Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Hansen Nasli

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2012
Posts
883
Reaction score
340
Mchange Na Mnyika wanaunguruma Leo hii kuanzia saa 1.30 asubuhi ndani ya kituo cha luninga cha Startv tusikose kumsikiliza. Wanaongelea kuhusu Shutuma za mauaji walizoshutumiana kwenye vyombo vya habari.
 
Kaona hiyo ndiyo TV ya udaku. Kama anamaanisha, aende mahakamani, akaseme CDM ilimua Mwangosi kwa kuvalisha watu magwanda ya polisi.. Mwehu, ndiyo maana anafanya kazi za ugaidi.

Mchange kuunguruma kesho saa 1.30 asubuhi ndani ya kituo cha luninga cha Startv tusikose kumsikiliza anaongelea kitu gani,
 
Huyo mpumbavu mbona mnampa airtime hiv, arudi kwanza UDOM akamalizie degree yake kwanza na sio kuzunguka kama mbwa mwizi.
 
Kichaa huyo anatafutwa ja polis kutoa ushaidi
 
Kichaa sababu ya ukweli wake?tumsikie nawe mtangazie mwenzako ili apate kujua Mchange anazungumzia nn
 
Mwanasiasa kijana Mchange Habib ni kijana mwenye uwezo wa hali ya juu
 
Kichaa huyo anatafutwa ja polis kutoa ushaidi

Wakimhitaji nadhani ataitikia, ni lazima atakuwa ana uhakika na alichokisema, alikuwa karibu sana viongozi wa CDM enzi hizo, he must know alot from the party.
 
Kaona hiyo ndiyo TV ya udaku. Kama anamaanisha, aende mahakamani, akaseme CDM ilimua Mwangosi kwa kuvalisha watu magwanda ya polisi.. Mwehu, ndiyo maana anafanya kazi za ugaidi.

ITV hawaruhusu mpinzani yeyote wa CHADEMA, STAR TV binafsi nawakubali sana hawabagui.
 
Back
Top Bottom