Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Ukiona mtu anajifanya kuwajua sana wachawi wakati wa mchana, mtilie shaka, kuna uwezekano mkubwa wa yeye kuwa ndiye.
Screenshot_2017-04-14-09-08-26.png

2017-04-15 16.37.28.png
 

Attachments

  • Screenshot_2017-04-14-09-09-09.png
    Screenshot_2017-04-14-09-09-09.png
    119.3 KB · Views: 46
MiCHADEMA ni ya hovyo sana, Historia inawahukumu na mwalimu akishasema, dhambi ya kuteka watu itawatafuna wanavyotekenywa hivi sasa iko siku watajitangaza wenyewe kuwa ndo walikuwa wanatekeleza utekaji ili kuichongasha serikali na wananchi.
 
Ili uone wanaopiga kelele kule Bungeni kuhsu matukio ya utekaji ndiyo watekaji wakubwa

Mkidhani Watanzania ni maboya.Wauaji ni UVCCM kajipangeni tena.

Serikali ya CCM kupitia Bashite ndiyo wahanga Mauaji. Chama Cha Mauaji.
 
Mkuu wakati huo Habib Mchange alikuwa ndani ya CHADEMA alikuwa anajua kinachoendelea

Huyo aliyekuwa UVCCM nani hajui. Huo uongo upelekeni Lumumba.

Halafu msiwe mnapenda kuzungumzia issue za Taifa kwa kejeli m sidhani hao wanaouawa na UVCCM halafu hawapelekwi Mahakamani Watanzania hawaoni au hawasikii.

Mmeambiwa na Bashe wanaccm acheni unafiki.Wanafiki wakubwa.
 
Yeyote anayeshabikia thread ilioanzishwa na chi.zi lazima atakuwa chi.zi

machiz..i wenzake watashangilia wehu wa mleta uchiz na upumbavu.

Endeleeni.......wajinga ndio wanaoliwa.
 
MiCHADEMA ni ya hovyo sana, Historia inawahukumu na mwalimu akishasema, dhambi ya kuteka watu itawatafuna wanavyotekenywa hivi sasa iko siku watajitangaza wenyewe kuwa ndo walikuwa wanatekeleza utekaji ili kuichongasha serikali na wananchi.

Mnamkumbuka Mwalimu ya kuona wameanza kuanikwa juani.Alphonce MawaO aliuawa mchana kweupe karibu na kituo cha polisi na wahusika w anajulikana hakuna hadi leo aliyekamatwa ati kesi bado inafanyiwa uchunguzi askari leo tunaambiwa hakuna kulala mpaka wauaji wapatikane.

Ameuawa Diwani wa CUF Kagera wahusika UVCCM waliolipwa na aliyekuwa mgombea wa CCM hadi leo hakuna aliyeguswa.

Leo yamewashuka shu,mmebaki kujivua nguo tu mitandaoni, hata mtoto mdogo anajua wauaji,watekaji na watekaji ni UVCCM.Vijana wa Chama Cha Mauaji.
 
Wafungeni sasa,serikali ya kwenu,jeshi lenu,mahakama yenu.

Wawafunge wapi wakati wanaqajua walioua??Wanawajua watekaji,watekaji na wauaji ni UVCCM waliowekwa kwenye idara nyeti wanaolipwa kinyemela kwa kodi zetu.

Ndiyo hao wakipita barabarani kupora kwa kutumia ID za Idara nyeti. Yupo mmoja Arusha ambaye mpaka Leo kesi IPO IPO tu maana Serikali inaujua ukweli.

Humu wamoja kibao kazi yao kubwa ni kutishia wakosoaji wa Serikali.

Kikosi kazi hiki kiko chini ya mratibu wa utekaji Bashite.
 
Mleta mada hulitendei haki kina kubwa la Tata MADIBA. Yaani ni kama kimtu cha ovyo ovyo tu asiye na kazi maalum pale Manzese sokoni. Maneno na matendo yako yapaswa kuakisi hata kidogo jina la MTU huyu mwenye haiba ya aina yake Africa na dunia nzima. Kukusanya viahabari vinavyotokana na watu waliokosa mwelekeo kimaisha kama Mchange ambaye siku chache zilizopita amejitoa mwenyewe kwenye siasa baada ya kuona haimpi lolote la maana zaidi ya dhambi kwa Muumba wake, ni kumdhalilisha Mzee Madiba.
 
Back
Top Bottom