Van gaal:i need more players.
Duh huyu Habibu ndo nimemuona ni Msukure kweli aisee
CHADEMA hawana ilani ya chama-MCHANGE.
Unataka kutuambia John Mnyika kashindwa kapambana na Mchange.Mchange akimchachafya Mnyika hadi anakosa uvumilivu wa kumsikia Mchange na kumuingilia maongezi Mchange,kiukweli Mchange ni kitu kingine kabisa,Mnyika sio level ya Mchange kabisa,nilikuwa sijui kama Mchange anaingia cdm kila mwezi milioni 3 na pointi kadhaa
Mbona Watanzania wengi wanamuelewa labda wewe tu.Jamaa yangu Mchange aliwezaje kuwa kiongozi wa kiasa? Mbona
-Anajaziba,
-Hana uvumilivu
-Hana staha
-Mkurupukaji
hata simuelewi kabisa