Kama waliweza kumuua Wangwe na Regia Mtema, watashindww vipi kwa Mwangosi?
Mchange bwana mwambie mwenyekiti wa CCM awapeleke kozi nzuri za propaganda hizi hazitoshi kuondoa ukweli kwamba kikundi cha mafia cha Masele, Kinana, Nape,Mwigulu,Lukuvi,Nchimbi,Ramadhani Ighondu,Ahmed Msangi,Ridhiwani KIkwete,KInana, na wengine mtandao wao wa mauaji umekomaa,leo mchange umeonyesha ukweli kabisa kwamba umepika story ili kuficha stori ya wewe kutumiwa kugawa pesa za mauaji, katika kipindi cha Star V kilichokubeba mwanzo mwisho umeshindwa kueleza namna gani wewe na hao wapambe wako watajwa hapo juu kwa Baraka za Kikwete hamkuhusika kwenye njama za kumuua Dr Slaa na Mnyika
umeshindwa kueleza wala kukakana kuwafahamu au kushiriki kufanya mikutano na madiwani wachadema kupanga mipango ya kuwakutanisha na masele,Kinana,Nape,Ridhiwani na Mwigulu
Umeshindwa kukana mbele ya wananchi kama hukutoa fedha feki, fedha za bandia
Umeshindwa kutumia fursa adhimu uliyopewa na Star TV kuuelezea umma ushiriki wako wa ACT na CCM kwa pamoja zaidi ukajikita kujifanya wewe ni chadema wakati watanzania wote wanajua wewe ni msaliti na si mwana chadema
Mchange ulivyo na kichwa cha samaki umeshindwa kuuthibbitishia umma kwamba ACT sio chama kilichotumiwa na CCM kautaka kuua viongozi wake na chama chenyewe
Mchange ulivyokuwa na maono mafupi umeshindwa kujitoa kwenye kuongea uongo na kuwweka ukweli kuhusu mauaji yanatokea kwenye shughuli za mikutano ya chadema na pamoja na kifo cha chacha wangwe ambacho sasa wananchi wanakili kabisa kwamba munakitumia kifo hicho kwa manufaa ya CCM
kwa kiwango kikubwa sana leo ulionekana ni muhuni kwenye kipindi hukumheshimu moderator hata kidogo na hukuwa na mtiririko wa uliyoyaongea hukuwa unajibu swali hata moja kiasi cha kuwaponza moderators kwamba wanakubeba
Star TV bakisheni kidogo heshima ndogo muliyobaki nayo, musije mukapuuzwa kama TBC imefikia kiwango wananchi hawaamini hata taarifa za habari zake kama munaelekea huko sawa