Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,417
Hahahahahaaaaa! Leo Mmasai kawageuka?ha ha ha wala mi sijasema hivyo,ila sema dada wa watu kavurugwa ana rusha matusi hovyo.
Hahahahahaaaaa! Leo Mmasai kawageuka?ha ha ha wala mi sijasema hivyo,ila sema dada wa watu kavurugwa ana rusha matusi hovyo.
faizafox kakufanya nini?Tatizo ni yule demu aliopo studio za Mwanza, yani akili zake ni kama za ajuza Faizafox
na ujangili kama wa MBOWE
Ukijitazama kwa makini unashabikia kile anachokishabikia Evona kamuntu yaani Low level ya IQ. Lazima tujivunia utanzania
wetu siokujifedhehesha kitaifa na kimataifa.
hawezi kujibu hili swali.Zangu, ndiyo nitakuuliza swali moja
Nani aliyesababisha kifo cha Daudi Mwangosi?
Chombo makini cha habari hakiwezi palilia ushenzi wa aina hiyo. naomba jibu ili nielewe Ritz na Mchange mnalevel sawa za uelewa.
Labda kwa vile ITV inamilikiwa na mchaga ndo maana CDM wanaitumia sanatbccm, starccm, uharo, jamba leo...ccm hao
Mwanasiasa kijana Mchange Habib ni kijana mwenye uwezo wa hali ya juu
Swali hilo lilishajibiwa na mchange. Labda uulize swali jinginehawezi kujibu hili swali.
Ana uwezo katika nini? Nimeskiliza shutma zake kwa viongozi wa chadema - anadai mwibi hutokea ulipoingilia - hii kwanza ndiyo reasoning yake. Yaani, kwa vile ameshtumiwa na yeye ameona ashtumu. Maswali ya kujiuliza:
1. Madai kwamba viongozi wa Chadema ndiyo waliomwua Wangwe, Mangosi nk je na yeye alishiriki katika zoezi hilo na sasa anasema walichokua wamepaga?
2. Alishuhudia (eye witness) kwa maana kwamba alisikia au kuona?
3. Aliambiwa na watu wengine?
4. Kwa nini muda huo wote alikuwa kimya?
5. Je, anapodai anasema ukweli: huu ukweli ameanza kuusema lini - wakati matukio hayo yanatokea na akaa kimya au baada ya yeye kutuhumiwa na wale madiwani waliorudi Chadema na ndipo na yeye akaanza kusema?
6. Akisha jibu haya maswali ndipo tunaweza kuona kama "ana uwezo wa hali ya juu".
CCM waone AIBU KWA KUTUMIA MTU KAMA MCHANGE.KWA KWELI NI UCHAFU.SASA NDIYO NAONA ZITO HANA AKILI.
NA SIJUI KWA NINI DK.KITILA KAJIUNGA NA WATU WA AINA HII
Maswali yako hayawezi kuiokoa CHADEMA na kashfa ya mauajiAna uwezo katika nini? Nimeskiliza shutma zake kwa viongozi wa chadema - anadai mwibi hutokea ulipoingilia - hii kwanza ndiyo reasoning yake. Yaani, kwa vile ameshtumiwa na yeye ameona ashtumu. Maswali ya kujiuliza:
1. Madai kwamba viongozi wa Chadema ndiyo waliomwua Wangwe, Mangosi nk je na yeye alishiriki katika zoezi hilo na sasa anasema walichokua wamepaga?
2. Alishuhudia (eye witness) kwa maana kwamba alisikia au kuona?
3. Aliambiwa na watu wengine?
4. Kwa nini muda huo wote alikuwa kimya?
5. Je, anapodai anasema ukweli: huu ukweli ameanza kuusema lini - wakati matukio hayo yanatokea na akaa kimya au baada ya yeye kutuhumiwa na wale madiwani waliorudi Chadema na ndipo na yeye akaanza kusema?
6. Akisha jibu haya maswali ndipo tunaweza kuona kama "ana uwezo wa hali ya juu".
Hahahahahahahaaaaa! Hakuna mtu anayeogopa kusimama kizimbani kama DJ Mbowesubiri DJ akiwekwa mahakamani ajibu haya
ITV kila taarifa ya habari kipindi hiki wanasisitiza serikali kuweka mipango ya kuwakagua waathirika wa ebola mipaka ya ngara, msumbiji,Namanga ka nk, STAR TV, TBC wanaifanyia kampeni CCM !!! mambo ya ajabu kweli haya yaani ITV inafanya kaz kitaifa tofauti ma hawa magamba ambao cjui kama wanaweza kumuita jaji warioba au polepole kuja kuelimisha wananchi juu ya katiba inayopendekezwa na wananchi !!!
Swali hilo lilishajibiwa na mchange. Labda uulize swali jingine
Laiti kama mngekuwa na uwezo mngemwagia Tindikali au kumuua kabisa kama mlivyofanya kwa Chacha Wangwe, Regia Mtema, Mwangosi nkHivi mjinga na mshenzi kama Mchange mnamsikiliza? Huyu yupo tayari hata kupumuliwa kisogoni ili mkono uende kinywani!!!