Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mbowe,lissu,msigwa na mnyika wote n failures,hahahahahahaa mchange bhana hapepesi macho


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Ha ha ha ha ha. Sasa huyu bwana anatetea nini huyu. Mara mm ni chadema mara chadema inakufa kwa kasi. Ha ha ha ha
 
machange kapwaya sana.anaongea hiki na kile bila mpangilio.hana sera.kaulizwa kwa nini tumwamini lakini hajaweza kujibu zaidi ya kutoa tuhuma dhidi ya viongozi wa chadema.kaenda mbali zaidi kwa kusema wanamageuzi ni wauaji.na yeye ni mpinzani tumwite muuaji pia.
 
Evona kamuntu kaamua kuingia kati nakufanya kazi vema ya mwenyekiti wa ccm Anthony Diallo kwa

Kumpatia muda mchange na kumminya kabisa mnyika

Siku zote huyu dada kamuntu nimshenzi hujipendekeza ccm kupita kiasi.
 
Huyu mchange anapuyanga puyanga tu hoja zake anatokwa povu balaaa
 
Nimefuatilia kipindi cha star tv sasa hivi mchange anatoa maelezo yake,kwakweli huyu jamaa hafai hata kuongoza ujumbe wa nyumba kumi kabisa.
 
Inakera na inaudhi zaidi ya kuwa na maneno ya kuelezea

Ni dhahiri sasa chama tawala CCM inatapatapa na kujaribu kushika kila jani kujinasua, bahati mbaya wanashika majani mabovu ajabu na hakika watazama nayo.

leo hii mtetezi wao ni akina mchange mhhhh kazi wanayo

Tulia sindano ikuingie
 
Jamaa anaongea kama amekalia kitu cha moto. Aongezewe AC anachafua hali ya hewa hapo ndani.
 
Mbowe, lissu, msigwa na mnyika wote wamefeli, hahaahaaaha


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Back
Top Bottom