mandwa
Reaction score
108

Profile posts Latest activity Postings About

 • Habari yako mkuu!
  Samahani sana ndg yangu, nakuandikia ujumbe huu ni kwa sababu mwaka 2014 niweka tangazo kuhusu kuuza shamba langu ukawa interested kulichukua.
  Sasa nataka nijue kama hitaji hilo bado unalo basi tuingie kwenye mazungumzo nikuuzie.
  Shamba langu ni zuri sana na lipo kwenye chanzo cha maji ya uhakika.
  Ntakuuzia kwa bei nzuri.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top