatapika uongo asiambiwe???
Fikria na nje ya boks,jaribu kusoma coment zake,utaona kuwa ni mwanamke anaedandia na kushadadia vitu hata km hakifahamu au kujitoa ufahamu
hakuna kukalia mtu hapa ni kuwekana sawa tu
 
Mngese wewe damu ya watu itawaunguza ...kuna polisi alishakana picha ile ! Hivi mnashabikia hata upumbavu,hivi ni jeshi gani linaweza kubaki kimya kama picha kama ile!jamani mnashabikia hebu angalieni na mnachoshangilia ....shoga mkubwa wewe!
hiyo ni kwamujibu wa gaziti la mbowe
 
Kaka nashukuru sote tunaliona.... huyu mchange nilikuwa naye pwani jimboni na nimeshiriki kumpigia kampeni..

Kwa upuuz huuMnyika yuko sawa.

seme tu.. naombeni mnisamehe kwa kuwa sikumjua vema.

Wakati uchaguz ukiendelea kuna vipind fulan alikuwa anaitwa na usalama wa ccm alaf anakuja kutuambia tofaut na alichoambiwa.
Nikiri pia amekula fedha za rushwa kupitia ccm ili kuharibu upinzani imara..

Bahati nzuri ccm wamewekeza kwa watu ambao si right! Tanzania ina watu sasa ambao mfumo wa vyama vingi wanauelewa vema tofauti na miaka ile hivyo mageuz ni lazima na hayazuiliki.

Niseme tu pia kuna watu humu jukwaani wamesema Mnyika asingejitokeza leo huku ni kujizalilisha..
Io
Hapana nasema hivi.. ni vema amejitokeza na kuweka sawa kuliko angepuuzia na kumuacha aendelee na upuuz wake...binafs naona mny
 
Ebu imagine ,mtu andiriki kutamka upuuzi -Mungu tu ndiye atakaye toa haki na kuisaidia kuipa nguvu familia ya Mwangosi


R.I.P Mwangosi.
Kwahiyo unataka kubisha kuwa chacha wangwe hamjamuuwa na chadema yako kama alivyosema mchange.
 
Siku zote dhulma haidum milele, bali haki huchelewa nasiku moja haki itatendeka.

Naamini pia Star Tv na akina Evona kamuntu kwa uchochezi na kukosa weledi wa maadili ya habari watatendewa haki yao siku

moja
. Mungu atafanikisha adhabu hapahapa duniani.
 
Natumai CDM kupitia wakili wake wame- Note hiyo!
Ndiyo maana malalamiko tu haya toshi- hivyo ahadi za Uchaguzi 2015 -iwekupitia UKAWA/CDM lazima muweke wazi kuwa mtashulikia madudu kama haya!

Jamii inaoza kwa upuuzi kama huu-haiingii akilini mtu anatamka tu vitu kama hivi.Wanafanya hivyo kwasababu wametumwa na wahusika waliostahili kuchukua hatua.Na hiyo ni mikakati ya kuwapotezea malengo ,muda na pesa.

Hivyo CDM wala kwa sasa msihangaike na Vichaa waaina hii-Ila ilikuonyesha dhamira ya kusafisha madudu kama haya msisahau kuweka list ya Uhalifu utakaoshughulikiwa na Chama kama Umma utawapa ridhaa ya Kuongoza 2015-2020.

list ni ndefu;

i.Meremeta
2.Dowans
3.Mauaji Arusha
4.Escrow acc.
5.Mauaji ya mwangosi
5............
6...........



CC. Kurugenzi ya Habari.


Hiyo CD imechokwa mtaani CD inayo uza ni hii ya mbowe.tundu.slaa na mnyika kumuua chacha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom