babacareeni
Member
- Jan 2, 2013
- 48
- 6
Huo mdahalo nimeukosa kuutazama,hivi kuna link yeyte naweza ona tena
CHADEMA watakuwa wanatetemeka , wakihofu nani tena atavuliwa nguo
utalazimisha mtu aamini unachoamini wewe?,maana naona kama unamkalia sana huyo dada masai.
Tanzania tunahitaji vyombo vya habari makini, sio vibaya nasio makosa chombo cha habari kuwa na upande.
Tatizo nipale tunapokuwa na vyombo vya habari na wanahabari wanaopalilia maovu, chuki na hasira miongoni mwetu.
Kuruhusu mwehu kusambaza maelezo ya uongo hata ule ambao kila mmoja wetu anafahamu polisi waliuwa Mwangosi ni
kushusha hadhi, heshima na weledi wa IQ ya watanzania-Star TV kupitia Evona Kamuntu inaudhihilishia ulimwengu
kwamba IQ zetu watanzania ni duni kabisa na weledi na umakini wa vyombo vyetu vya habari ndani na nje ya nchi ni wa hovyo
kabisa. Kwanini watanzania wenzetu watuaibishe nakushushia heshima kiasi hiki????? Tunadhalaulika kwa
upumbav.u wa wajinga wachache
Na ile video ya bomu la Soweto vipi mbona hatuonyeshwi?
watu wenye busara hatuwezi kumzarau mchange tumsikilize na tutafakari
Mkuu kuna watanzania lukuki hawana uwezo wa kutambua ukweli na uongo,werevu kama wewe ndo wanajua Mchange Kilaza,Mnyika asingeenda yule jamaa angepotosha sana na watu wangeamini.Ila huwa inaudhi sana jitu linaropoka tu uongo halafu jitu zima dah inaudhi sana
Mwanasiasa kijana Mchange Habib ni kijana mwenye uwezo wa hali ya juu
ilitakiwa wamuulize taratibu kwanini alisema mwangozi kauawa na mbowe wakati picha inaonyesha askari wamemzunguka na pengine ndo walimripua.
Akiwa kama mmoja wa vijana waliokua karibu sana na uongozi wa cdm pengine kuna anachokijua.maana polis tu kumlipua mtu hivihivi haiji.
Huo mdahalo nimeukosa kuutazama,hivi kuna link yeyte naweza ona tena
nakumbuka siku hiyo aliyerusha breaking news alikua ni mungi na haikupita dakika tano akapost kuwa wanawajua waliripua na wana video inaonyesha kila kitu.Na ile video ya bomu la Soweto vipi mbona hatuonyeshwi?
Kweli hizi njaaa ni hatari. Njaa afu tamaa na uchu wa madaraka ndiyo hatari sana.Tumbo lenye njaa si mshauri mzuri hasa kwa mwenye njaa!
Na ile video ya bomu la Soweto vipi mbona hatuonyeshwi?