Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Kwa hiyo ben na aziory wako kwa shangazi zao wanakula ugali ipo siku watarudi!????

Kweli wewe ni NYANI...
Mkuu matukio mengine ni kweli yapo lakini kuna mda watu wanatumia hii hali tuliyonayo kutafutia umaarufu..
 
Wengine kule Arusha waliandika kurasa nzima ya jinsi ambavyo wanaotaka kuwateka, wanavyowafuatilia.

Yaani mtu anayefuatiliwa na gari eti anao uwezo wa kuandika kitu na kukiweka mtandaoni huku akiweka nukta panapotakiwa na ujumbe ukawa na mtiririko sahihi kabisa!!.
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya Rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa Rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.
Kuna kile kibibi kizee kilichojificha kwenye instagram huko marekani ana genge lake la wahuni hapa bongo wanaosikiliza ujinga wake ndio wanapanga njama za namna hiyo ili kutengeneza mwanya wa vurugu. Bora umeliona hilo
 
5. Watu wanajiteka huku hata hela ya taxi hawana.
Ni kweli mkuu, ni Kama Ndugai alivyojiteka kwenda India eti anaumwa sijui alipandaje ndege, juzi tena Polepole kapindua gari eti imepinduka, huyu ndo alitoa Kali kabisa kachukua bunduki kajipiga risasi tano, zingine 33 kalichakaza gari lake eti alishambuliwa na wasiojulikana kumbe ni yeye.
Kali kuliko ni Mr Konyagi analaumu wenzake kuhusu madini wakati na yeye kwa miaka ishirini alikuwa mmoja wao akishiriki kutunga sheria mbovu za madini.
Ngoja tusubiri nani mwingine atajiteka
 
Angekuwa aliyetekwa ni mwanao sijui ungekuja na huu uzi wako wa kipumbavu ? Siku nyingine unavyoleta Uzi wako hapa ujitathimini kwanza! Nyambafu!
 
yaweza kuwa kweli..
wamemuona baba anafanya watoto wameamua kumuiga!
 
Kuna watu wengi wapumbav sana humu....

Ajiteke ili iwe nini labda
.

Subirini yatapowafika ninyi...makuz..
 
Kwa hiyo ni jukumu la nani kuhakikisha hii taharuki inatoweka kwa wananchi. Kuna siku unatoa hoja nzuri lkn sometime unatoa mashudu. Umeshindwa kutambua jukumu la kuhakikisha usalama kwa raia ni la nani kabla ya kuposti huu uzi wako?
Raia
Hajawahi kuwa salama
Salama haijawahi kuwa raia
 
Kuna watu mmezaliwa mkiwa wajinga kabisa kutoka kwenye mitumbo ya mama zenu.
Marekani kuwapongeza Wachina Unadhani ni kuwapongeza kweli? Unampongezaje mlevi wakati wewe siyo mlevi?
Marekani amewakejeli Wachina, pongezi za dhati zilistahili kutoka Lumumba, Moscow, Cuba, Rwanda, Uganda na kwingineko kwa Madikteta, hujui hata lugha ya dharau, hivi nyie makada ya Lumumba kumbe ni wapumbavu na mazwezwe Kiasi hicho?
 
Ni kweli mkuu, ni Kama Ndugai alivyojiteka kwenda India eti anaumwa sijui alipandaje ndege, juzi tena Polepole kapindua gari eti imepinduka, huyu ndo alitoa Kali kabisa kachukua bunduki kajipiga risasi tano, zingine 33 kalichakaza gari lake eti alishambuliwa na wasiojulikana kumbe ni yeye.
Kali kuliko ni Mr Konyagi analaumu wenzake kuhusu madini wakati na yeye kwa miaka ishirini alikuwa mmoja wao akishiriki kutunga sheria mbovu za madini.
Ngoja tusubiri nani mwingine atajiteka
Umechanganyikiwa.
 
Huku kujiteka ni zaidi katika mkoa wa Dar es salaam na sijamsikia mwenye mkoa wake akilisemea.
 
Mkuu matukio mengine ni kweli yapo lakini kuna mda watu wanatumia hii hali tuliyonayo kutafutia umaarufu..
Roma hakutekwa,alijiteka.Huyu naye alijiteka.
 
