Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

mmh, Mnyika kufukia mabaki ya Tindikali Igunga!!
Maneno mazito ambayo hayana ushahidi!
 
Kaondoka zitto
Hivi zito ameondoka mbona anamsemea mtu aliosema atakua wa mwisho kuondoka chadema au zitto kainua mikono
 
Evona anafanya kazi ya ccm

anayeropoka ni Mchange, anafanya uropokaji uwe wa wote pumbavuuu huyu dada
 
Naona mchange kapelekewa moto hadi anaomba AC iongezwe. Yeye badala ya kutoa hoja anatoa povu.
 
Inakera na inaudhi zaidi ya kuwa na maneno ya kuelezea

Ni dhahiri sasa chama tawala CCM inatapatapa na kujaribu kushika kila jani kujinasua, bahati mbaya wanashika majani mabovu ajabu na hakika watazama nayo.

leo hii mtetezi wao ni akina mchange mhhhh kazi wanayo
 
Ameshindwa kujibu swali la Muongoza kipindi lVONA GAMUNTU...'Kwanini wa-tz wamuamini?'
Shame!
 
huyo mchange hata akae miaka 100,hawez kuudanganya umma kuamini huo ujinga wake nimemsikiliza muda mrefu hata adabu hana ya kueshim mjadala,nandio mana kaz zake za hovyo ovyo kama alivo yy,idiot
 
kipindi hiki wakiongeze mda mpaka saa tano ili watu wawe wanafunguka vizuri.
 
Back
Top Bottom