Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Kwahiyo unataka kubisha kuwa chacha wangwe hamjamuuwa na chadema yako kama alivyosema mchange.


Nenda mahakani kama unaushahidi, usilete mambo ya kichaa Mchange hapa.

Kelele kana kwamba hamfahamu polisi wapo kwa kazi hiyo, mahakama ipo nk nenda karipoti ili marehem atendewe haki.
 
Hata yeye nadhani hajielewi. Ameamua kufuata njia mbaya sana ambayo si nzuri kama kijana, hakika kama ana akili ana nafasi ya kubadika haraka sana iwezekanavyo.
Si kwamba hajielewi! La hasha anatumika na watu wa ccm kama zitto
 
Habib Mchange ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT yeye anasema bado ni mwanachama wa Chadema , kweli ukiwa Mnafiki huwezi kujizuia kuendeleza unafiki hata siku moja .......

He! Yaani huyu punguani ni mjumbe wa KAMATI KUU YA ACT? Kwa kawaida chombo kama KK ni mkusanyiko fulani hivi wa ma think tank wa chama. Sasa kama hiyo ACT tunayosifiwa hapa JF kama chama makini kweli kinaweza kuwa na mjumbe kama huyu kwenye Kamati kuu yake? Kitila Mkumbo uko wapi utudhibitishie kuwa huyu ni mjumbe mwenzako katika kamati kuu?
Kazi kweli kweli!


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Habib Mchange ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT yeye anasema bado ni mwanachama wa Chadema , kweli ukiwa Mnafiki huwezi kujizuia kuendeleza unafiki hata siku moja .......

He! Yaani huyu punguani ni mjumbe wa KAMATI KUU YA ACT? Kwa kawaida chombo kama KK ni mkusanyiko fulani hivi wa ma think tank wa chama. Sasa kama hiyo ACT tunayosifiwa hapa JF kama chama makini kweli kinaweza kuwa na mjumbe kama huyu kwenye Kamati kuu yake? Kitila Mkumbo uko wapi utudhibitishie kuwa huyu ni mjumbe mwenzako katika kamati kuu?
Kazi kweli kweli!


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mchange Na Mnyika wanaunguruma Leo hii kuanzia saa 1.30 asubuhi ndani ya kituo cha luninga cha Startv tusikose kumsikiliza. Wanaongelea kuhusu Shutuma za mauaji walizoshutumiana kwenye vyombo vya habari.

Hivi Mchange anafanya shughuli gani zinazomuweka mjini,maana kwenye Siasa hayupo rasmi,afadhali wenzake akina Juliana Shonza na Mtela Mwampamba baada ya kuchinjiwa baharin U kamandani,wakaamua kujisalimisha ku Magamba.
Sasa huyu Mchange tukisema anaishi kwa fadhila za wanaume mtasema tunamtusi ?
Na kama ni kweli hao wanaume wataendelea kumuweka mjin mpaka lini na kwa malipo yepi maana jamaa ni hohe hahe.
 
Last edited by a moderator:
Mchange ni mvuta bangi nikiri hili wazi ndugu zangu binafs namjua vema...
Mtu mwenye akili timamu hafanyi upuuz huu
 
Mngese wewe damu ya watu itawaunguza ...kuna polisi alishakana picha ile ! Hivi mnashabikia hata upumbavu,hivi ni jeshi gani linaweza kubaki kimya kama picha kama ile!jamani mnashabikia hebu angalieni na mnachoshangilia ....shoga mkubwa wewe!

Hii picha ya mwanakijiji ndio aliipost cnn
 
Siku zote dhulma haidum milele, bali haki huchelewa nasiku moja haki itatendeka.

Naamini pia Star Tv na akina Evona kamuntu kwa uchochezi na kukosa weledi wa maadili ya habari watatendewa haki yao siku

moja
. Mungu atafanikisha adhabu hapahapa duniani.

Uchochezi gani ule wa ITV na mijadala ulisifia tu .nyambafu
 
mchange stor zote za vijuwe kapeka kwenye vyombo ya abari.
 
He! Yaani huyu punguani ni mjumbe wa KAMATI KUU YA ACT? Kwa kawaida chombo kama KK ni mkusanyiko fulani hivi wa ma think tank wa chama. Sasa kama hiyo ACT tunayosifiwa hapa JF kama chama makini kweli kinaweza kuwa na mjumbe kama huyu kwenye Kamati kuu yake? Kitila Mkumbo uko wapi utudhibitishie kuwa huyu ni mjumbe mwenzako katika kamati kuu?
Kazi kweli kweli!


Sent from my iPad using JamiiForums

Achana na prof mkumbo we zwazwa
 
Last edited by a moderator:
Ni aibu kwa kijana kuongea uongo usiopimika,yena kwrnye chombo cha nabari.
Ili tuu awafurahishe wafadhili wake/ccm bila kujua madhara yanayoweza tokea baadae.
Mfn. Kasema mnyika alifukia tindikali kule igunga
mnyika.akamjibu wakati wa uchaguzi mdogo ugunga yy alikuwa zambia km mwangalizi wa uchaguzi.
Sasa najiuliza km mtu unaweza kudanganya kwa kias hiki,utashindwaje kutoa uhai wa mtu?
Ccm wajiangalie vibaraka wanaowatumia kufifisha upinzani utalipelekea taifa kumwaga damu.
Km mchanga na wasaliti wengine walikula hela yenu ccm,ili kuumaliza upinzan na mchezo ukafeli,tafuteni njia nyingine ya kumwadhibu,na siyo kumtuma aseme uongo ni dhambi kubwa
 
Nani kasema haineshwi?

Muulize kikwete kwanini hataki ioneshwe?

Mshitakiwa akisema sina imani na jaji huyu, hupewa haki ya kubadilishiwa jaji au hakimu.

Chadema imesema haina imani na akina

-Kamuhanda-muuwaji wa mwangosi

-Andengenye muuwaji wa wanaArusha

-Ramadhani Ighondu mtesaji wa Dr Ulimboka

-Akina msangi nk

Chadema imesema haina imani na hao polisi kimemtaka kikwete Aunde tumehuru ya kijaji iliikabidhi....Kikwete ameuchuna

kwanini? mnahitaji kumtupia lawama kikwete.

Kama kweli munalitakia hili taifa mema tuonyesheni hiyo video, leo hii kuna vijana wenzetu wanateseka pale magereza kwa tuhuma za kuambiwa waondio wamefanya hicho kitendo.

Kama utakumbuka huyu kamanda wa polisi hapa Arusha baada ya kuwakamata hawa vijana alisema Chadema nao walete ushahidi wa hiyo video.
 
Haki ya nani kuna watu vichwani mwao yamebaki makokwa ya nazi. kama kuna aliye msikiliza vizuri huyo gaidi mchange wakati ameulizwa swali na mwongoza kipindi star TV kwamba kwa nini hujaenda polisi kama ushahidi unao? akasema hawezi kwenda polisi kwa sababu chadema walipotaja list of shame hawakwenda polisi lakini baadaye akajichanganya akasema AMEISHA WAPA POLISI USHAHIDI. sasa huu mpira wa kondomu uliotumika unawezaje kuuamini?

Tena anasema wakati akiwa chadema alikuwa nyuma ya key board kuratibu mambo mengi, sasa mbona mchange hutuambii wewe ulishiriki kuuuwa wangapi kwa sababu urishiriki kwenye mipango mbalimbali?

Kuna mahali alitoa kitabu akisema ni mpango mkakati wa chadema kwa ajili ya uchaguzi wa igunga, kwa mujibu wa mchange huo ulikuwa mpango wa mauaji.lakini yule mzee aliyekuwa anaongoza kipindi alipojaribu kukichukua kile kitabu anakisoma haraka haraka mchange alimyang'anya na kujidai anakisoma.cha kushangaza hajasoma sehemu yoyote ile inayoonyesha mpango wa mauaji.akasema neno vita tu na kuwaokoa viongozi waliotekwa na ccm. kama kweli huo ni mpango wa mauaji mchange AWEKE HAPA MTANDAONI TUUSOME WOTE.

Tangia kifo cha wangwe 2008 mbona hukwahi kusema unachokisema leo au ni baada ya mipango yako miovu ya kulipua helkopta kubumbuluka umeamua kuja na CD mpya ili kujificha?

Hivi yule polisi aliyemlipua mwangosi ni mwana chadema?

Akasema mnyika alishiriki uchaguzi igunga kitu ambacho mnyika amesema alikuwa zambia kama mwangalizi wa uchaguzi. yaani kama kuna watu ambao dunia haiwezi kuwaamini ni huyu mtumishi wa shetani mchange ambaye kwanza hatujui ni mwakilishi wa chama gani. Mchange tuambie wewe ni ccm au ACT? NANI KAKUOA KATI YA CCM NA ACT.

CCM muwe makini na huyu mchange kwanza leo amewachafua vya kutosha kwa kusema "'chadema haina tofauti na ccm. akiwa na maana kwamba ccm inashiriki kuuwa watu"

HUYU MKE WA ACT NA CCM mwishoni akasema eti chadema wanamtafuta wamuue lakini na yeye anawatafuta awaue.
kama tungekuwa na polisi tanzania wenye weledi huyu angekamatwa wakati anatoka mlango wa STAR TV
 
kATIKA mada yenye kichwa kinachosomeka "MIVUTANO YA BAADHI YA WANASIASA HADHARANI NI KWA MASLAHI YA NANI" inayoendelea STAR TV, katika studio ya TV hiyo katika kituo cha DAR ES SALAAM wageni waalikwa walikuwa ni TUNDU LISSU, HABIB MCHANGE, JOHN MNYIKA NA JOHN HECHE. katika hali isiyo yab Kawaida LISSU, MNYIKA NA heche wote wamekacha na yupo HABIB MCHANGE peke yake na hata walipopigiwa simu hawakutaka kuongea na mwandishi wa habari, JOHN HECHE aliomba atumiwe ujumbe, na alipotumiwa hakujibu chochote.

Hii maana yake nini? wamemuogopa MCHANGE na kwa maana hiyo tuhuma dihidi ya Mchange ni za kughushi?

Yaani Lissu,Mnyika na Heche waache kukaa na familia zao juma pili asubuhi na kwenda nazo kanisani na kwenda kubudhuria Upuuuuuuuzi kama huu ?
 
Tanzania tunahitaji vyombo vya habari makini, sio vibaya nasio makosa chombo cha habari kuwa na upande.

Tatizo nipale tunapokuwa na vyombo vya habari na wanahabari wanaopalilia maovu, chuki na hasira miongoni mwetu.

Kuruhusu mwehu kusambaza maelezo ya uongo hata ule ambao kila mmoja wetu anafahamu polisi waliuwa Mwangosi ni

kushusha hadhi, heshima na weledi wa IQ ya watanzania-Star TV kupitia Evona Kamuntu inaudhihilishia ulimwengu

kwamba IQ zetu watanzania ni duni kabisa na weledi na umakini wa vyombo vyetu vya habari ndani na nje ya nchi ni wa hovyo

kabisa. Kwanini watanzania wenzetu watuaibishe nakushushia heshima kiasi hiki????? Tunadhalaulika kwa

upumbav.u wa wajinga wachache

Povu hiloooooo,walipoongea wale wadiwani ilikuwa sawa,jitazame vizuri na uelewa uliosema unao,
 
mchange stor zote za vijuwe kapeka kwenye vyombo ya abari.
Wewe kweli umeonge vizuri,si unajua story za vijiwe......mtu anaropoka tu hovyo na hamna anayejali. Sasa huyu jamaa yetu sijui kwa nini. Utasikia kuna watu watakuja wanasema ni kiboko ya upinzani hasa CDM. Yeye afanye siasa lakini aache mambo ya hovyo maana inadhihirisha wazi kabisa ACT-Tanzania ni kikundi kwa ajili ya kupambana na CDM na si kuwapigania wanyonge. Zitto my brother why this evil things happened to you and you accept it. Zitto waonee huruma hata wanyonge unaodai mpaka saaizi unawapigania, japo kwenye twitter tu ambako hawapo.
 
Mungi Hutu john mrema aliyetafuna pesa za m4c

Hiyo ni kwamujibu wa gaziti la mbowe

Mchange ni shujaa asiye ogopa yeyote mtaumbuka sana

Hii picha ya mwanakijiji ndio aliipost cnn

Achana na prof mkumbo we zwazwa


Hizi ndo working tools za propaganda na uchafuzi za ccm na kule studio yupo Evona

Kamuntu nk.


Sasa hivi

Star Tv kaingia Mwigulu tena anahojiwa na Kilaza wa ccm Evona kamuntu. shuhudieni tena matanange mwingine baada ya

mchange.
 
Binafsi nimemsikiliza change kwa main I sana. Haihitaji uwe na akili nyingi kujua anatumika vibaya na watu fulani kwa nia mbaya kwa lengo bibafsi la hao wanaomtuma na wala sio kwa maslahi ya nchi hii.

Nimejiuliza kama Habibu Mchange ni mzalendo na anania njema na taifa hili:
1. Alikuwa wapi kutoa ushahidi wakati Kesi yesi ya mauaji ya David Mwangosi inafukuta?
2. Alikuwa wapi Kutoa ushahidi mauaji ya wangwe?
3. Mchange analalamika kupewa laki tano za kampeni kibaha, kwani wakati anachukua formu kugombea ubunge aliingia mkataba kwamba atapewa kiasi na chama chake?

Binafsi nimemuona mchange ni aliepishana na usuperstar lakini sasa anautafuta kwa njia chafu.
 
Back
Top Bottom