Huyo Dogo akaangalie Afya yake,lazima watakuwa either wamemdhalilisha kibailojia na kumrekodi(hii itamnyamazisha maana itakuwa defense ya kutoisema serikali ya wakolomoje) au wamemdunga Damu yenye HIV au wamem-inject sumu ya kuja kumuua ndani ya miaka mi5 ijayo.
 
Nimepata Taarifa ya mshangao mkubwa jioni ya leo punde tu nilivyowasili nyumbani kwangu Mafinga jioni ya leo baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza kwenye vyombo vya Habari sasa nakaa natafakari ni aina gani ya vijana tuliokuwa nao

Mapema leo asubuhi muda wa saa 12:00 asubuhi nilipanda gari aina ya NEW FORCE yenye namba ya usajili ya T 226 DJQ nakukaa siti yenye namba G3 ambapo jirani wangu aliyekuwa amejivika shuka la kimasai alikuwa amekaa siti namba G4 ambaye alionekana kuwa na hofu wakati wote na kutumia simu yake kwa kutuma jumbe tofauti kila mara

Wakati tupo njiani kijana yule nilitaka kujenga urafiki walau Tupige hata stori mbili tatu lakini ilishindikana ila tulipofika Morogoro ndipo alianza kunisemesha kwa kuhitaji nimsaidie kununua maji kwa kuwa nilikuwa upande wa dirishani nikafanya hivyo nikiwa na dhamira ya kumsaidia ndipo tulipoanza kupiga stori mbili tatu

Lakini nilisikia tukiwa njiani anawasiliana na mtu mmoja mwenye sauti ya kike na kumtaka aandae mazingira ya hapo wanapokutani.

Wakati wote namuaangalia kijana huyu ambaye awali nilikuwa simfahamu vizuri nilimbaini kwa sura nikamjua na hakutaka kuongea na mimi zaidii ya kujifichaficha

Sasa nimefika nyumbani Naanda kusikiliza radio nasikia kuna kijana wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kutekwa nilipoingia Facebook ndo nikaona picha yake nikamwambia mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kuwa kijana huyu nimependa naye basi moja kutoka Dar es Salaam na mke wangu hakuamini

Nipende kuambia ndugu watanzania wenzangu kijana huyu HAJATEKWA WALA NINI MAANA NILIKUWA NAYE MWANZO WA SAFARI YOTE NA KAMA KATEKWA LABDA NI KWENYE NDOTO

HIVYO TAARIFA ZOTE ZA UTEKWAJI WAKE NI ZA KUPUUZWA MAANA ANATAKA KUTAFUTA UMAARUFU WA AJABU KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII

*JONATHANA KWEPE*
Makubwaa, tumefika hatua hii??
 
Tutakuamini vp mkuu inabidi ukaisaidie police maana jamaa kaichafua serikali ya chato...katoweka sa sita usiku...inamaana kuna gari linalo safiri usiku kweli? Toka dzm to mikoani?

Na kuna kada wa ccm aliyemuokota na kumpa nauli ya tax je naye alikuepo kwenye huo mpango?
 
Hapa hutapata ubishi toka kwangu. Mimi pia ningependa kupata ufumbuzi wa huu uhalifu unaotokea.

Siamini kama serikali ndiyo inayofanya huu uhalifu, watu wanaichukia, lakini wanaendelea kufanya hivyo hivyo.

Na mwisho, sidhani kama suluhu ya haya matatizo ni kuipindua serikali ya Magufuli.

Tusubiri 2020.
Acha upumbavu Kifyatu...,
Mapinduzi ktk nchi yoyote ile duniani ni kazi inayofanywa na Jeshi au kikundi chochote kile cha jeshi ndani ya Jeshi, chenye nguvu na silaha ...

Hakuna chama cha kisiasa kinachoweza kufanya mapinduzi kwa Serikali yenye control ya Jeshi, Polisi, na wana usalama wengine..

Kifyatu unawadaganya wajinga wenzako tuu..., unaleta propaganda za kitoto ktk mambo serious ya nchi...
 
Wewe bado upo high school?

Mapinduzi yoyote hayawezi kufanikiwa kama wananch hawaridhii au kushawishika. Jeshi ni nyenzo tu ya mwisho ya kusukuma mzigo.

Angalia Libya, Tunisia, Ethiopia, Zimbabwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom